Utatu ni wa majukumu si mamlaka. Yesu ni Mungu lakini si Mkuu kuliko Baba

Majukumu ni kazi au mambo unayopaswa kufanya.

Mamlaka ni uwezo au nguvu ya kuamuru au kusimamia kazi hizo.

Majukumu ni mfumo wa kikazi, mamlaka ni nguvu za kuongoza kazi hiyo.
Yaani unachoongea ni sahiihi kabisa; nianchoshindwa kuelewa ni kwa nini huelewi hoja yangu wakati iko sawai kabisa na unachokiong wewe kwenye posts zako, ambacho si kile kilichopo kwenye heading ya uzi huu

Unachoongea hapa, si kile ambacho kipo kwenye heading. Hapa unaongea sahihi, wakati kwenye heading umeongea otherwise
 
You will die without knowing, this's 2025.
Take your Curiosity and never think for things you will forever never know!
Lost moments
 
Sijadili hisia, najadili neno.
Lete andiko.
 
Mkuu mimi Sidhani, naelewa.
Kama wewe unadhani, usidhani namimi ninadhani.
 
Ambacho huelewi ni nini?
Umetaka maana ya majukumu na mamlaka nimekupa.
Sasa umehamia kusema Tittle na uzi haviendani.
Ni wapi ambapo haviendani?
 
Kwasababu hoja yako ni kwamba Yesu ndiye Mungu mwenyewe.

Huoni hapa ni sawa unasema Mungu mwenyewe hajui siku ile?

Mana kama Mwana hajui siku ya mwisho na Mwana ndiyo Mungu mkuu huyohuyo kama unavyodai - je ni sawa alosema "Sijui siku ile"?
hili andiko linababaisha watu wengi sana ila wasichojua,hapa Yesu hakukiri kutojua kabisa,bali alichagua kukaa kundi moja na wasiotakiwa kujua,kwa maana iliyopo mstari wa 35 kuendelea.
 
Umrtoa wapi ayo unayoyasema maana biblia inasema roho mmoja nafsi moja
bublia inazungumza hayo kwa Mungu au binaadam??
kumbuka wasifu wa Mungu ktk biblia ndio unafanya tumwone katika nafasi tatu tittle moja.

kuna sehemu amekuwa Mungu baba,kuna sehemu amekuwa mwana kwa kuzaliwa,na kuna sehemu amekuwa roho (msimamizi).
 
Kwaio baba yake yesu ni roho mtakatifu kwamaana mimba ilitungwa na Roho mtakatifu sio
 
Yesu ni neno la Mungu, Roho mtakatifu ni nafsi ya utendaji kazi wa Mungu.

Kwenye kiti cha enzi Yesu amekaa upande wa kushoto wa Mungu. Mbinguni haitwi Yesu bali Masihi wa Mungu.

Roho mtakatifu atarudi ndani ya Mungu siku ule mwisho utakapofika.
 
 
Kwaio baba yake yesu ni roho mtakatifu kwamaana mimba ilitungwa na Roho mtakatifu sio
Kwanini unafikiri Yesu kuitwa mwana lazima azaliwe katika namna ya kibinadamu yaani kupitia mimba?

Kwani mimba za malaika zilitungwa na nani?
 
hili andiko linababaisha watu wengi sana ila wasichojua,hapa Yesu hakukiri kutojua kabisa,bali alichagua kukaa kundi moja na wasiotakiwa kujua,kwa maana iliyopo mstari wa 35 kuendelea.
Yesu hakukiri kutokujua kabisa?
Kivipi?
Fafanua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…