Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Anakuwa na sifa hizi:-
  • Anakuwa mnyenyekevu
  • Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
  • Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
  • Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
  • Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
  • Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
  • Anakuwa hana makundi
  • Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
  • Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
  • Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
  • Hana matumizi ya anasa,n.k
Ongezeni na zingine wakuu...

images

Kama unatafuta mke wa kuoa nenda tu kijijini. Mjini wamejaa wadangaji na slay queens.

Wengi wa mjini wanaolewa ili wapate picha za harusi kupost Facebook, Instagram na Tiktok baada ya hapo maumivu.

Sisi wa mujini ndo tunawapenda hao slay queens. Nikaoe kijijini anajua matumizi ya pipi kifua kweli kunako faragha? Nyie jamaa acheni utani nyie.
 
Ukiona kafanya yote hayo USIOE, mwanamke hata awe mwema ama mtiifu kiasi gani hawezi kuwa na sifa zote hizo, unatafutiwa angle umweke ndani, baada ya muda shilingi inageuka chini juu... Asiye igiza kuna baadhi ya mapungufu utayaona, yanayorekebika na yasiyorekebika.
 
Anakuwa na sifa hizi:-
  • Anakuwa mnyenyekevu
  • Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi,kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
  • Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
  • Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
  • Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
  • Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake,anakuja mwenyewe
  • Anakuwa hana makundi
  • Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
  • Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
  • Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
  • Hana matumizi ya anasa,n.k
Ongezeni na zingine wakuu...
Huyu wangu huyuuu, ngoja tu nipige chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu utampata mwenye sifa zote hizo na bado utamsaliti au utamuacha

By the way hayuko mwanamke mwenye sifa zote hizo duniani sijui kwanini wanaume mnatakaga wanawake wakamilifu wakati hata ninyi wenyewe mna mapugufu yenu
 
Anakuwa na sifa hizi:-
  • Anakuwa mnyenyekevu
  • Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi,kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
  • Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
  • Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
  • Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
  • Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake,anakuja mwenyewe
  • Anakuwa hana makundi
  • Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
  • Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
  • Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
  • Hana matumizi ya anasa,n.k
Ongezeni na zingine wakuu...

Ukiwa na pesa watakuja kila staili hizo unazosema.

Kuna sinema moja jamaa mmoja alijaribu kutafuta mwanamke wa ukweli lakini kutokana na utajiri wake na umaarufu wa familia ya kwao alikosa mwanamke mwenye upendo wakweli kutokana na visa vyao vya udanganyifu.

Siku moja hakahamua kwenda nje ya mji na kuwa dereva taski huku akitafuta mwanamke,jamaa hakaja kupata dada mmoja ambaye maisha ya kawaida kabisa kila akijaribu kurusha voko akitolewa nje ila yule dada alimuonesha mapenzi yote na baadae jamaa alikwenda kumtambulisha kwao !
 
Back
Top Bottom