UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Tatizo kichwa chako kimejaa kamasi usikaze akili, nimesema wapi kilimo ni upumbavu??? Kitu nilichosema hakuna biashara yenye mtelezo hata kilimo wengi wameangukia pua na mikopo juu ,sio unakuja kudanganya watu kwenye kilimo unajipangia kabisa lazima nipate profit. Kila biashara inapande mbili faida na hasara.

Halafu kama wewe ni mkulima uliefanikiwa kwenye kilimo hakuna haja ya kutolea mfano wakina salim, jitolee mfano wewe mwenyewe, unamafanikio yaapi, bro sio kila mtu lazima afuge kuku kila mtu anauhuru wa kufanya biashara anayotaka bila kuvunja sheria.

Jaribu kutafuta vijana ambao hawana ajira wanaangaika huku mtaani wasaidie mitaji halafu jaribu kuwapangia hao chakufanya ,hakuna aliekuomba mtaji kazi kupiga domo utakuja vishwa chupi na pesa za wanaume.



.
 
punguza ukali wa maneno japo kidg unapigilia sana ingawa unachokiongea ndo ukweli wenyew na hakika ni ukweli ,kwelikweli
ni kama unamfundisha mwanafunzi na makwenzi juu lazima akili imukae sawasawa.
 
Wanajigonga kwa pesa ya utapeli.. hahaha hiyo hata kunywa coffee pale holiday inn kwetu sie ni kawaida tu..

https://jamii.app/JFUserGuide you and your poor friendsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni tajiri kuliko watu wote huku Tanzania/JamiiForums
 
Kilimo kweli ni kizuri ila pamoja na yote watanzania wengi wanaolima bado nao wanafanya betting tu... yaani wanacheza kamari kwa kupanda mbegu kisha kusubiri mvua inyeshe

Mfano mzuri ni mwaka huu, maeneo mengi ya Morogoro yanayolimwa mpunga wengi mpunga ulikaukia shambani kwa kukosa mvua

Kwa hiyo bado hata kilimo si biashara ya kumkomboa mwenye mtaji mdogo kwa Tanzania

Kifupi mtu aliyepeleka mtaji wake wa kwanza mwaka huu kwenye mpunga hasa maeneo ya Morogoro ame burn account kama mtu wa forex anavyo burn account tu kwa sababu mbalimbali
 
Mimi hapa naishi kwa kufanya forex na indices .. Tuweke account zetu Mimi na wewe ambae unalima..


Au weka kiwango cha hela ulichotengeneza last wiki na Mimi niweke ...
Utoto unakusumbua..
 
Nimetofautiana kidogo na wewe kwenye red...Management accounting haina topic ya forex ..na pia kwenye masomo kama international finance kwa degree na business and corporate finance kwa cpa wahasibu hatujifunzagi forex ile ya kubeti sijui wanaita scalping sijui price action...wahasibu tunajifunza Ku manage foreign exchange risks kwa futures contracts, forward contracts, options contracts, financial swaps, money market hedge, Currency of invoice, smoothing, matching, netting, leading, lagging, etc.

Kiufupi wahasibu tunajifunza vitu vya uhakika ambavyo sio vya kutabiri soko litaenda vipi panapo majaliwa kwa lengo la kuweka ugali mezani, kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha betting na forex trading.
 
Mtaji tutapata wapi?

Formula ya kupata mtaji Kila mmoja anamazingira yake kulingana na akili yake.Mambo ya msingi ni bidii na kuacha yasiyo ya msingi .Na mtu anaeuliza mtaji hajajipanga kisakolojia kuanza kufanya kazi
 
Formula ya kupata mtaji Kila mmoja anamazingira yake kulingana na akili yake.Mambo ya msingi ni bidii na kuacha yasiyo ya msingi .Na mtu anaeuliza mtaji hajajipanga kisakolojia kuanza kufanya kazi
kuacha kama yapi
 
Formula ya kupata mtaji Kila mmoja anamazingira yake kulingana na akili yake.Mambo ya msingi ni bidii na kuacha yasiyo ya msingi .Na mtu anaeuliza mtaji hajajipanga kisakolojia kuanza kufanya kazi
Kumbe unajua ilo, sasa online business ni moja ya njia ya kutafuta mtaji kwa baadhi ya watu hususani mimi | mtaji hautafutwi kwa njia moja then unajiita mjasiriamali nina biashara, najihusisha na online business, ikitokea sehemu ya kushindanisha idea nipo ila focus ni kufika tu.....unless uwe umezaliwa kama kina MO ndio uongee hivyo.
 

Ipo mkuu labda hamkufundishwa tuu..kuna topic inaitwa forecasting exchange rates ..nimesoma hio kuanzia undergraduate,cpa hadi MIB pale udbs
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ipo mkuu labda hamkufundishwa tuu..kuna topic inaitwa forecasting exchange rates ..nimesoma hio kuanzia undergraduate,cpa hadi MIB pale udbs
Tupe mawili matatu unayoyakumbuka kwenye hiyo forecasting exchange rates...katika forecasting mlisoma vitu gani vya kuangalia, maybe kama kuna technical issues au economic issues ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…