hiki kifo cha mwalimu kimeficha mengi sana...na kwa wale wanaofahamu wengi hawasemi......ninyi watanznai muulizen mkapa maswali haya:
1. kwa nini mkapa alimpiga marufuku daktari wake Mtanzania asimsogelee mwalimu wakati akiwa hosptali?
2. ni kwa nini serikali iliamua kumpeleka London wakati walijua kuwa Uingereza haikuwa na uwezo wakati huo kutibu leukemia, kama kweli leukemia ndio uliomsumbua Mwalimu?
3. Kwa nini daktari wake hakushauri apelekwe New York kwa yule daktari aliyempima Mwalimu 1998?
4. kwa nini walipomfikisha london hawakumpeleka hosp moja kwa moja bada yake wakamuweka mwalimu hotelini hadi alipozimia ndo wakampeleka hosp?
5. Kwa nini alipelekwa hospitali ya St. Thomas ambayo ni general hospital isiyo specialize na magonjwa maalumu?
6. kwa nini hakuwekwa chumba maalumu akawekwa tu eneo wazi la wagonjwa wote?
kuna siri nzito juu ya kifo hiki....
...nini ni Lengo la hii tamthiliya ya Nyerere inayotaka kuanza saiv...?
Sababu ya kufanya hivyo ni sera ya UBINAFSISHAJI iliyomchukiza Baba mkubwa hasa baada ya sakata la NBC.Kwani angeenda china ndio angepona? Mbona walishindwa kuzuia roho ya Mao kutoka? Hii si sababu ya kutosheleza
cha maana kujiuliza ni kwa nini aliondoka na nguvu zake alipofika nchi yenye utabibu wa hali ya juu afya yake ikazorota ghafla?
Inawezekana kuna "mkono wa mtu" lakini sidhani kama ni Ben. Hakuwa na sababu za kufanya hivyo.
Wewe basi tuletee hoja itakayosaidia kuinua uchumi. Ugumu wa makali ya maisha umeletwa na hao hao mafisadi wauaji.Hii hoja inachangiaje katika kuinua uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla???
na walalahoi waliokufa nyakati za Migomo ya Madaktari nani awajibishwe/alaumiwe,
KIKWETE au Waziri Mkuu/waziri wa Afya au nani..???? wale ambao hawana
ndugu wabunge watasemewa na nani??
leteni hoja za kusaidia watanzania kupunguza ugumu na makali ya maisha!
"I STAND TO BE CORRECTED"
Unamjuwa Bokassa?Nawasiwasi huu ni ushuzi wa baadhi ya wana CDM.
Mwisho wake ni Mkapa kunyogwa hadi kufa hakuna lingine zaidi ya hilo ni jino kwa jino na jicho kwa jicho.Japo nashangaa hii habari lakini yaliyomo yananitisha mno, ni hatari kwa kweli. Nina hamu ya kuona mwisho wake.
MMM alisema tuko vitani, nakubaliana naye kabisa!Mwisho wake ni Mkapa kunyogwa hadi kufa hakuna lingine zaidi ya hilo ni jino kwa jino na jicho kwa jicho.
Mwisho wake ni Mkapa kunyogwa hadi kufa hakuna lingine zaidi ya hilo ni jino kwa jino na jicho kwa jicho.
Hebu twambie kwa undani kuna tatizo gani hizi habari kuletwa sasa? Je zingekuwa zimeletwa mapema zingesaidia nini kama unaona zilizotoka sasa hivi hazisaidii kitu?
Kifo ni kifo tu kuna siku kila nafsi itaonja mauti
ni vp? tuanze kulumbana bila fulani , fulani asingekufa
ni kweli Mbunge Nyerere alidhihakiwa kuwa si mtoto wa ukoo huo, ana haki ya kujibu lakini kuendelea kumtafuta mchawi tuache/ siafiki
Tofauti ya watu wenye akili na mbumbumbu ni kuwa wenye akili hutafuta chanzo cha matatizo yao, kutafuta ufumbuzi na kuzuia yasitokee tena wasio na akili na wavivu wa kufikiri huchukulia kila kitu kuwa kudra hivyo humuachia Mungu kuwaongoza hata kama tatizo ni kuvuja kwa nyumba wanayolalaNi miaka mingi imepita tangu Mwalimu alipofariki bila hoja za namna hii kuibuka. Iweje kampeni za Jimbo la Arumeru mashariki ndiyo iwe chanzo? Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani....amina.
kutoafiki kwako bila sababu ya msingi ni ujinga, kama wewe huafiki kuna wanaoafiki kama una sababu ya maana ya kuwa tuache kulizungumzia hili tueleze sio tu eti wewe huafiki na kuwa kila mtu ataonja umauti. Je wale wananchi waliouliwa na askari wa JWTZ kule Ulanga si nao wameonja umauti? Vp kwa hilo tuliache tusizungumze?Hebu twambie kwa undani kuna tatizo gani hizi habari kuletwa sasa? Je zingekuwa zimeletwa mapema zingesaidia nini kama unaona zilizotoka sasa hivi hazisaidii kitu?
Kifo ni kifo tu kuna siku kila nafsi itaonja mauti
ni vp? tuanze kulumbana bila fulani , fulani asingekufa
ni kweli Mbunge Nyerere alidhihakiwa kuwa si mtoto wa ukoo huo, ana haki ya kujibu lakini kuendelea kumtafuta mchawi tuache/ siafiki
wewe ndiye kichwa maji kabisaaaaaaaaaaaa kama mimi! unafikiri NL anaipenda hii habari? Wana mtandao walipanga kuharakisha kifo cha N, na NL alifanya sherehe na wenzake kufurahia ushindi, habari hii asingependa kabisa kuisikia kwani inamuharibia sana. Wanamtandao wote walioshiriki na kuhudhuria ile sherehe wanapata tumbo joto akiwemo mwajiriwa nambari moja. Jiulize kwa nini siri kali hii haipatani na taasisi ya mfuko wa mwalimu utapata jibuJAMHURI gazeti jipya kabisa la Lowasa likiongozwa na Balile akiwa hapo kwa mkopo toka kwa RA.
'je viongozi wa zamani walio funguliwa mashtaka katika mahakama zinazousiana na ualifu wa kivita na mauaji na kuwa hukumu hao viongoz wanapata faida gani? Ndugu kumbuka damu iliyo mwagika aridhin pasipo haki hulia na kumfata muuaji, tafuta habari ya kaini na abeli ktk kitabu cha dini kinaitwa biblia pengine utapata mwanga wa jambo lilipo sasa.tumechoka na habari hizi, sasa walikuwa wapi kusema hayo enzi hizo wanasema leo wakati Nyerere amefariki, inasaidia nini sasa??? Nyerere ndo atafufuka??/
bongo bana watu wanajitafutia umaarufu kwa vitu vya ajabu ajabu sana?? wangetoa taarifa hizo mapema not now?