Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

yaani sasa hivi nimenunu hit kwa bei 7000 nafungua jf nakutana na stori ya hit nimepata hasara au ngoja nitajaribu maana nimeinunua sababu ya kunguni
Usipoteze muda wakoo tena Kungunii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watakuchekaa kifalaaa...kama sisimizi tu hafii ndo kungunii
 
HIT ni nzuri ila unapokwenda dukani nunua hit rangi ya kijani ndio inanguvu rangi ya orange na puple sio nzuri' kijani utakuja kunishukuru na ndio maana maduka yote huwezi kupata hit kopo la kijani zinakuwa zimeisha hata mwenye duka mangi kaniuliza mbona kila anaikuja anataka HIT ya mfuniko wa kijani nikamwambia ndio kali aijachanganya na manukato
 
Kuna hivi wanaviita vidonge sijui, unachoma then unatulia nje kwa madakika kadhaa, hivi atleast naviona vina matokeo chanya.
 
yaani sasa hivi nimenunu hit kwa bei 7000 nafungua jf nakutana na stori ya hit nimepata hasara au ngoja nitajaribu maana nimeinunua sababu ya kunguni

Ndio ufuate ushauri kamata kunguni moja moja tena piga usoni mkiwa mnaangaliana vinginevo watajificha au haujamsikia mtoa maada
 
IMG_1061.jpg
 
Mbu wa skuzi wanakili na wanajua kuadapt balaa,usikute wanavaa hadi maski,maana hata doom skuiz napulizia Ile ya machungwa ilete harufu nzuri gheto si kuua mbu tena,Anyway nimeskia wa Dasalamu wanauma mchana nowadays
 
So shida ipo kwa HIT.. maan sijaona utetez kwa upande wa HIT..
Yap HIT haijawahi kutoa matokeo mazuri. Hata juzi kuna mtu aliniletea zawadi ya HIT na RUNGU zile kubwa nikampa ile HIT jirani yangu🤣🤣🤣 apambane nayo.Najua haina matokeo mazuri mbaya zaidi dawa Hainukii kuua ua wameweka sijui marashi ya Zanzibariiiiiiiii......
 
Inatakiwa wanaotengeneza na kuchakachua hii dawa wakamatwe wachukuliwe hatua ila Mama na utawala wake sidhani kama watafanya chochote zaidi ya kula kungu na kuwachekea tu huku ujinga ukiendelea.
 
Hit ndio ilikuwa dawa yangu Bora kabisa Kwa kuua mbu ila sijaitumia siku nyingi kumbe wameshaichakachua tayari? Wameshajichimbia kaburi lao
 
bora hata HIT kidogo inasaidia hii rungu inakulowesha mkono halafu inanuka mafuta ya taa na wakati mwingine dawa haitoki ila unashangaa ndani ya kopo bado ipo nyingi
Yes Plug yake haiko sawa.. inashida hiyo au inajam kbs haitoki.
 
Inatakiwa wanaotengeneza na kuchakachua hii dawa wakamatwe wachukuliwe hatua ila Mama na utawala wake sidhani kama watafanya chochote zaidi ya kula kungu na kuwachekea tu huku ujinga ukiendelea.
TBS wanaangalia haya Madudu.
 
Hit ndio ilikuwa dawa yangu Bora kabisa Kwa kuua mbu ila sijaitumia siku nyingi kumbe wameshaichakachua tayari? Wameshajichimbia kaburi lao
Usipoteze hela hapo labda kama unataka kuua Sisimizi.
 
Back
Top Bottom