Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Si tuliwasikia Mwakyemb na Magu wakiruhusu wimbo wa Ney wa Mitego, huku wakibainisha kuwa wasanii wako huru kuonyesha feeling zao kupitia tungo zao?

Sasa imekuwaje tena mbona kwa Roma Mkatoliki wanafanya vice versa?
Huko nyuma niliwahi kusema kuwa "Wasanii wa mziki kaa chonjo, wimbo wa Ney kuruhusiwa ni chambo ya kuwanasa walengwa".
 
Atakuwa kuna wimbo alikuwa akirekodi
 
Mkuu kuwa sirias basi inamaana hata nyimbo inaitwa mathematics hujawahi kuisikia kwa msiojielewa kama nyie ndo mnaona Roma hana kitu ila ni mwanaharakati hatari yule akiamua kuingia kwenye siasa nyimbo zake ni chachu hatari kwa bashite na magu wake
 
Marekani trump anatukanwa kila siku na wasanii lkn sijawai kuckia wamekamatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…