Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

Kwahiyo anaweza enda three??

[emoji2440][emoji2440]
Hawezi! Form III ni mpaka apate Div IV, III, II & I. Yaani, angalau angekuwa na D mbili au C moja katika masomo yake yote aliyofanya.
 
Ndo kilichokuleta duniani? Haya wewe una elimu gani na imekusaidia Nini hapo mpaka sasa
 
Uwe ni utaratibu wa kitaifa level zote
 
Wengine wapo bize na game sijui moves, play station, macho chini leo.
Kwamba Play Station na movies zinazuia mtu kufaulu?,hii mentality mbona kama siafikiani nayo...Nimekua mdau wa hayo madudu for years na nimemaliza form 4 mwaka wa mwisho matokeo ya necta kua na majina na ufaulu haukua haba....Hii dunia imefunguka tusiwazuie madogo ku enjoy new technology kwa kigezo et watafeli.
 
Enzi zetu matokeo yalikuwa yanatolewa kwa majina. Hapa katikati wakati Eng. Shukuru Kawambwa, binamu wa JK watoto wa wakubwa walikuwa wanafeli sana. wakaona matokeo yasiwe na majina bali namba tu.
Nadhani ni wazo sahihi matokeo yatoke kwa majina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…