kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,011
- 650
Kwani hao akina Ben na Roma and company nao ni endangered species km faru? Ukisema iundwe tume kwakua hao wamepotea , tutaunda tume ngapi manake watu wanapotea kila siku?Akipotea Faru John PM anaunda tume na sampuli zinatumwa nje kuchunguzwa.
Akipotea Ben, Roma au mtu mwingine PM anapiga kimya.
Tuunde tume ya kuchunguza akili za viongozi wetu.
mi nashangaa sana taifa hili tunakoelekea.wanachi kutekwa na baadae ukimya kutawala kutoka kwa mamlaka zinazohusika kutulinda.tunalea kitu kibaya sn katika taifa hili kama mamlaka zitaenelea kunyamazia maswala haya ya watu kutekwa na kisha kuchukuliwa ni swala la kawaida.raia wa tanzania ana haki ya kulindwa akiwa kwenye ardhi yake na ndo maana tukawa na vyombo vya ulinzi.kama watu wanapotea tu from no where tunajuaje kama islamic state au alshbaabu wametuingilia.Wakati mnamtafuta Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki na Moni Centralzone pamoja na Vijana wengine waliotekwa pale Studio za Tongwe Records, Mheshimiwa Waziri mwenye dhamana yupo katika mtandao wa kijamii wa Instagram anafanya kazi ya kugonga 'LIKES' katika post za Mange Kimambi.
Si kweli!!!!! Alita ku zoom bahati mbaya aka like hata mie inanitokeaga!!!!!!
Huko naona ni kutekwa. Anayekamatwa na polisi lazima (inatakiwa) itolewe taarifa anapelekwa wapi na kwa nini. ILA sina hakika kama inakuwa hivyo siku hz maana Ni style ya vamia tishia, beba.amekamatwa au ametekwa
Binadamu wa nchi hi hawana thamani kama faru john mpaka kifo kinaundiwa tume!!!!! faru fausta kashazeeka ngoja aje ndo utajua kwanini we huna thamani???hakuna tatizo hapo. it means bashite atashugulikiwa
Tunaomba data, bila shaka utakuwa nazo tayari. Nchi hii Ni ya mihemko. Bahati mbaya mihemko mingi huwa ya kweliHii taarifa haijakamilika inamaswali kibao,. Napata shida kuona watu wanavyoanza kuto povu na kutukana watu na mamlaka hovyo hovyo, hata uhakika wa taarifa yenyewe hawana niyakusadikika tu. Rai yangu tuache majungu na porojo na mihemko tujikite kwanza kupata data za kisayansi kuhusu jambo husika, yaweza kuwa ni mabifu yao, au mamlaka za ulinzi na usalama au ujambazi au vinginevyo, na kama ni mamlaka zetu za ulinzi na usalama tunapaswa pia kujua sababu za kuwakamata ili tujue kama wamefanya kwa masilahi mapana ya Taifa au uonevu.Tukumbuke hata kama ni wasanii Hawana kinga ya kutokamatwa kama kweli wamefanya kosa, tusiunganishe mihemko ya Ney kwenye hili sakata
kwautaila wako unaweza ona ni uzushiHuyo amejiteka tuu kutafuta kiki...ROMA anatekwa kwa sababu gani hasa? ana nini cha kumtisha mtu yeyote nchi hii?
Ni nani aliona Roma akikamatwa? Ni nani aliona Roma akitekwa?
Huu ni uzushi tuu....
Huko mbinguni kuna watu hawastahili kuchomwa moto , mungu anapaswa kuiangalia hii adhabu upya..Halafu alivyo mnafiki anajifanya mzalendo sana,muda wote na bendera ya Tanzania kama gari la DC/RC huku huyo huyo wizara yake imetoa arrest warrant kwa Mange akipita mpaka wowote nchi hii!!