Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Mu.r.ot.o acha utapeli..Ngoja na mimi nimpigie waziri wa mambo ya ndani nijitambulishe kama RPC mstaafu wa Dodoma nimuombe pesa ya kufanyia scrub
Kidding.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mu.r.ot.o acha utapeli..Ngoja na mimi nimpigie waziri wa mambo ya ndani nijitambulishe kama RPC mstaafu wa Dodoma nimuombe pesa ya kufanyia scrub
Raia tuko smart hao viongozi ndio washamba washamba hiviAnyway!.
Kama waziri wa Ulinzi anatapeliwa kirahisi hivi, basi wajinga hawatokaa wamalizike.
Imagine ndiye anaingia dili ya manunuzi ya Vifaa vya kijeshi. Na akutane na mitapeli iliyobobea, mama yangu tunaingizwa cha kike.
Aisee!.
Wiki ya wachaga hii😂😂😂Mtu mmoja aliejitambulisha kama Wilfred Masawe mkazi wa kwa mtoni kwa Azizi Ali wilaya ya Temeke, Dar es Salaam amekamatwa kwa kujifanya Katibu Mkuu wa CCM na kumpigia simu Waziri wa Ulinzi na kumtapeli.
Jamaa anasema alitafuta namba ya Waziri wa Ulinzi, akampigia na kujitambulisha kama Chogolo Katibu Mkuu wa CCM na kuomba mchango wa harusi ya dada yake.
Waziri huyo wa ulinzi alimtumia mchango katibu mkuu huyo fake na jamaa akaitumia pesa kwa matumizi yake binafsi.
Sasa jamaa amekamatwa.
Msikilize hapa chini.
View attachment 1857061
Mwengine kamtia shaba mtu Sinza Lemax barHuku wanachomea wenzao ndani huku wanatapeli
Hivi swala la mchango wa harusi kwa mtu anayepokea million 10 kwa mwezi na posho kibao ni swala la kujiuliza mara 2? Si unatuma laki kama buku tu?Eti Waziri wa Ulinzi anatapeliwa na boya flan yupo kwa Aziz Ally hapo. Je akibananishwa na Wachina au Mabeberu itakuwaje? Huyo waziri anapenda kutoa rushwa ndiyo maana kaingia kwenye 18 za Masawe
Kutapeliwa hakuna bingwa hata wewe nikitaka nakusokota vizuri na unajaa mazima wala sio swala la kucheka mbinu zipo kama buku hivi!Hahah kama ni kweli basi mwamba ajengewe sanamu kubwa pale wizara ya ulinzi...
Kumuingiza mkenge waziri wa ulinzi kiurahisi hivyo si jambo la ki sport sport...
Na huyo waziri dah, unaingizwaje cha kike kirahisi hivyo ilihali wewe ni mtu waongoza wizara kubwa hivyo...
Wachaga bhana!
Sio kila Mchaga ni Chadema kila siku nakuambia, huyo ni wa CCM.
Sasa umeniamini?
Ukitaka unitapeli yakupasa uwe ke (mzuri) , unipe ile kitu niitafune ndipo unitapeli. Hivihivi utaishia kutapeliwa mwenyewe.Kutapeliwa hakuna bingwa hata wewe nikitaka nakusokota vizuri na unajaa mazima wala sio swala la kucheka mbinu zipo kama buku hivi!
Nasikia hata yule mdada aliyemchoma jamaa moto kule Mbezi Makabe naye ni Nchaga. 😀😀Mwengine kamtia shaba mtu Sinza Lemax bar
Hahahaaaa....... Watauza nchi na watu waliomo ndani yake!ukiwapa nchi wachagga itakuwaje
Eeh ni Mushi yuleNasikia hata yule mdada aliyemchoma jamaa moto kule Mbezi Makabe naye ni Nchaga. 😀😀
Hahahaaaa....... Hata Ufoo ni mchaga!Nasikia hata yule mdada aliyemchoma jamaa moto kule Mbezi Makabe naye ni Nchaga. 😀😀
😀😀😀 wametuangusha aisee kwa niaba ya Mkuu chuma cha mjerumaniEeh ni Mushi yule