Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Lizaboni;
Unaonekana unajua undani maana hapo kwenye red umegusia marehemu kuwa na tatizo la Akili, una hakika ama unafurahisha genge, hebu funguka unachokijua. Maana ulichoeleza ni mpango ambao uko nyuma ya pazia uliopangwa kuandikwa katika taarifa kuwa alikuwa na UGONJWA wa AKILI.
Mkuu, nina hakika kuwa hujapata kumuona au kusikia jina la mtu anayeitwa peter tyenyi mpaka ulipoona post hii au uliposoma gazeti la mwananchi la leo. Ila ungemfaham kabla ya tukio hilo nadhani wewe ndo ungekuwa wa kwanza kuniunga mkono. Otherwise endeleza hizo propaganda zako
 
Lizaboni;
Unaonekana unajua undani maana hapo kwenye red umegusia marehemu kuwa na tatizo la Akili, una hakika ama unafurahisha genge, hebu funguka unachokijua. Maana ulichoeleza ni mpango ambao uko nyuma ya pazia uliopangwa kuandikwa katika taarifa kuwa alikuwa na UGONJWA wa AKILI.
Hili habari imeandikwa gazetini na wao walioandika hawana ukweli ila kwa vile some time kuna watu wanatumia mitandao kujifurahisha ngoja waendelee kucharti.
 
huyo atakuwa amegundulika kuvujisha siri na wamemnyamanzisha kiaina. Hawa jamaa taratbu zao huwez kuacha kazi lazma wakuue na wakikugundua mtoboaji wa dili wanakuRIP vle vle. Ndo maana mabele marando na mrema bdo ni wafanyakazi wa TISS na wanalipwa.
Mimi nimesikia marando ndiyo bado anafanya kazi za tiss akiwa chadema hii ya mlema umeniongezea mpya ila na daut mbona mlema ni mpinzani wa serikali ile mbaya.
 
Mkuu, nina hakika kuwa hujapata kumuona au kusikia jina la mtu anayeitwa peter tyenyi mpaka ulipoona post hii au uliposoma gazeti la mwananchi la leo. Ila ungemfaham kabla ya tukio hilo nadhani wewe ndo ungekuwa wa kwanza kuniunga mkono. Otherwise endeleza hizo propaganda zako
Mkuu kunataarifa kuwa mabele marando na josefu selasini mbunge wa rombo wanafnya kazi za tiss wakiwa chadema hii umeipata.
 
kuna usalama mwingine mkurya amefariki mwaka jana tena yeye alikosana na bosi wake baada ya bosi wake kusemekana anatembea na mke wake jamaa kuuliza kwa nn unatembea mke wangu bosi akamaindi akapigwa sumu kwisha habari yake
Huyu nasikia naye alikuwa na ugomvi na mwenyekiti wa chadema mkoa sijui kama kunauhusiano wowote.
 
wewe ndiye utakuwa umehsika na kifo chake kwakuwa inaonekana unamfahamu marehemu na hata hali yake ya kiafya.
Nadhani ni vizuri sasa ukatueleza hapa sababu za kumuua huyo bwana Tyenyi ni zipi?
Huyu Lizaboni anaonekana ana mengi kuhusu kifo cha huyu bwana
 
Last edited by a moderator:
Kwani ukiwa usalama haujilindi? Kama unajijua ni mvujisha siri hautakaa chonjo? kama wewe kweli uliingia usalama bila upendeleo au kujuana lazima utakua perfect hata kukimbia harakati dhidi yako. So mimi sitaki kumalizia harakaharaka kuwa kauwa kwasababu za kisiasa bali wanandugu wachunguze kwanza mienendo ya ndugu yao. Eti alipelekwa kiainaina. Tukumbuke kuwa unapoingia kwenye jeshi unakua umejitoa kua mali ya umma na unakua upo tayari kwa lolote ni kama unapochukua mke au mume wa mtu huku ukijua fika huyu ana mtu maana nyingine ni kwamba unajitoa mhanga, hivyo Mtu wa Usalama wa Taifa kufa kwa style hiyo wala sishangai.
 
Hawa jamaa wanatisha! Hawakutaka kumpeleka mabwe pande wakaamua kumtoa uhai hapo hapo nyumbani kwao! Cha kushangaza wamemwua na kumtupa kwenye kisima ambacho maji yake yanatumika kwa matumizi mbalimbali. Wamedumisha mila kwa kufanya tambiko ambalo limemshirikisha kila mtu kwa matumizi ya maji.
 
