Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Wanamalizana wao kwa wao zambi ya kung'oa kucha na meno itaendelea uwt hamtakaa salama
 
Na aliefanya Mauaji lazima apandishwe CHEO tehetehetehetehe nchi hii kweli kuna mambo
Imani yako inakutuma kuwa kauwa au ni umbea unakusumbua watanzania wangapi wanakufa unaleta post humu jf au unamaslahi na tiss.
 
Ni kwa sababu wengi hawajui ndo maana kila mtu anaongea lake.
 
Wanamalizana wao kwa wao zambi ya kung'oa kucha na meno itaendelea uwt hamtakaa salama
Bado zamu yako,wewe kama unataka kujua undani kwa nini usiende kuwauliza kuliko kuanza kutudanganya humu jff.
 
Amri ya Kinana na Chemba la choo kwa kutoa siri inayohusu Lwakatare na Lissu. Wako wengi mtaua woote?
 
wewe ndiye utakuwa umehsika na kifo chake kwakuwa inaonekana unamfahamu marehemu na hata hali yake ya kiafya.
Nadhani ni vizuri sasa ukatueleza hapa sababu za kumuua huyo bwana Tyenyi ni zipi?
 
Imani yako inakwambia kauawa kwa hiyo umechukua hatua zipi za kumsaidia,marangpi watu wanakutwa wamekufa kwani tiss hawafi au wao ni wadogo zake na yesu kwamba wanapata upendeleo kwa mungu.
 
Hii hoja watakujibu wenyewe maana wapo wengi humu, bahati mbaya mimi sina ushabiki wa chama chochote sababu waliopo madarakani nimeshawachoka na wanaoomba kuingia bado hawajaoiaminisha kuwa watatufikisha pale tunapopatamani hivyo uwa napiga kura kwa kupima hoja zake bila kujali chama anachotoka. Ila sipendi dhurma na tabia ya watu kubehave kama wataishi milele hapa duniani.
 
wewe ndiye utakuwa umehsika na kifo chake kwakuwa inaonekana unamfahamu marehemu na hata hali yake ya kiafya.
Nadhani ni vizuri sasa ukatueleza hapa sababu za kumuua huyo bwana Tyenyi ni zipi?
Wewe mwita usifikiri kila mtu anaakili kama ya kwako unavyotumika kubeba sumu kuuwa watu na kuteka nyara.
 
Lizaboni;
Unaonekana unajua undani maana hapo kwenye red umegusia marehemu kuwa na tatizo la Akili, una hakika ama unafurahisha genge, hebu funguka unachokijua. Maana ulichoeleza ni mpango ambao uko nyuma ya pazia uliopangwa kuandikwa katika taarifa kuwa alikuwa na UGONJWA wa AKILI.
 
Imani yako inakwambia kauawa kwa hiyo umechukua hatua zipi za kumsaidia,marangpi watu wanakutwa wamekufa kwani tiss hawafi au wao ni wadogo zake na yesu kwamba wanapata upendeleo kwa mungu.

Ivi nawe ni mnufaika wa standardization ya haya matokeo yaliyotangazwa juzi nini? Kwenye hiyo post uliyoiquote kuna sehemu niliyosema TISS hawafi au nimemeweka wazi kuwa wanakufa bali kinachohojiwa ni aina ya kifo tena ofisini na ofisi ilishasema mtumishi hakufika kazini? Kwa hapa duniani hakuna wa kumsaidia aliyekufa lakini mbinguni yupo, kila aliyeua nafsi ata kama ni yake mwenyewe aandae majibu ya kutosha siku ya haki.
 
huyo atakuwa amegundulika kuvujisha siri na wamemnyamanzisha kiaina. Hawa jamaa taratbu zao huwez kuacha kazi lazma wakuue na wakikugundua mtoboaji wa dili wanakuRIP vle vle. Ndo maana mabele marando na mrema bdo ni wafanyakazi wa TISS na wanalipwa.
 
hiyo kazi ni mbaya sana. mbaya mno.
 
wewe ndiye utakuwa umehsika na kifo chake kwakuwa inaonekana unamfahamu marehemu na hata hali yake ya kiafya.
Nadhani ni vizuri sasa ukatueleza hapa sababu za kumuua huyo bwana Tyenyi ni zipi?

Hapo penye red...Hivi kuna mtu yeyote anaweza kuthibitisha kuwa bwana Tyenyi alikuwa na matatizo ya akili na alikuwa anapata matibabu Hospitali ipi hapa Dar?
 
kuna usalama mwingine mkurya amefariki mwaka jana tena yeye alikosana na bosi wake baada ya bosi wake kusemekana anatembea na mke wake jamaa kuuliza kwa nn unatembea mke wangu bosi akamaindi akapigwa sumu kwisha habari yake
 
Mchezo huo anao dr slaa ambaye amepewa shahada ya kupora wake za watu. Taarifa yako haina mashiko kwa vile hujatueleza jina la huyo aliyeuawa, jina la muuaji na jina la mke wake. Vinginevyo moto wa jehannam unakusubiri kwa kusema uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…