Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wa kijijini ukimleta mjini, naye si anaweza kubadilika.Kama unatafuta mke wa kuoa nenda tu kijijini. Mjini wamejaa wadangaji na slay queens.
Wengi wa mjini wanaolewa ili wapate picha za harusi kupost Facebook, Instagram na Tiktok baada ya hapo maumivu.
Kasikilize nyimbo ya profe J zubedaKama unatafuta mke wa kuoa nenda tu kijijini. Mjini wamejaa wadangaji na slay queens.
Wengi wa mjini wanaolewa ili wapate picha za harusi kupost Facebook, Instagram na Tiktok baada ya hapo maumivu.
Kama unatafuta mke wa kuoa nenda tu kijijini. Mjini wamejaa wadangaji na slay queens.
Wengi wa mjini wanaolewa ili wapate picha za harusi kupost Facebook, Instagram na Tiktok baada ya hapo maumivu.
Sisi wa mujini ndo tunawapenda hao slay queens. Nikaoe kijijini anajua matumizi ya pipi kifua kweli kunako faragha? Nyie jamaa acheni utani nyie.
Huyu wangu huyuuu, ngoja tu nipige chini.Anakuwa na sifa hizi:-
Ongezeni na zingine wakuu...
- Anakuwa mnyenyekevu
- Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi,kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
- Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
- Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
- Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
- Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake,anakuja mwenyewe
- Anakuwa hana makundi
- Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
- Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
- Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
- Hana matumizi ya anasa,n.k
Ndiyo tushakupoteza hivyo maskiini Baba Mchungaji..!Sisi wa mujini ndo tunawapenda hao slay queens. Nikaoe kijijini anajua matumizi ya pipi kifua kweli kunako faragha? Nyie jamaa acheni utani nyie.
Jamaa anataka ajichanganye then atafute mchawiWengine wanaigiza ili ufuate taratibu zote umuweke ndani kisha yajayo ..........
Tahadhari na umakini ni muhimu sana
ndiyo tushakupoteza hivyo maskiini Baba Mchungaji..!
Anakuwa na sifa hizi:-
Ongezeni na zingine wakuu...
- Anakuwa mnyenyekevu
- Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi,kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
- Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
- Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
- Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
- Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake,anakuja mwenyewe
- Anakuwa hana makundi
- Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
- Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
- Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
- Hana matumizi ya anasa,n.k
Pipi kifua ila jf tunajifunza mengiSisi wa mujini ndo tunawapenda hao slay queens. Nikaoe kijijini anajua matumizi ya pipi kifua kweli kunako faragha? Nyie jamaa acheni utani nyie.