Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
Wabongo sasa wamekuwa nuksi sana hata hao wanaojinadi mawakala wao wa hapa bongo gari grade 3.0 au 3.5 wao wanaipaisha grade 4.0, sio wakweli kabisa bora kuingia kwenye secure website zao na kuchati nao moja kwa moja na hata au wanaojiita Sbteyo ukiwasiliana nao moja kwa moja gari kama grade R wao hawakuambii wanakupa sound za kihindu.Hai sio Nigerians...wabongo wenzetu
😄😄😄😄😄. Leo Bimkubwa umenichekesha kweli umeifanya siku yangu iwe mukide. Man Filandu Nipo njiani natoka kwa Chalamila nakuja huko nisubiri hapo stendi karibu na Lodge ya vancouver.Wewe mat*k kweli! 🤣🤣🤣
Mtu mwenyew umejunga JF juzi tu, ushamba tu..usije ukaniharibia CV humu nikaonekana wa hovyo hovyo..!watu tupo kitambo humu.Kuwa na heshima kijana😄😄😄😄😄. Leo Bimkubwa umenichekesha kweli umeifanya siku yangu iwe mukide. Man Filandu Nipo njiani natoka kwa Chalamila nakuja huko nisubiri hapo stendi karibu na Lodge ya vancouver.
Asante ndugu kwa mawazo kesho naenda police kufatilia maana leo hata job sijaweza kwenda sikuwa na nguvu kabisa.
Wiki chache zilizopita kuna mtu alikuja na malalamiko ya changamoto ya kuagiza gari Real Motor Japan.
Tulimtahadharisha kwa sababu muuzaji (ambaye tulihisi ni tapeli) alianza kumpa vitisho endapo asipolipia gari kwa wakati.
Nilisema pia kwa muda sasa website ya Real Motor Japan inaonesha security yake haipo sawa. Ikiwa na maana kwamba matapeli wanaweza kuivamia na kutapeli wateja. Sasa sijui uliagiza gari kutoka genuine website ya Real Motor Japan au ulikutana na matapeli.
Dah pole Boss wangu nakumbuka kuna jamaa week kadhaa nyuma tulimsanua kuhusu Real motor wanampa vitisho na tulimwambia wateme hao kwa mantiki hiyo website makini bila kufumba maneno ni;-Jemedaree
1.Beforward-Jamaa yangu kaagiza kapata gari ontime na ni mala ya kwanza.
2.Sbtjapan-Nimeagiza namimi nimelipata gari ontime na ni mala ya kwanza.
*Huko kwengine lolote linaweza kukutokea.
Jaribu kwenda Ubalozi wa JAPAN kama ni kweli Real Motors unaweza pata muongozo wa kufatilia hiyo kitu na kuona wanakusaidia vipi kuhusu kampuni yao kukutapeli.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Yaaaaani unazidi kunichekesha Bimkubwa, hapa nilipo nacheka mpaka nataka nikuangukie nyuma, mimi ndio Man Filandu AkA mzee wa juzi kati lakini mwenye ID tofautitofauti, mwenye kuzishibisha server za JFMtu mwenyew umejunga JF juzi tu, ushamba tu..usije ukaniharibia CV humu nikaonekana wa hovyo hovyo..!watu tupo kitambo humu.Kuwa na heshima kijana
Japan Utapeli sio kosa kisheriaUmekosea ku cancel, hayo madai, usinge cancel ufungue Jinai. Sasa ume cancel kwa hiyari? Utateseka sana aisee, ni kiasi gani?
Japan Utapeli sio kosa kisheria
Japan Utapeli sio kosa kisheria
Kaka humu watu hawasomi lakini kesi ya REAL MOTORS sio mara ya kwanza watu kulalamika na walishauriwa
Usiagize gari kama huna uhakika na iyo website
Mwenyewe nmeagiza gari SBT imefika
Tena bila kupitia agent wala ofisi yeyote
So sehemu pekee naweza reccomend ni
1.SBT
2.SBT
3.Befoward
4.Enhance
5.Japanessevehicles(Trust)
Hawa huihitaji kwenda ofisini wala agent[emoji845]
Hii ni comment Bora Sana kuzidi zote , Kwa wote wanaoloose pesa wasiumie Sana , pesa zinatafutwa , nimegundua mtu akikutapli au kukudhurumu pesa yako uliyopata Kwa uhalali kabisa , milango mingi hufunguka ya kuingiza kipato , hii ishanikuta mi mwenyewe , cha msingi ni kuongeza juhudi kwenye michakato yako tuuPole sana mpambanaji.Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu. Pesa zinatafutwa tu utajaaliwa