Mkuu, bila kufanya utafiti, huwezi kuwa na hoja sahihi. Binafsi nilipoona taarifa hii kwenye gazeti la leo la mwananchi nilianza kudodosa hapa na pale na ndo nikabaini hayo niliyoeleza. Najua kuna wengi humu jf wana akili za kitoto ndo maana wanakimbilia kupost vitu wasivyovijua
Ukisikia mtu mzima ana mawazo ya kitoto ndiyo hivi ulivyoandika unaonesha umweka akili yako kubwa pembeni kama wabunge wetu wanavyofanya, umechukua akili yako ndogo ndiyo unayotumia kupost ujumbe wako hapa,, Hata aibu huna. Iweje ajitumbukize kismimani kisha ajingoe macho yake, CAn't you smell? there is something fish there. Halafu unasema eti hapa JF wengi wa na mawazo ya kitoto, hata aibu huna


Naungana na wengi, kuwa unajua mengi kuhusu kifo hiki, itakuja julikana mbona Kifo cha Kombe sababu ilijulikana, LKN wanaofanya hivyo kutia hsara familia za wenzao wajue nao hawataishi milele, na laana zitawaandama kama sio wao basi vizazi vyao viko matatizoni. Kumbuka nini kiliipata familia ya Mfalme Daudi, mabalaa yaliyotokea hayakuifika kwa bahati mbaya, wasomaji wa Biblia Takatifu wanajua. Ni kosa kubwa sana kuua mtu asiyekuwa na hatia

Lizaboni, acha kushabikia uovu...Kama lengo ni kulinda kitumbua chako kisiingie mchanga, heri Kukaa kimya pia kunasaidia sio kuandika mbofumbofu hapa
 
yaonesha huu ni ujumbe/ salaam maalum kwa watu fulani kwa sababu "kama usalama wa taifa anakufa ndani ya ofisi za usalama wa taifa BILA usalama wa taifa kujua"
......USIDHANI UKO SALAMA kuliko USALAMA WENYEWE.
 
  • Kama marehemu alikuwa mgonjwa wa akili, kwanini muajiri wake aliendelea kumruhusu kwenda kazini, au unless mwajiri wake naye awe na tatizo la akili!
  • Wakati ndugu na mke wa marehemu wakihangaikia kumtafuta marehemu, maafisa wenzie walishirikiana vipi na familia katika kumtafuta, au kwakuwa walijua wapi maiti ilipo hivyo haikuwa na haja ya kumtafuta?
  • Pump za kusukuma maji kutoka kwenye reserve kubwa sana ya maji iliopo, zilienda wapi kiasi kwamba mtu, au marehemu akafuate maji kwa ngata na ndoo kisimani kama kijijini?
  • Kisima kilipo hakiwezi kuwa barabarani.....kwahiyo marehemu alisikia kiu akaamua kwenda kunywa maji kisimani? Na alieugundua mwili wa marehemu kisimani, naye alisikia kiu hivyo kufuata maji kisimani?

Sihoji sababu za kwanini auwawe (kama ni hivyo). Lakini kama ni ndiyo, basi aina ya uuwaji na mateso yamekuwa too obvious kiasi kwamba huacha maswali mengi zaidi ya majibu! Pia tumeshuhudia maafisa wengi wa tiss wakifanya kazi kwa maslahi yao binafsi na sio ya nchi wala maagizo ya idara na hawajatolewa macho, au kusingiziwa wao ni ernest mushy (white)..ili wauwawe....wapo na wanapeta! Kwakuwa sisi sote ni waja wa mungu....hivi kabla ajent hajauwawa....imeshindikana kabisaa kumuamisha, kumsimamisha kazi...kumpa kifungo cha ndani n.k?......damu ya mtu ni kitu kibaya sana....huwa haimwagiki hivi hivi...ina bei yake!

