Una hoja nzuri mno mkuuWakurudishie pesa yako, ukawekeze DSE au nunua SAMIA Bond. Kama huwa unachangia Elfu 50 hadi laki kila harusi, na kwa mwaka kuna harusi 4 hadi 5.
Hiyo pesa ukiweka kwenye Samia Bond utakuwa umejisaidia sana huko baadaye, achana na harusi, mwanaume gani anaenda kwenye sherehe za harusi?
Wewe subiri muda ukifika utakutana na wanandoa utawapa hongera. wakinuna wala haina shida, makasiriko yao hayakusaidii wala kukupunguzia chochote.
Huwa ni ujinga mtupu ndiyo maana wengine hatuchangi, ukiwauliza why? "Wanasema ati watu wakila mapema watatoroka na zawadi" huo kama si ujinga ni nini, mtu amechanga 100K, bado apangiwe muda wa kutumia fdha yakeNimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa
Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu
Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
Huwa ni ujinga mtupu ndiyo maana wengine hatuchangi, ukiwauliza why? "Wanasema ati watu wakila mapema watatoroka na zawadi" huo kama si ujinga ni nini, mtu amechanga 100K, bado apangiwe muda wa kutumia fdha yake
Mkuu, hii niliwahi kuisikia mwenyewe MC akipewa maagizo ya namna ratiba iwe pale Msimbazi center tukiwa kwenye kikao cha harusiSielewi kama tatizo zawadi, kwanini hawazichukui mapemaaa
Mkuu, hii niliwahi kuisikia mwenyewe MC akipewa maagizo ya namna ratiba iwe pale Msimbazi center tukiwa kwenye kikao cha harusi
Mzee vipi yani niteseke Na Njaa kisa nipo Kwenye harusi what for sasa? Mtu mfano ana Complications za tumbo asote tu eti kisa anatoa ushirikiano hio unaona ni sawa?We una dharau
Harusi ni watu
Lazima ukienda kwenye harusi uonyeshe ushiriki wa vitendo
Sio walete chakula ule kidogo au ukatae
Tupo kwenye harusi ila sio kwamba ni masikini ati hatuwezi kula kwenye familia zetu
Mkianza kukaa pamoja kabla ya ndoa, mkijichanganya tu kufunga ndoa possibility ya kuachana ni 90%, lakini pia nahisi kuna mambo ya nguvu za giza behind the scene,Kwanini mnawachangia watu ambao mnajua kabisa wanaenda kuumizana tu!?
Unamchangia Leo,unakutana nae mwakani anakuambia waliachana.
Watu wanaoanza tu kuishi pamoja bila hata mahari uwa wanadumu Sana.