UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!


Rudi kwenye hedge funds managers nilivyoongea, alafu kajifunze maana ya contract..., kwahio contracts za money manager ni kila akipoteza pesa yako akirudishie 50-70 % kweli hapa napoteza muda wangu bure.. narudia tena rudi kusoma how hedge funds manager make money, na tafuta kama hakuna mikataba ya kumpa mtu funds na kugawana profits and not loss
 
Acha ujinga wewe unabishana na mtu ambae hivyo vitu nimepitia..


Kipindi naanza forex nilikuwa nafanyiwa account management na kampuni moja iko Holland .. Wakichoma wanamurudishia hiyo percentage ... Na walinirudishia... Sasa wewe endelea kuwa theoretical
 
So many loosers, muchknows and dunderheads in this thread.

Kila kitu kwao ni utapeli kwasababu hawafanyi.

Wakaeendeshe bodaboda wapate hizo hela mbazo sio za kitapeli.
😂 😂 😂 ndo wabongo tulivyo nadhani generation iliyozaliwa 2010 kwenda juu itakuwa tofauti kidogo wanakulia katika miongozo mizuri na wanalelewa na wazazi walioachana na Dark ages ila kwa wale wazazi ambao bado wako stuck in 1961 watakoma
 
Matangazo ya kuvutia wateja mkaweke jukwaa la matangazo mama Deborah, husika na kichwa cha maada
 
Kwahiyo point yako ni ipi??
Nimekwambia tunazunguka wewe umesema sipo sawa, nikauliza wapi eti High Trade Frequency hai-apply kwenye Forex nikakujibu matokeo yake mwisho wa siku bado tupo pale pale kwenye hayo makundi matatui niliyoweka Kuna Risky; na mengine hayana risky kwahio point ya mwanzo kabisa bado ipo valid na sioni hizi pages 13 tulikuwa tunaelekea wapi zaidi ya kupotezeana muda
 
Mwisho wa siku kila mtu abaki na anachoamini ...
That's 4 real, Jana niliona screenshot ya mnisi wa Sauzi anampongeza mwanafunzi wake kupiga milioni 300 kwa kuweka milion 1 ndani ya wiki 3 tu ila mwanafunzi analalamika broker hawataki kumlipa...hii ni tekniki ya mnisi kuvutia wanafunzi wapya waje kwake au
 
Hii ni leo tu kwenye v75


Wapigie simu hao matajiri wanaoyumbisha soko ... Shubamit
 
Hujajibu maswali yangu ya mwisho boss, nijibu kwanza, umetrade kwa mda gani na ni biashara ipi isiyo na 1% risk?
 
Uptrend si kwa Ontario? Bado mko na wale wa south? Sasa shoga yangu hiyo 200$ si mpaka niwe nayo sasa
 
1. vp unaendelea kufanya fores??,
2. kuna jamaa yangu huwa ananiambia nikimpa elf 50 ataifanya iwe laki na nusu nadni yawiki, je pana ukakika au ntapigwa?
Mkuu huwa anafanya kamari kwenye forex , kwa hiyo hapo Kuna wawili either abahatishe au apigwe
 
kinachowagharimu wafanyabiashara wa forex ni kwamba huwa wanafikiri zile feza za forex ni feza za bure badala ya kufanya hiyo biashara kwa nidhamu ya juu kama biashara nyingine!!
 
mkuu inonesha wazi hajawahi kutrade hata mt4 sijui kama atakua anaijua hata kuitumia
Ngoja tumsubirie aje, na akija alete na screenshot ya trades za week iliyopita na kama hatrade the first week of the month basi alete za mwezi wa nne naona kwanzia sasa tusiandike tena twende kwa mwenda wa screenshots tu. Unaweza ukawa unapoteza mda na mtu kumbe kama ulivyosema hata mt4 haijui.
 
We Fala acha kubwatuka umechanganya majina.
Kuna "Sandile Shezi" na "Andile Mayisela"
Hapo jamaa alimuongelea "Andile"
Acha ujinga.
Mbona umepaniki na unanitukana bure...nyie wote ni matapeli mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…