Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hiyo namba tatu Nani kakwambia account managers wakipata loss Wateja wanakimbia na hawana risky .. Kama hawana risk kwanini huyo magnetic amekimbia na anatafutwa na mikataba inambana arudishe sehemu ya investment ya investors..
Hivi umewahi kuushika mkataba wa investor na account manager na unavyosema atakapochoma account inakuwaje ??? ..
Watanzania acheni ujuaji .. Kuna kampuni kama umeinvest kwao ikitokea wamechoma account yako wanakurefund 50-70% ya account yako .. Sasa hiyo sio risk kwa account managers .. Vitu kama hujui funga domo mzee sio kujifanya mjuaji ....
Kile Ghana kuna MTU alichoma account za watu kama huyo magnetic alipigwa miaka hela mpaka sasa kutokana na mkataba alioingia na investors wake ...
Wewe unaona account managers hawana risk kwa sababu watanzania tuna vichwa nyanya hatusomi mikataba kabla ya kusaini unapompa hela huyo account manager..
Nakushauri kama hujui vitu kaa kimya au omba ueleweshwe.
Rudi kwenye hedge funds managers nilivyoongea, alafu kajifunze maana ya contract..., kwahio contracts za money manager ni kila akipoteza pesa yako akirudishie 50-70 % kweli hapa napoteza muda wangu bure.. narudia tena rudi kusoma how hedge funds manager make money, na tafuta kama hakuna mikataba ya kumpa mtu funds na kugawana profits and not loss