Utata juu ya Mradi wa Bagamoyo


Hizi ni hadithi za zamani achana nazo zitaku mislead.
Hata mimi naweza kucompose risala ndefu kama hii yenye upotoshaji ndani yake . So achana na mavi mavi
 
Kwa ulinzi ule ilikuwaje akawa poisoned ? Ina maana wale wavaa suti na vi earfoni hamna kitu? Corona ipo.
 
Ule mkataba wa ujenzi wa mradi wa bagamoyo si ulivunjwa na Mh JPM ?.
Na alitueleza sababu zilizokua za msingi juu ya alicho kifanya

Hawa wanaopigia debe wanaweza kutuambia kwamba, je alicho sema JPM ni Uongo na kama Ni Uongo Ukweli ni Upi
🙏🙏
 
Kwa ulinzi ule ilikuwaje akawa poisoned ? Ina maana wale wavaa suti na vi earfoni hamna kitu? Corona ipo.

Achana na mambo ya Corona; wewe umeshawahi kuiona Corona ?si ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine , right ? Usitumie Corona kama scapegoats

Swali langu la msingi, je ulinzi wa Rais ni kuwa wengi na hayo masuti na maredio call na miwani mieusi na mabunduki Au ulinzi wa Rais ni technology?
 
Kwa ulinzi ule ilikuwaje akawa poisoned ? Ina maana wale wavaa suti na vi earfoni hamna kitu? Corona ipo.

Just because we have never been tested, doesn’t mean technology does not exist
 
Kipindi Lissu alipopigwa risasi walisema ni Mbowe. Kwa kutumia akili ya darasa la kwanza, nikafikiri kumbe unaweza kumpiga mtu risasi ukajulikana na usikamatwe?
Ni kawaza tu huenda Mzee Haraka haraka alimuwekea Sumu Meko.
 
Mkuu kwani wewe huo mkataba wa hiyo bandari uliwahi kuuona au nawe ulisikia kutoka kwa yule aliyekwambia ATCl inatengeneza faida?
Maana according to Zitto leo kasema wao kama wabunge walionyeshwa presentation ya mradi lakini mkataba ikulu iliukalia mpaka leo hawajawahi kuutoa.
Na akaomba wauweke wazi tu. Sasa hivyo vipengele unavyozungumzia we umeviona wapi au ni vile vya tunajenga kwa pesa zetu za ndani?
 

Corona ndio inakatisha moto fasta kuliko sumu mkuu,Jiwe afya yake ilikuwa mgogoro hata kipindi cha kampeni ilionekana,then ukipata uviko lazima imkatishe moto.

Mkuu ni HighTek ndio inahitajika, misuti,miwani,miiafoni yote ni mbwembwe tu.
 

Mshitiri wa Mkataba huo alipatikana kwa utaratibu gani?

Ifahamike kwamba Contract awarding ni final stage ya procurement proceedures.

Yaani huwezi kupata mkataba kama hujapitia tendering process zote ikiwa ni pamoja na kutangaza tender kwa gazeti la Serikali.

Evaluation process, Then it comes about mambo ya terms and price negotiation,

liquidated damage etc etc then ndio tukae chini na kusaini contract .... na mikataba kama hiyo Lazima iende kwa Mwanasheria Mkuu ( Attorney General).

Kuna mtu yoyote anayejua haya yalifanyika?

Lakini tunaambiwa awamu ya 4 ilikuwa na Mkataba.... je walifikaje kwenye mkataba bila ya kupitia tendering process ikiwa ni pamoja na kuwashindanisha bidders ? How many bidders( tenderers ) submitted their documents?

Yaani ndio maana tunasema this Project and its discussion has to be revoked immediately untill further notice
 
Ndiyo sasa uwekwe wazi huo mkataba maana wewe unazungumzia terms and conditions wakati hata hukuwahi uona huo mkataba wenyewe.
Kwanini usiwekwe wazi tu watu wajue kwanink mtu mmoja tu ndiye awambie kilichomo?
Yasije kuwa yale yalw ya SGR kukataa mkataba wa zamani ambao ujenzi wa kila kilomita ulikuwa bei ya chini kuliko mkataba wa sasa.
Weka mkataba uwe public watu wauchambue mbivu na mbichi zijulikane.
Mimi sijawahi kuelewa kwanini kma serikali ina nia njema uwa wanaficha mikataba. Hakuna kitu kizuri kisicho na shaka ambacho kinaweza kufichwa unless kama ni mambo ya jeshi na ulinzi kama mikataba ya kununua silaha.
 
Corona ndio inakatisha moto fasta kuliko sumu mkuu,Jiwe afya yake ilikuwa mgogoro hata kipindi cha kampeni ilionekana,then ukipata uviko lazima imkatishe moto.

Mkuu ni HighTek ndio inahitajika, misuti,miwani,miiafoni yote ni mbwembwe tu.
Kama unaamini kuwa alikuwa na Corona, then I think we have nothing to discuss brother as you have closed the doors for discussion. Corona is the simple answer any layman ndio litakuwa jibu jepesi
 
Kipindi Lissu alipopigwa risasi walisema ni Mbowe. Kwa kutumia akili ya darasa la kwanza, nikafikiri kumbe unaweza kumpiga mtu risasi ukajulikana na usikamatwe?
Ni kawaza tu huenda Mzee Haraka haraka alimuwekea Sumu Meko.

Explain
 
Uko sahihi mkuu, why TANZIA zmeisha baada ya magufuli kututoka? Washenzi wale walikuwa wanamflustrate raisi kwa kasi sana.
Baada ya msiba tu, tayari imeingia bandari ya bagamoyo? Lazima MTU uwe na sintofahamu nyingi. Anyway, Lusinde Leo at least katuliza mihemko ya wabunge madili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…