Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Ukiwa na pesa watakuja kila staili hizo unazosema.

Kuna sinema moja jamaa mmoja alijaribu kutafuta mwanamke wa ukweli lakini kutokana na utajiri wake na umaarufu wa familia ya kwao alikosa mwanamke mwenye upendo wakweli kutokana na visa vyao vya udanganyifu.

Siku moja hakahamua kwenda nje ya mji na kuwa dereva taski huku akitafuta mwanamke,jamaa hakaja kupata dada mmoja ambaye maisha ya kawaida kabisa kila akijaribu kurusha voko akitolewa nje ila yule dada alimuonesha mapenzi yote na baadae jamaa alikwenda kumtambulisha kwao !
Kama ulivyosema “sinema moja”
 
Back
Top Bottom