Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Hahahahahah huyo mayai yake ni extravagantπŸ˜‚
 
Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!

Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!

Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda?
Kama upo tayari kukiwa papuchi , mwambie nataka kuja kwako , full stop utajua kila kitu
 
I guess sometimes Mungu hujitwalia utukufu katika nyakati za udhaifu wetu!

Unaweza kudhani umeshaona maajabu yote kumbe bado!

It is a big miracle kwa macho ya wanadamu watasema haiwezekani ila Mungu ......
 
Palichimbika hatari!! Ilibidi nitumie technique ya kulia.. Nikahamisha agenda toka kutumia akili hadi kutumia moyo.. From conscience to emotions!! Kwisha habari!
Najiuliza in future mtt wako akikutana na more than this na ukajua sijui utajisikiaje?
 
Najiuliza in future mtt wako akikutana na more than this na ukajua sijui utajisikiaje?
Whats your point? Lwamba wewe usipocheat ndo hawatomcheat mwanao? Laws of nature doesn't work that way mjomba/shangazi---
Kila mtu acheze mechi zake!
 
Wewe usijifanye unatafuta wa kwako hutampata, mkubalie huyo akivushe kiuchumi baadaye mzae maisha yasonge hawa vijana ndio hawaeleweki kabisa utampa tunda kisha anakumwaga tena ukicheza atakuzalilisha
Nakazia,kijana asiye na Mke atakulala na kukubebesha mimba mwisho wa siku anakutelekeza,Anakuacha upambane na mimba Yako pekee Yako.

Huwezi kupata wa kwako tuuu,Kwa Tanzania hiii.
 
Kwa faida yako tu...

Acha kutumia C badala ya S

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…