Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Njoo nikugawie dada yangu [emoji4]Haugawii bure bhana... "unagawiwa" at the expense of parents' happiness, na furaha yako mwenyewe!!
Ni kipi basi kwenye ndoa kilicho muhimu kuzidi furaha ya wazazi na ya wanandoa husika?! Wanandoa hawatakuwa na furaha kama wazazi husika hawana furaha!
Mi nawajua nyie watu... kwetu last born ni dume zima lakini hata kupika ugali halijui!Umepatia tu mkuu kuhusu wazazi
Kwa jinsi mama anavyonidekeza hapa nyumbani na kila siku nakula vyakula vyao bure kabisa sitamani kuondoka [emoji1787]
Kazi nagombaniana tu na mama maana yeye huwa hataki kupumzika,anataka mimi nipumzike(mama yangu ni binti mzee)
Hakuna mtu asiyependa kudeka[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Oh jmn embu nipe no zake nimuoe mim mana nimechoka na ukiwa huu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nawajua nyie watu... kwetu last born ni dume zima lakini hata kupika ugali halijui!
Linanikera balaa!!!
Unakuta Bi Mkubwa nae anakosa raha eti kisa tu toto lake, ambalo kubwa zima na limeshamaliza chuo halitaki ugali! Utamsikia anamwambia house girl "...huo wali usipakue wote, si unajua kakako hapendi ugali"!
Yaani hapo anataka kiachwe kipolo kiwe lunch ya mwanae kesho yake wakati wengine wanakula ugali!!
Hahaaaa! Unataka aolewe ili hatimae nawe uwe huru kuingia kwenye ndoa sio?! Au una nia ovu ya kutaka aondoke ili ufaidi peke yako mapenzi ya mama mzee!!!Njoo nikugawie dada yangu [emoji4]
Mtu aolewe akiwa ready regardless ya Nani kawahi au kachelewa labda wengi hufanya hivo ili kumfanya mkubwa asijisikie vibaya but to me wadogo zangu waolewe tu maana Mimi na kiupaumbele Cha tofauti kabisa.Nakubaliana na wewe kwamba ikitokea JUST BY CHANCE kwamba mkubwa ameanza, inakuwa vizuri zaidi lakini kwangu binafsi, I don't care who come first and who come last kwa sababu kama ulivyosema, wengine ndoa sio kipaumbele, at least kwa wakati fulani!
Lakini kama nilivyosema awali, especially kwa wanawake, haka kasheria kasiko rasmi kanatokana tu na ile imani kwamba heshima ya mwanamke ni kuwa ndani ya ndoa!
Kwangu naiona hii ni imani ya hovyo kwa sababu inawafanya wanawake wasio na ujasiri wawe desparate wanapoona umri unaenda!
Hii desperation wengine inawafanya wachukue maamuzi ya hovyo; kama vile kujiingiza kichwa kichwa kwenye mahusiano wakitarajia "maybe my lucky is here" na matokeo yake wanaishia kuliwa tu, na hatimae ku-test zari sehemu nyingine!!
Back in the days nilikuwa na rafiki wa aina hiyo hapo juu... mwenyewe alikuwa anasema kabisa kwamba kwao mwanamke ambae hajaolewa anadharaulika sana kwa kuonekana ni muhuni!!
Na kwavile she's too close to me, nikagundua anajiingiza kwenye mahusiano akitarajia kuolewa lakini akawa anaishia kuliwa tu! Kwa kawaida huwa simuonei rafiki aibu... nikamwambia wazi kuwa hayo mahitaji yako makubwa ya ndoa itafikia mahali hadi unakuja kushituka, unakuta ushagawa sana na wote wamekuacha!!!
Pamoja na ulast born ila mama yangu alikuwa mkali sana kipindi Cha nyuma,hadi sasa hivi pamoja na uzee wake nikimzingua ni mkali balaa.Hahaaaa! Unataka aolewe ili hatimae nawe uwe huru kuingia kwenye ndoa sio?! Au una nia ovu ya kutaka aondoke ili ufaidi peke yako mapenzi ya mama mzee!!!
Mimi mama yangu nae ni mzee, yaani siku hizi kawa dorooo kama bibi vile!! Yaani hadi siamini jinsi zamani alivyokuwa mkali lakini hivj sasa ana-behave kama bibi!
😀😃😂😅!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mama anajiongezaga vile vitu vizuri vizuri ananiwekea
Mimi kazi nilijifunzia kwa sista hadi leo wananiita 1st born wa sista
Last born vs last born nimekuwahi kuelezea pale juu[emoji1787]😀[emoji2][emoji23][emoji28]!!!
Sipati picha inakuaje ndoa ya last born mwanaume vs last born wa kike, halafu ndoa yenyewe ndo ziwe zile ndoa za utotoni... ki-last born cha kiume kina miaka 23, na cha kike kina miaka 22!!!
Kila mmoja kazoea kudekezwa, na kimetoka kwao kikiwa bado kinadeka... sasa hapo cjui inakuaje!! Ndo hapo ka-wife kamepika msosi, lakini kabla hawajala wanatibuana halafu wote wanasusa!!!
Paragraph ya mwisho imenivunja mbavu nacheka hapa kama chizi[emoji1787]Mi nawajua nyie watu... kwetu last born ni dume zima lakini hata kupika ugali halijui!
Linanikera balaa!!!
Unakuta Bi Mkubwa nae anakosa raha eti kisa tu toto lake, ambalo kubwa zima na limeshamaliza chuo halitaki ugali! Utamsikia anamwambia house girl "...huo wali usipakue wote, si unajua kakako hapendi ugali"!
Yaani hapo anataka kiachwe kipolo kiwe lunch ya mwanae kesho yake wakati wengine wanakula ugali!!
Ila usitoe mimba...sio huna mpango wakuzaa kabla ya ndoa.. solution Ni kutoa TU...BECAREFUL..au ACHANA kabisa na ZinaaSina mpango wa kuzaa na mtu kabla hajanioa
Wewe huna mchumba alikutolea mahari au alikuja kujitambulisha kwenu...ndo maana unaongea TU ...ungekuwa kwenye hiyo situation...USINGESEMA NASUBIRIA DADA YANGU AOLEWE ....Yaaani uache mchumba aende kisa yeye hajapata.Familia mkiwa wote wanaume haina shida kabisa akitangulia yeyote.
Ila mkiwa wa kike nakwamnbia lazima huruma ikuingie
Sisi kwetu ilikuwa
1.Ke
2.Ke
3.Ke
4.Ke
5.Me
6.Me
7.Ke
Wale wote watatu wa juu waliolewa kwa mtiririko huohuo.
Sasa amebaki #4 na #7 ambaye ni Mimi,
Unampigaje gap hapo mkuu!?!
Kama unadhani mama yako mkali, I wish ningekupa nafasi uishi na mama ake chige enzi zake yupo bado "wamo" kabla jazeeka!!Pamoja na ulast born ila mama yangu alikuwa mkali sana kipindi Cha nyuma,hadi sasa hivi pamoja na uzee wake nikimzingua ni mkali balaa.
Shule alikuwa ananitandika sana tu [emoji23]
Na hapo sista zangu huwa wananiambia kwamba Nina bahati nimezaliwa mama akiwa amezeeka,zamani alikuwa Moto zaidi.
Mimi nina nia njema kabisa maana huyu dada muda wake wa kuwepo hapa ulishakwisha kitambo hata yeye anajua km wanataka aondoke[emoji1787]
Akiondoka haraka ananipa na mimi nafasi ya kuondoka [emoji7][emoji126][emoji126]
Katika vitu sitamani ni kuolewa na last born,wanadeka mno
Mimi pia sijaolewa...Ila ningependa kuwa na familia yangu...NINA VIPAUMBELE LAKINI HICHO NACHO KIMOJAWAPOMtu aolewe akiwa ready regardless ya Nani kawahi au kachelewa labda wengi hufanya hivo ili kumfanya mkubwa asijisikie vibaya but to me wadogo zangu waolewe tu maana Mimi na kiupaumbele Cha tofauti kabisa.
Pia jamii yetu bado Ina matope kichwani kwa kuamini eti mwanamke ili akamilike lazima awe na ndoa kumbe si kitu Cha kweli ndio maana unakuta jamii inanyanyapaa watu wasioolewa mwishowe wengi wanapata pressure Hadi wanaolewa na wanaume vichaa ili waonekane Wana ndoa mwisho mateso Hadi vifoo, honesty Mimi binafsi siamini hata nikiolewa ndio nakuwa kamili, Mimi mwenyewe Niko kamili na sitegemei mtu au ndoa ili niwe na furaha, na it's obvious nikiongea na watu huniona na pepo sijui jini mahaba na kunikemea kuwa sio mzima kumbe ni maamuzi yangu tu binafsi na sio kurogwa, so ifike mahali jamii istaarabike na ielewe maana Kuna watu hu force wanawake waolewe huku wao ndoa zimewashinda, Wana ndoa Ila hawajiheshimu wanaishi as if hawana commitments tu vile wako ndoani kwa unafiki wanaonekana Bora kuliko mtu single anayejiheshimu. So kwangu wa Africa kuhusu ndoa tu wanafiki Bora hata wanaoona kwa mikataba kuliko unafiki huu, as a result wanawake wanahangaika kusaka ndoa kwa manabii na waganga wanaliwa papuchi, badala wafundishwe kuwa maisha ni zaidi ya ndoa, kikubwa afya na uzima plus furaha, kuliko kujiingiza kitanzi Cha ndoa chungu na maumivu plus watoto, woooi, Mimi siwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unadhani mama yako mkali, I wish ningekupa nafasi uishi na mama ake chige enzi zake yupo bado "wamo" kabla jazeeka!!
Kwanza yeye ni afande mstaafu, ana hasira balaa, na sijawahi kumuona anashika kiboko maisha yangu yote!!
Ukimzingua, anakulia timing na ukiingia kwenye 18 zake, anakufungia chumbani... yeye na wewe!!!
Sema bora ushapaona hapo kwenye RED, manake nyie watu nyinyi; aaaaargh!!
Naona umeamua unisemee[emoji1787]Wewe huna mchumba alikutolea mahari au alikuja kujitambulisha kwenu...ndo maana unaongea TU ...ungekuwa kwenye hiyo situation...USINGESEMA NASUBIRIA DADA YANGU AOLEWE ....Yaaani uache mchumba aende kisa yeye hajapata.
Mungu humruzuku amtakae