Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Ukishapeleka jina tu, ushajiondoa kwenye uchawi.

Huelewi wapi?
 
Umeeleweka asilimia 100
 
Uchawi sio hearsay mkuu , shida unatumia logic kutaka kuelewa uchawi upo ams haupo na kamwe hutokuja kuelewa wala kukubali.
 
Hauwezi kufa kama siku zako bado , alipitishwa kwenye mitihani ila njia aliyotumia kuivuka ndiyo questionable uchawi haujawahi kumsaidia mtu kitu zaidi ya kumzidishia maangamizi BELIEVE ME HUYO JAMAA HATA ASINGEENDA KUFANYA HAYO MAUCHAWI ANGEPONA TU NINA USHAHIDI JUU YA HILI KIDOGO STORY YAKE INAFANANA NA YA NDUGU YANGU NA ALIPONA PALE AMBALO ALLAH (subhana huwataala ) aliamua apone .
 
Mkuu ninakukubalia kw aasilimia 1000/1000 uchawi upo na mtu asiye amini kama uchawi haupo basi ujuwe hajarogwa huyo na akisha rogwa ndipo atakapo amini kuwa kama kuna uchawi upo.
 
Subiri wandewa hasa wa kike wakujalie dm kuomba namba za wazee.
 
Tufanye hivi... Sisi hatuamini uchawi...nyie mnaamini...full stop..
Msianze kusema hoo sijui Fulani na Fulani, hata mwamposa katikisa kawe ila haibadilishi fact kwamba ye ni tapeli tu kama magician na trickster wengine waliolewa mfumo.

So if unaamini uchawi upo ..upo kwa unayeamini..usilazimishe wengine kuamini upo.
 
Aliyemfanyia hivyo huenda ni mtu wa karibu sana. Ningekuwa yeye ningemrudishia huo mzigo mara mbili. Ndugu zangu, dunia ndivyo ilivyo, sio kila mtu anafurahiya mafanikio yako.
Jamaa kaamua kuachilia tu..ujue usomi unasaidia sana hata kwenye nduma, mchawi msomi ni tofauti kidogo na mchawi mjinga..anakua a little bit civilized 😂
 
Yaani stori nzima kutuaminisha kwamba uchawi na waganga wapo. Nchi imeharibika. Sasa bila shaka utasubiri kuulizwa mganga gani huko iringa ili uanze kupiga hela za udalali. Fanyeni kazi jamani fursa zipo sio kutafuta kudhulumu wenzenu.
Sawa kamanda. Uzuri hatushikian visu ili uibiwe unakuja mwenyewe tu sasa hpo shida iko wapi??😂
 
Nakubali chief. Umenena sahihi. Mimi binafsi kama isingekua umani yangu kwa Mungu bas tungekua tunaongea mengine hapa leo. Nishawindwa sana kuanzia kwa yf mpaka watoto. Only prayers keep us safe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…