Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Anakuwa na sifa hizi:-
- Anakuwa mnyenyekevu
- Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
- Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
- Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
- Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
- Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
- Anakuwa hana makundi
- Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
- Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
- Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
- Hana matumizi ya anasa,n.k