kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Mbona hasira, na wewe ni mtahiniwa wa darasa la nne nini mkuu?Fuatilia ya wanao,matokeo ya watoto wa watu we ya nini!!?..umbea Kama shangazi yako!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hasira, na wewe ni mtahiniwa wa darasa la nne nini mkuu?Fuatilia ya wanao,matokeo ya watoto wa watu we ya nini!!?..umbea Kama shangazi yako!!
Kama ni wa kike mlete tujisevie
Ana 4 ya 33 kafauluC ya Kiswahili... F zote..mtu anaenda kidato cha tatu... Hii nchi hii!! Ngoja tu.
Jamanii...Ana 4 ya 33 kafaulu
Unashangaza kushupaa kutaka matokeo ya wenzako,yako hayakukutosha!?Mbona hasira, na wewe ni mtahiniwa wa darasa la nne nini mkuu?
KukuaJamanii...
Kweli!?? Anaenda form three kufanya nini!??
Sawa kabisaa.Kukua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] was kiume,nadhani kafanya kusudiKama ni wa kike mlete tujisevie
Kwahiyo anaweza enda three??Hajapata masomo yote "F"
Kuna somo hapo kapata "D"
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hamna maajabu hapo.Hivi mtu kama huyo kama form 2 kala 4,unadhani kuna maajabu yoyote anaweza kuyafanya form 4 zaidi ya kupata zero?
Nimetizama ni kiswahili kapata( D )Hajapata masomo yote "F"
Kuna somo hapo kapata "D"
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hawezi! Form III ni mpaka apate Div IV, III, II & I. Yaani, angalau angekuwa na D mbili au C moja katika masomo yake yote aliyofanya.Kwahiyo anaweza enda three??
[emoji2440][emoji2440]
Ndo kilichokuleta duniani? Haya wewe una elimu gani na imekusaidia Nini hapo mpaka sasaNashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne.
Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi.
Nashauri Kwa kidato cha nne utaratibu ungekua pia matokeo yatoke Kwa majina.
Uwe ni utaratibu wa kitaifa level zoteNashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne.
Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi.
Nashauri Kwa kidato cha nne utaratibu ungekua pia matokeo yatoke Kwa majina.
Kusoma. [emoji432][emoji3578]Jamanii...
Kweli!?? Anaenda form three kufanya nini!??
Hahahahahaha... kweli kafaulu huyooo!!anaenda kusoma aingie kidato Cha nne afanye mtihaniJamanii...
Kweli!?? Anaenda form three kufanya nini!??
Hatari sanaMbaya zaidi wote watoto wa like na kiume wanashindana kutoa jicho.
MnooHatari sana
Kwamba Play Station na movies zinazuia mtu kufaulu?,hii mentality mbona kama siafikiani nayo...Nimekua mdau wa hayo madudu for years na nimemaliza form 4 mwaka wa mwisho matokeo ya necta kua na majina na ufaulu haukua haba....Hii dunia imefunguka tusiwazuie madogo ku enjoy new technology kwa kigezo et watafeli.Wengine wapo bize na game sijui moves, play station, macho chini leo.
Enzi zetu matokeo yalikuwa yanatolewa kwa majina. Hapa katikati wakati Eng. Shukuru Kawambwa, binamu wa JK watoto wa wakubwa walikuwa wanafeli sana. wakaona matokeo yasiwe na majina bali namba tu.Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne.