Usipoteze muda wakoo tena Kungunii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watakuchekaa kifalaaa...kama sisimizi tu hafii ndo kunguniiyaani sasa hivi nimenunu hit kwa bei 7000 nafungua jf nakutana na stori ya hit nimepata hasara au ngoja nitajaribu maana nimeinunua sababu ya kunguni
yaani sasa hivi nimenunu hit kwa bei 7000 nafungua jf nakutana na stori ya hit nimepata hasara au ngoja nitajaribu maana nimeinunua sababu ya kunguni
Sound MeterJina la app
Yap HIT haijawahi kutoa matokeo mazuri. Hata juzi kuna mtu aliniletea zawadi ya HIT na RUNGU zile kubwa nikampa ile HIT jirani yangu🤣🤣🤣 apambane nayo.Najua haina matokeo mazuri mbaya zaidi dawa Hainukii kuua ua wameweka sijui marashi ya Zanzibariiiiiiiii......So shida ipo kwa HIT.. maan sijaona utetez kwa upande wa HIT..
Kwakweli hapana🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Mimi nilijua nimekosea kusoma ni 7,500/=, siwezi nunua dawa ya mbu ya 75K hao mbu wataona kama wanizike ama wanisafirishe...
Aaah we!!Mbna kawaida...
hapo akijizuia kunywa pombe wiki mbili,ananunua hiyo spray chap
Ifatilie aisee tupate msaada.Dawa expel Ila imeadimika, kuna dawa sasahivi ina marashi manzuri Sana hiyo inauzwa elfu kumi inaua mpaka mijusi. Ila Jina nimesahau
Kwanini mkuu..Hii watu wa Arusha haituhusu,
Yes Plug yake haiko sawa.. inashida hiyo au inajam kbs haitoki.bora hata HIT kidogo inasaidia hii rungu inakulowesha mkono halafu inanuka mafuta ya taa na wakati mwingine dawa haitoki ila unashangaa ndani ya kopo bado ipo nyingi
TBS wanaangalia haya Madudu.Inatakiwa wanaotengeneza na kuchakachua hii dawa wakamatwe wachukuliwe hatua ila Mama na utawala wake sidhani kama watafanya chochote zaidi ya kula kungu na kuwachekea tu huku ujinga ukiendelea.
Usipoteze hela hapo labda kama unataka kuua Sisimizi.Hit ndio ilikuwa dawa yangu Bora kabisa Kwa kuua mbu ila sijaitumia siku nyingi kumbe wameshaichakachua tayari? Wameshajichimbia kaburi lao