Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni 250mils,unapuliza mara 1 kwa week...75K kwel hiyo chupa ina ujazo wa mils ngapi?
Alaf ni Invincible pia haonekani.Kunguni ni Immortal hafi.
So shida ipo kwa HIT.. maan sijaona utetez kwa upande wa HIT..Kwa upande wa HIT hiyo ni kweli haina matokeo mazuri...Dawa Rungu ipo vizur
Hahah sifanyi hiyo biashara kichaa..Hii ni 250mils,unapuliza mara 1 kwa week...
Utapeli. Unapunguza quality unaongeza Pricezimepunguzwa makali so sad
Sinunui HIT tena.Rungu ndo dawa ya Mbu... HIT tena lile kubwaa jinhaa ndo usijaribuuu haliuiii mbu lileee ni Air freshner...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wao wanatakiwa waje na solution means waongeze ingredients kupambana na usugu. Naamini watakuwa na Maabara ya kupima quality.What if ni mbu wamekua sugu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wakuu mkimalizana na mbu naomba tuhamie kwenye kunguni.
AiseeNenda supermarket iliyo karibu yako,kanunue spray inaitwa SWASA inauzwa 75000/=....
utanishukuru baadae
Dawa ya Mbu yenye kila Flavour uliona wapi?[emoji2]Rungu ndo dawa ya Mbu... HIT tena lile kubwaa jinhaa ndo usijaribuuu haliuiii mbu lileee ni Air freshner...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dawa expel Ila imeadimika, kuna dawa sasahivi ina marashi manzuri Sana hiyo inauzwa elfu kumi inaua mpaka mijusi. Ila Jina nimesahauNi kujibana na kuamua tu.hit 7500-8000 na expel ni 12000-14000 kutegemea na eneo
bora hata HIT kidogo inasaidia hii rungu inakulowesha mkono halafu inanuka mafuta ya taa na wakati mwingine dawa haitoki ila unashangaa ndani ya kopo bado ipo nyingiHizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi.
1_ Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3).
Yaan mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo waliopo, hakika hatokufa Mbu hata mmoja, ukitaka mbu afe ni umshike umpulizie usoni.
2_ Hata Mbu kuzimia kidogo hakuna! Sana sana watajificha tu kwa muda wa lisaa limoja baada ya kupuliza ila watarudi na wakirudi wanarudi na NJAA ya kufa mtu. (Inawezekana hii Dawa ina wapa Appetite zaidi)
Si kwa HIT tu nimetumia dawa ya RUNGU pia haina matokeo mazuri ktk kuangamiza MBU.
Je wana JF mmekutana na hii changamoto?
Je mnapendekeza dawa ipi bora ya kuangamiza hawa viumbe?
NB: nimezungumzia kwa upande wa Mdudu aina ya MBU tu kwa kuwa ndio mdudu anayenisumbua mahala nilipo, hakuna Mende wala wadudu wengine, hivyo ufanisi wa dawa hii kwa kuua viumbe wengine sijaupima.
Nawasilisha.
Umejua kunichekesha. Nilikuwa na stress ila kwa andiko lako mbavu zimeuma. Anyways kwa Sasa hakuna dawa za mbu, ni usanii TU.Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi.