Mtu aolewe akiwa ready regardless ya Nani kawahi au kachelewa labda wengi hufanya hivo ili kumfanya mkubwa asijisikie vibaya but to me wadogo zangu waolewe tu maana Mimi na kiupaumbele Cha tofauti kabisa.
Pia jamii yetu bado Ina matope kichwani kwa kuamini eti mwanamke ili akamilike lazima awe na ndoa kumbe si kitu Cha kweli ndio maana unakuta jamii inanyanyapaa watu wasioolewa mwishowe wengi wanapata pressure Hadi wanaolewa na wanaume vichaa ili waonekane Wana ndoa mwisho mateso Hadi vifoo, honesty Mimi binafsi siamini hata nikiolewa ndio nakuwa kamili, Mimi mwenyewe Niko kamili na sitegemei mtu au ndoa ili niwe na furaha, na it's obvious nikiongea na watu huniona na pepo sijui jini mahaba na kunikemea kuwa sio mzima kumbe ni maamuzi yangu tu binafsi na sio kurogwa, so ifike mahali jamii istaarabike na ielewe maana Kuna watu hu force wanawake waolewe huku wao ndoa zimewashinda, Wana ndoa Ila hawajiheshimu wanaishi as if hawana commitments tu vile wako ndoani kwa unafiki wanaonekana Bora kuliko mtu single anayejiheshimu. So kwangu wa Africa kuhusu ndoa tu wanafiki Bora hata wanaoona kwa mikataba kuliko unafiki huu, as a result wanawake wanahangaika kusaka ndoa kwa manabii na waganga wanaliwa papuchi, badala wafundishwe kuwa maisha ni zaidi ya ndoa, kikubwa afya na uzima plus furaha, kuliko kujiingiza kitanzi Cha ndoa chungu na maumivu plus watoto, woooi, Mimi siwezi