Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichekeshe tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo!!!![emoji2]Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale
Shem unawaamini hawa? Mama na mtoto wameamua kuwa maadui. Eti mimi kiwembe, jamani!
[emoji848][emoji848][emoji848]Sasa Inakuwaje?Shem unawaamini hawa? Mama na mtoto wameamua kuwa maadui. Eti mimi kiwembe, jamani!
Nitetee tu shem! Nasikia mtaniweka mtu kati![emoji848][emoji848][emoji848]Sasa Inakuwaje?
Yupo bana aisee tena usukuman wapo wengi sanaHalafu utampata mwenye sifa zote hizo na bado utamsaliti au utamuacha
By the way hayuko mwanamke mwenye sifa zote hizo duniani sijui kwanini wanaume mnatakaga wanawake wakamilifu wakati hata ninyi wenyewe mna mapugufu yenu
Kama ulivyosema “sinema moja”Ukiwa na pesa watakuja kila staili hizo unazosema.
Kuna sinema moja jamaa mmoja alijaribu kutafuta mwanamke wa ukweli lakini kutokana na utajiri wake na umaarufu wa familia ya kwao alikosa mwanamke mwenye upendo wakweli kutokana na visa vyao vya udanganyifu.
Siku moja hakahamua kwenda nje ya mji na kuwa dereva taski huku akitafuta mwanamke,jamaa hakaja kupata dada mmoja ambaye maisha ya kawaida kabisa kila akijaribu kurusha voko akitolewa nje ila yule dada alimuonesha mapenzi yote na baadae jamaa alikwenda kumtambulisha kwao !
Tumekuja ila hatujala bebi!Mimi huwa napenda wanovaa aina hii ya viatu 🤣👇View attachment 1947086
Halafu kwenye vinywaji akikuone huruma ni Heinken au Windhoek🤣 🤣 🤣Tumekuja ila hatujala bebi!
Eeh anajipigilia heineken anajifanya za local hanywagi!😅Halafu kwenye vinywaji akikuone huruma ni Heinken au Windhoek🤣 🤣 🤣
Wewe si ndio huwa mtetezi wake eeh!! Ntawapeleka kule msituni mlikokuwa mnapanga kwenda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti eeh [emoji28]!!! Siku ukianza kuwa hivyo nakununulia Tako la nyani kama zawadi
We ni jeuri bana unajulikanaga 😅 unaita wazee mafurushi![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa niwe mara ngapi[emoji2369][emoji2369]