Kama ujambazi katika chaguzi zetu hauja Anza Leo Kwa hiyo hapaswi kutoa maoni? Na kama hakuwahi fanya anachofanya sasa marekebisho ya mfumo wetu wa chaguzi haupaswi kubadilika?Mzee ana hoja, bt natatizika kumuelewa, coz ujambazi ktk chaguzi zetu haujaanza leo, why hakuwahi fanya anachofanya sasa?
ni muhimu zaidi kulinda maslahi ya taifa,Mnatetea matumbo tenu huku mkifurahia watu kuporwa haki zao na kuteswa mnasubiri mpaka muambiwe kuwa ninyi ni wauaji?
comrade,This time CCM wala wasimpuuze achukuliwe hatua kama mwana CCM yoyote akitoka hadharani na kukisema chama, CCM au chama chochote kina njia ya kukosoana na yeye kwa nafasi yake angeweza kufikisha ujumbe lakini kwa kuwa anatumika dhidi ya CCM inabidi awajibishwe. Yeye ningemuona wa maana angetoka na kusema kwa mwenendo huu mimi najivua uanachama wa CCM sababu sikubaliani na siasa hizi, yupo busy kutoka kuona CCM inaanguka na bado kabeba kadi ya chama. Huyu mzee ni wakati kupigwa chini mwacheni afe sura kakunja hakuna kumpa heshima yoyote kwenye mikutano au hafla yoyote piga chini acha akavae gwanda.
Lakini tuende mbele turudi nyuma huyu mzee kwa sasa ni kama vile Biden us atelier asizalishe mitafaruku yy ni zao la serikali hii iliyopo kwa nn asiseme kipindi magufuli yupo na ǰe ni kwann w wakuu wengine kina pinda na sumaye wao wapo kimya hawayajui haya au ndio ujuaji bila kujitafatakari mm nimeguswa kutokana na kutabiri uchaguz ujao bora hata angeongelea past elections kama tufanyie weakness ili tuwe bora zaid mwisho na yy ni mjinga tu flaniMzee kwa sasa Kuhibu hizo hoja unahitaji akili kubwa.
Mfano anakwambia uchaguzi wa 2025 utakuwa mbaya kuliko huu wa mitaa 2024. Sababu utasimamiwa na watu wale wale.
Unamjibu vipi? Kama hakutakuwa na tume huru ya uchaguzi, katiba mpya?
Mkuu umeingia leo Tanzania? Ebu fuatilia vizuri press mbalimbali za Mzee Warioba hadi kipindi kile anakunjwa kwenye jukwaa la kudai Katiba Mpya pale Blue Pill Hotel.Mzee ana hoja, bt natatizika kumuelewa, coz ujambazi ktk chaguzi zetu haujaanza leo, why hakuwahi fanya anachofanya sasa?
Kwamba hakutakiwa kufanya kwa kuwa hakuwahi kufanya? Bado tunahitaji ukombozi!... why hakuwahi fanya anachofanya sasa?
Kwa HERUFI KUBWA NAKUPONGEZA KWA KUANDIKA HASA MZIZI WA HUYU MZEE KUA MNAFIKI LEO NIMEPATA JIBU KILA MARA NILIKUA NAA ATTRIBUTES KITU GANI ANAJCHOFANYIA BIFU LEO NIMEKIPATA NA CCM WAMBANIE HV HV ANA LISURA KAMA NYARWANDA ANATAKA KUANZISHA CHOKO CHOKO HATA AKIONGEA UNAONA HASIMAMII ANACHOMAANISHA JIBU AJIVUE CCM KWANZAHuyu mzee mwenye sura mbaya mnafiki sana na kama kweli anaongea ndani ya nafsi yake kitu cha kwanza alitakiwa kujivua uanachama wa CCM kuonesha hakubaliani na hiki chama tena. Kwanini CCM? unajuwa chama ni kundi la watu wenye itikadi moja sio mtu mmoja mmoja, yeye hajawahi kusifu chama chake japo chama wamejaribu kumuheshimisha sana kama waziri mkuu aliyepita na kada wa CCM ila bado chuki binafsi na kuendesha upinzani ndani ya CCM, haaminiki huyu sasa ni wakati ajivue uanachama au avuliwe. Huwezi wewe kutwa unamkosoa mke wako lakini upo tu kwenye ndoa, kama mtu hakufai muache. Unafiki wake ufike mwisho huyu mzee anachuki na zaidi watoto zake kupigwa chini kwenye vyeo huku akidhani ni haki yake watoto zake kupewa nafasi.
Umesahau Lucas MwanshwambaMaandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.
Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji taka/matope.
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Nashauri list ipangwe na ajibiwe kwa haraka asiwekwe sana kiporo. But kama kutakuwa na ushauri mwingine basi tumbagaze tu. Tumwache na uzee wake unaomjia vibaya. Badala ya kutulia anahangaika na hii nchi. Iliyojichokea.
Tupangeni list ya kumjibu. Hawa wasikosekane kama itampendeza mwenyekiti
1. Ali Hapi
2. Makonda
3. Chalamila
4. Vyama rafiki 14. Viandaliwe mkutano wa kujibu. Vilipiwe ukumbi na kupewa usafiri na posho
5. Uviccm
Na wengineo wenye uelewa unaofanana na hawa na haya makundi.
Jamaa katupa jiwe gizan. lakni mtu limempata la uso anavumilia maumivu tuMaandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.
Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji taka/matope.
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Nashauri list ipangwe na ajibiwe kwa haraka asiwekwe sana kiporo. But kama kutakuwa na ushauri mwingine basi tumbagaze tu. Tumwache na uzee wake unaomjia vibaya. Badala ya kutulia anahangaika na hii nchi. Iliyojichokea.
Tupangeni list ya kumjibu. Hawa wasikosekane kama itampendeza mwenyekiti
1. Ali Hapi
2. Makonda
3. Chalamila
4. Vyama rafiki 14. Viandaliwe mkutano wa kujibu. Vilipiwe ukumbi na kupewa usafiri na posho
5. Uviccm
Na wengineo wenye uelewa unaofanana na hawa na haya makundi.
Hawana uwezo huo wa kujibu hoja.wajibu hoja na sio kumjibu mtu
Lakini hata hao aliokubaliana nao si wanaijua Katiba inasemaje ??!Siasa zetu zinaangalia mwezetu, ndugu, rafiki, kanda, kabila na yanayofanana na hayo kabla ya hoja yenye mantiki.
Chama chaweza kutumika kuitenga serikali na kinyume chake.
Hata hivyo, serikali haipo juu ya chama. Mzee mstaafu hawezi kutoka nyumbani kwake aitishe mkutano na waandishi wa habari bila kuwasiliana na kukubaliana na watu wengine.
Hoja zake zahitaji kuchukuliwa kwa tahadhari kubwa.
Mtu yeyote anayetanguliza matusi badala ya kujibu/kujielekeza kwenye hoja, ni mgonjwa wa akili. Hata kama yeye atajiona yuko sawa. Na kwa bahati mbaya sana hapa JF wagonjwa wa akili wanazidi kuongezeka. Tunawatambua kutokana na maandishi yao.Mtoa mada ameandika Kwa fasihi naona umeshindwa kumuelewa vyema
Umetukana bila kujua alichokuwa anamaanisha
sio nyinyi ni yeye huyohuyo mzee anaembwelambwela hapo,
hana hoja, ana kinyongo, wivu na makasiriko tu.
Anachostahili huyo mzee cha maana zaidi ni kupuuzwa tu na kila mTanzania mzalendo.
nadhani mnafiki zaidi ni huyo manejaribu kumtetea ambae anastahili kupuuzwa na unafiki wake pamoja na ninyi..
halafu acha vichekesho gentlemaneti dunia ina mwisho?
tunajua mtaji wenu ni ujinga wa watanzania wengi, get to know generation ya ujinga is slowly phasing down, u will face the consequences sio muda, get prepared dude!Wanaweza kuamsha akili za vijana.
CrapMaandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.
Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji taka/matope.
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Nashauri list ipangwe na ajibiwe kwa haraka asiwekwe sana kiporo. But kama kutakuwa na ushauri mwingine basi tumbagaze tu. Tumwache na uzee wake unaomjia vibaya. Badala ya kutulia anahangaika na hii nchi. Iliyojichokea.
Tupangeni list ya kumjibu. Hawa wasikosekane kama itampendeza mwenyekiti
1. Ali Hapi
2. Makonda
3. Chalamila
4. Vyama rafiki 14. Viandaliwe mkutano wa kujibu. Vilipiwe ukumbi na kupewa usafiri na posho
5. Uviccm
Na wengineo wenye uelewa unaofanana na hawa na haya makundi.
Nyie wengine huwa hamna wazazi? Hamkulelewa na wazazi? Wewe unaweza kuwa CCM kuliko Warioba? Muogope Mungu kijana. Weka heshima hata kidogo uepuke laana.Huyu mzee mwenye sura mbaya mnafiki sana na kama kweli anaongea ndani ya nafsi yake kitu cha kwanza alitakiwa kujivua uanachama wa CCM kuonesha hakubaliani na hiki chama tena. Kwanini CCM? unajuwa chama ni kundi la watu wenye itikadi moja sio mtu mmoja mmoja, yeye hajawahi kusifu chama chake japo chama wamejaribu kumuheshimisha sana kama waziri mkuu aliyepita na kada wa CCM ila bado chuki binafsi na kuendesha upinzani ndani ya CCM, haaminiki huyu sasa ni wakati ajivue uanachama au avuliwe. Huwezi wewe kutwa unamkosoa mke wako lakini upo tu kwenye ndoa, kama mtu hakufai muache. Unafiki wake ufike mwisho huyu mzee anachuki na zaidi watoto zake kupigwa chini kwenye vyeo huku akidhani ni haki yake watoto zake kupewa nafasi.
Tuendelee kumshambulia Mzee Warioba. Na angekuwa karibu hata tungempiga mawe. Tusiache mshambulia na kumtukana mpaka akome kuwa anaongea ukweli. Anatakiwa abadilike ajifunze kusema mitano tena.sio nyinyi ni yeye huyohuyo mzee anaembwelambwela hapo,
hana hoja, ana kinyongo, wivu na makasiriko tu.
Anachostahili huyo mzee cha maana zaidi ni kupuuzwa tu na kila mTanzania mzalendo.
nadhani mnafiki zaidi ni huyo manejaribu kumtetea ambae anastahili kupuuzwa na unafiki wake pamoja na ninyi..
halafu acha vichekesho gentlemaneti dunia ina mwisho?
Kama vile nimekusoma mzee wa ujumbe uliojichaMaandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.