Utamtambuaje mtu mshamba ( mpori mpori) Kwa matendo

Kumpangia MTU simu ya kutumia nayo ni ushamba hela atafute yeye matumizi umpangie wewe 😏
 
13. Kusikiliza radio wakati mnatazama mechi kwenye televisheni
 
mwanaume kutumia iPhone..
mwanaume anatumia samsung.
 
Hela haitangazwi dogo, hela inajionesha.

Ubaya pesa hainunui classy, mshamba atabaki kuwa mshamba tu hata kama ana pesa.
Kama ni hivyo 99% ya wadada ni washamba kwasababu wengi wao wananunulika kwa pesaπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…