Kama anahusika na utoaji wa siri kwa vyama vya upinzani....bado sio kosa...tena la kumtoa roho kwakuwa, idara ya uwt ipo kwaajili ya wananchi wote, wa vyama vyote na wasio na vyama! Tiss si
o kwa ajili ya ccm tu, tiss haipo kwa ajili ya kulinda msalahi ya wachache wanaoiibia nchi! Sio kosa kwa ajent wa tiss kutoridhika na mwenendo wa uendeshaji wa idara...! Wanajeshi walimpa mtu 10,000/- ili aende dodoma bungeni kuwaona wabunge wa cdm, ili mambo yawe hadharani! kwanini hwakumtuma kwa wabunge wa ccm?
Mkuu, unahangaika sana katika jambo usilolijua. Pia umetengeneza dhana ambayo haieleweki na wala haipimiki?
  1. Kuhusu hilo la watu wenye matatizo yaakili kuendelea kwenda kwenye vituo vyao vya kazi, ni utaratibu uliozoeleka sehemu yoyote na ndiyo njia nzuri ya kurecover hali hiyo. Vinginevyo ndo utampoteza kabisa. Kwenye maofisi mbalimbali wapo watu wa design ya peter na tunawavumilia. Sanasana kinachofanyika ni kuwapunguzia majukumu
  2. kama ungeshirikisha vizuri ubongo wako ungejua kuwa eneo ambapo marehemu alipatikana ni eneo la ofisi na makazi kama tunavyowaona maafisa usalama wengi wakiishi pale. Hivyo ingawa sina hakika lakini inawezekana pia kuwa peter alikuwa anafanya kazi pale na kuishi pale pale. Ndo maana juhudi za kumtafuta zilijikita nje ya eneo la kazi. Ujue pia kuwa waliofanikisha kupatikana kwa peter ni hao hao maafisa kwani naamini kuwa eneo la kisima kama mwandishi alivyotueleza lipo ndani ya makao makuu ya uwt kijitonyama
  3. hilo la kutafuta maji kwa ngata na ndoo umelikoleza tu wewe lakini mwandishi wa gazeti la mwananchi hicho kitu hajakigusia kabisa. Umekoleza tu ili kujenga dhana unayoikusudia, nayo ni kuuawa kwa peter kwa kuvujisha taarifa za idara
  4. Hilo suala la kiu pia ni uzushi wako ambao lengo lake ni lilelile

mwisho, si kila kitu unaweza kukijua na si kila unachokijua unakielewa. Kukaa kimya nako ni busara
 
yaonesha huu ni ujumbe/ salaam maalum kwa watu fulani kwa sababu "kama usalama wa taifa anakufa ndani ya ofisi za usalama wa taifa BILA usalama wa taifa kujua"
......USIDHANI UKO SALAMA kuliko USALAMA WENYEWE.

Inaweza kuwa ujumbe ama mauaji kama mauaji mengine yanayoweza kufanywa na watu, maana UWT ni Idara yenye watu wengi. Binafsi nakumbuka Mwanza waliwahi kumuua mwenzao na Maiti yake ikachomwa na Moto tena katika majengo yao ya ofisi na Ikulu Ndogo ya Mwanza.
Lakini waliodakwa kwa mauaji ni wale ambao hata hawakuwa na uhusiano na ofisi hiyo.
 
hakuna utata peter alikuwa mgonjwa wa akili na muda mrefu tu alikuwa kama kadata..atakuwa kajitumbukiza kisimani
 
Mkuu, hapo umenistua kweli. Ila maana chadema walikuwa wanamtumia huyu peter, mgonjwa wa akili kupata taarifa nyeti? Ila sishangai sana maana ndani ya chadema kuna watu wa design hiyo kibao wakiongozwa na tundu lisu. Ina maana kumbe maafisa wanaoripoti kwa dr slaa ni kama huyu mwenye matatizo ya akili? Kweli chadema hamnazo. Ni bora kuhangaika kujenga chama imara kuliko kuhangaika kupata taarifa nyeti kupitia kwa wwtu wenye matatiO ya akili

kuna watu wanajifanya wana matatizo ya akili ili wasifuatiliwe na kushukiwa vibaya pale wanapofanya shughuli za kipelelezi. so sitashangaa kama huo unaoita ukichaa kama tukiambiwa ulikuwa wa kuigiza. pili si watu wote unaowaita vichaa juu kichwani ni watupu... mind you vichaa wengi ni watu wenye akili nyingiii sana zilizopitiliza shida ni kwamba wanakosa insight. ni kama computer iliyoingia virus. acha dharau kwa kuwaundermine wenye matatizo ya akili. kumbuka huu ni ugonjwa kama ilivyo malaria na zaidi ya kuchanganya mafaili wengi weo ni watu wenye uwezo mkubwa kiakili.
kama unabisha kaulizie historia za hao unawaita vichaa utakuta wengine walikuwa wabaya sana darasani, au walisoma mpaka chuo kikuuu na walikuwa wana akili sana darasani
 
Back
Top Bottom