jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 2,524
- 10,287
Tatizo kichwa chako kimejaa kamasi usikaze akili, nimesema wapi kilimo ni upumbavu??? Kitu nilichosema hakuna biashara yenye mtelezo hata kilimo wengi wameangukia pua na mikopo juu ,sio unakuja kudanganya watu kwenye kilimo unajipangia kabisa lazima nipate profit. Kila biashara inapande mbili faida na hasara.Salim Sumri kauza Mabasi yake zaidi ya 80 akawekeza pesa yote kwenye kilimo. Analima ekari 5000 za mahindi, ana mashine ya kuvunia ameinunua kwa zaidi ya Million 600.. Then a stupid cunt kama wewe unasema kilimo upumbavu??
Nenda Morogoro, Mbeya, Iringa, Songea, Kiteto kaseme huo ujinga wako. Nenda Mtwara na Lindi waambie huo ujinga ulio kichwani kwako. Wewe umesoma HKL unataka unifundishe mimi Forex??
Wajinga mnaopenda shortcut kwenye maisha ndio mnaishia kufanya huo upumbavu. Possibly mnatetea hapa ni hao matapeli mnaokimbia na pesa za watu. Hakuna shortcut kwenye utajiri you have to deliver goods or services.
Halafu kama wewe ni mkulima uliefanikiwa kwenye kilimo hakuna haja ya kutolea mfano wakina salim, jitolee mfano wewe mwenyewe, unamafanikio yaapi, bro sio kila mtu lazima afuge kuku kila mtu anauhuru wa kufanya biashara anayotaka bila kuvunja sheria.
Jaribu kutafuta vijana ambao hawana ajira wanaangaika huku mtaani wasaidie mitaji halafu jaribu kuwapangia hao chakufanya ,hakuna aliekuomba mtaji kazi kupiga domo utakuja vishwa chupi na pesa za wanaume.
.