secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Msalimie sana 'bichwa boksi', yaani BRAZA CHOGO.Tangu kuzaliwa kwangu nimekuwa nikijihisi nina komwe kubwa sana hivyo sina budi kuwa BICHWA KOMWE.
Hata mume wangu analijua hilo na ameshanipa pole.
Cc: secretarybird Mbaga Jr Lamomy
πππππ€£π€£π€£π€£π€£Msalimie sana 'bichwa boksi', yaani BRAZA CHOGO.
Ila wewe unavituko sana, it unajiita 'bichwa boksi' ππ.πππππ€£π€£π€£π€£π€£
Yule Mshamba mwingine yuko wapi?Mimi ni mshamba na sipendi kuchekwa.
It is a man made.... ila ni nzuri kwa kuwa inatupa muongozo...Kawaida tu nipo kama sipo sometimes Pure Mlutheri sometimes naona kama haya mambo ya dini/Imani ni man made.
Unapenda nukia vizuri.... Ni made in wapi?π€
Manukato
Mama mashuzi πTangu kuzaliwa kwangu nimekuwa nikijihisi nina komwe kubwa sana hivyo sina budi kuwa BICHWA KOMWE.
Hata mume wangu analijua hilo na ameshanipa pole.
Cc: secretarybird Mbaga Jr Lamomy
Msaliti πDomo zege niliyebustiwa nikachangamka
Una rasilimali adimu. Komwe si kitu cha kukosa kwa mwanamke....Tangu kuzaliwa kwangu nimekuwa nikijihisi nina komwe kubwa sana hivyo sina budi kuwa BICHWA KOMWE.
Hata mume wangu analijua hilo na ameshanipa pole.
Cc: secretarybird Mbaga Jr Lamomy
Nini kilifanya ujione introvent?I am an introvert that's why
Msimu ujao utakuwa msimu mzuri sana kwetuChomaji uuzwe tu ndugu yangu haiwezekani kila mechi tunafungwa kirahisi π.
Chelsea imeniharibia weekend tumecheza kama team ya championship
Mmeamua msimu ujao msicheze hata conference league ππFoffana Kitasa cha Chelsea hiki kipindi anatoka Lei kuja Chelsea ndo kipindi ambacho nilifungua hii account pia ni nickname ya waskaji zangu walikuwa wananiita
Tabia nilizo nazo, mwanzo sikufahamu kuwa nipo kundi gani mpaka nilivofika sekondari.Nini kilifanya ujione introvent?
Kama tusipouza hawa watoto nadhani tabu itaendelea kuwa palepale mkuuM
Msimu ujao utakuwa msimu mzuri sana kwetu
Dah ni aibu sana mkuu πMmeamua msimu ujao msicheze hata conference league ππ
Chelsea ni chama langu ila nimelipumzusha kwanza asee tumekua na worst seasonDah ni aibu sana mkuu π