Wakurudishie pesa yako, ukawekeze DSE au nunua SAMIA Bond. Kama huwa unachangia Elfu 50 hadi laki kila harusi, na kwa mwaka kuna harusi 4 hadi 5.
Hiyo pesa ukiweka kwenye Samia Bond utakuwa umejisaidia sana huko baadaye, achana na harusi, mwanaume gani anaenda kwenye sherehe za harusi?
Wewe subiri muda ukifika utakutana na wanandoa utawapa hongera. wakinuna wala haina shida, makasiriko yao hayakusaidii wala kukupunguzia chochote.