Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkwe toa ndevu zako Kama muhindi mbichiππMkuu me sio mtu wa matani sana.. Usimsikilize Intelligent businessman
Naam siku hizi wananiita half cast la kichina πHuyo Half american ni nusu albinoo, A.k.a kubwa la manusuππ
We nusu albinoo, a k.a kubwa la manusuππ€£
kwenda zako, na sura Kama kwato za ng'ombeKijana,acha kusumbua wanaume na notification zinatupigia kelele, tumelala.
Muda ninaotaka kuwa macho na wewe hulala,usinitese ubongo wangukwenda zako, na sura Kama kwato za ng'ombe
Endelea na matusi yako, ila jua una kichwa yenye mafiga Kama jiko la kuniMuda ninaotaka kuwa macho na wewe hulala,usinitese ubongo wangu
Hahaha! Sawa sawa nafikiri hakina tofauti na chako.Endelea na matusi yako, ila jua una kichwa yenye mafiga Kama jiko la kuni
Hata Kama sisi ni ndugu, ila napinga Hilo. Coz chako ni special delivery ya ubayaHahaha! Sawa sawa nafikiri hakina tofauti na chako.
Naomba usiwekwe wazi,kila jambo lako la kuachwa humu naona naitwa kama mtetezi na muokoaji kwenye matatizo yako ili usipate aibu.π€£Hata Kama sisi ni ndugu, ila napinga Hilo. Coz chako ni special delivery ya ubaya
Ume shindwa matani, Sasa ume ingia mambo za mapenzi uchwara ππ€£.Naomba usiwekwe wazi,kila jambo lako la kuachwa humu naona naitwa kama mtetezi na muokoaji kwenye matatizo yako ili usipate aibu.π€£
Atakucheka akiona hapa.Ume shindwa matani, Sasa ume ingia mambo za mapenzi uchwara ππ€£.
Mbona mi sisemi we unavyo pigishwa deki na ile binti bonge ππ
Though I talk nothing, but I know something.Atakucheka akiona hapa.
I'll make sure to add it to my collection of invisible treasures,nauchapa usingizi subiri niamkeeee kesho.Though I talk nothing, but I know something.
So keep preserving that ticking bomb, in your laps ππ
endelea kujipa moyo, deep inside una pray niwe wrong ππI'll make sure to add it to my collection of invisible treasures,nauchapa usingizi subiri niamkeeee kesho.
Dahππππ€£ vayolensi hiiπ€£Mkwe toa ndevu zako Kama muhindi mbichiππ
Lucas Mwashambwa ni mtu wa watu huwa watu wengi wanabubujikwa na machozi pale anaposhusha uzi wakeHv kuna watu mnampenda Lucas Muosha Mbwa. Bora niondoke kwenye huu uzi mmenikera sana.