Utambulisho wako wa JamiiForums (jina) chanzo chake ni nini?

Lamomy, niliachiwa mtoto mdogo wa miaka 2 nimlee nikiwa mdogo sana na dada yangu akatokomea Turkey..

Nilihama hostel ya kawaida nikapewa zile wanazokaa wanaochukua masters kwa waliopita MU wanazijua..!!

Basi mates wakanibatiza Lamomy
 
Halafu siku hizi unaiponda Russia na kua upande wa Westeners!

Kumbe humu tupo na watoto wetu kabisa,2015 upo Shule.
 
Lamomy, niliachiwa mtoto mdogo wa miaka 2 nimlee nikiwa mdogo sana na dada yangu akatokomea Turkey..

Nilihama hostel ya kawaida nikapewa zile wanazokaa wanaochukua masters kwa waliopita MU wanazijua..!!

Basi mates wakanibatiza Lamomy
Hao mates zako kwanini walikubatiza hilo jina? Lina connection na kitu chochote/mtu yeyote au tukio lolote lile?
 
Id yangu ya kwanza yenye miaka 10+ ni jina langu halisi la kiluga ila hii Tsh ni mapenzi yangu kwa fedha ya Tanzania.
 
Our neighbor Galaxy

2.5 million light years away

Containing approximately 1 trillion stars

I'm astrophile

And I'm curious about this Galaxy, because it's the most distant object ever which is visible to the naked eye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…