Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
- Thread starter
- #61
Kwamba unawapulizia Mbu unyunyu waje Wavuvi kempu kunywa Coctail ya Damu.. heheh.Ni kweli. Hili ni la siku nyingi sana. Sana sana unakuwa kama unawapulizia mbu perfume ili watoke out kuja kunyonya damu wakiwa wananukia vizuri. Vipi Expel siku hizi hamna? Jmabo jingine la kuzingatia ni kununua dawa kutoka vyanzo vinavyoaminika. Binadamu tumekuwa kama wanyama na tuko tayari kutengeneza dawa zenye madhara ili tu kupata fedha. Kama mchina mimi simwamini kabisa.
Kuhusu vyanzo kwa kweli nanunua ktk haya maduka yetu ya mtaani.