The Chosen Liberator
Senior Member
- Jun 21, 2025
- 123
- 66
- Thread starter
- #141
Kusema niko wrong bila neno la kweli hayo ni maoni ya kibinadamu.u're totally wrong!

Mungu ni mmoja tu, YHWH.Habari zenu wakuu - Nitatoa ufafanuzi kama kichwa kinavyoeleza, Hizi hoja zote ni matokeo ya uchambuzi wangu wa kina wa biblia:
NInakubaliana na fumbo la utatu wa Mungu - Baba, Mwana na Roho lakini katika mtizamo wa kimajukumu na siyo Mamlaka.
Tuweke theology pembeni kisha tujadili neno lenyewe, Kwanini nasema Utatu ni wa majukumu na siyo mamlaka ? [Kama christians wengi wadaivyo kwamba YHWH, Yesu na RohoMtakatifu wana uwezo sawa kimamlaka], Sababu zangu ni:
1. Mungu ni Mmoja, Nafsi Moja — Sio Nafsi Tatu.
“Sikia, Ee Israeli, BWANA Mungu wetu, BWANA ni mmoja.”
(Kumbukumbu 6:4)
“Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine; zaidi yangu hapana Mungu.”
(Isaya 45:5)
Mungu ni nafsi moja tu, anasema “Mimi,” si “sisi.” Hakuna viini vitatu vya Mungu.
2. Yesu ni Mungu kwa Sababu ni Mwana wa Mungu — ila si Mkuu Kama Baba.
-"Kwani kijana wa miaka 35 si mtu mzima aliyekomaa sawa tu na baba yake-Je hilo linampa nafasi ya kuwa sawa na baba yake? Bado atabaki mtoto anayepaswa kutii simple.
“Naye Neno alikuwa Mungu... naye akawa mwili...” - Yaani Yesu pia alikua ni Mungu kamili kwasababu alirithi uungu ule kwa baba yake na akaja kupitia mwili.
(Yohana 1:1,14)
“Katika yeye unakaa utimilifu wote wa uungu...” - unakaa utimilifu wa uungu - Si kwamba yeye ndiye Mungu mkuu.
(Wakolosai 2:9)
“Baba peke yake ndiwe Mungu wa kweli...”
(Yohana 17:3)
Yesu ana uungu, lakini anamtambua Baba kuwa Mkuu kuliko yeye.
3. Yesu si Baba — Wanatenda Majukumu Tofauti
“Baba ni mkuu kuniliko mimi.”
(Yohana 14:28)
“Sishuki kutoka mbinguni kufanya mapenzi yangu, bali ya Yule aliyenituma.”
(Yohana 6:38)
Yesu anatenda kazi ya Baba, si Baba mwenyewe.
4. Roho Mtakatifu si Nafsi ya Mungu, Bali ni Nguvu ya Mungu.
“Roho Mtakatifu atakujilia juu...”
(Luka 1:35)
“Mtapokea nguvu, Roho Mtakatifu atakapowajilia...”
(Matendo 1:8)
“Roho hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.” - Hutuombea kwa nani ikiwa watu wanaclaim Roho ni YHWH.
(Warumi 8:26)
Roho ni nguvu ya YHWH, si nafsi huru.
5. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza — YHWH Hana Chanzo wala hazaliwi.
“Mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.”
(Wakolosai 1:15)
“Mimi nalitoka kwa Mungu...”
(Yohana 8:42)
Yesu ni mwanzo wa ufunuo wa Mungu; Baba hana mwanzo.
6. Yesu Anafanya Kazi Maalum — Uumbaji na Ufunuo.
“Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa...”
(Wakolosai 1:16)
“Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana.”
(Wakolosai 1:15) - Amebeba sifa zote za YHWH asiyeonekana.
Yesu ni mtendaji mkuu wa Mungu, si chanzo kikuu.
7. Yesu Alijinyenyekesha — Hakujijaribu Kuwa Mkuu Kuliko Baba.
“Alijinyenyekeza mwenyewe, akawa mtii hata mauti...”
(Wafilipi 2:6-8)
Alijua kuwa ana sifa zote za Uungu lakini alimuachia Baba mamlaka ya mwisho.
8. Yesu Hakupewa Ujuzi wa Mwisho — Baba Pekee Anajua kila kitu.
“Siku ile au saa ile hakuna ajuaye, hata malaika, wala Mwana, ila Baba peke yake.”
(Marko 13:32) - Hata Mwana mwenyewe haijui siku ya mwisho bali Baba.
Majukumu tofauti - mamlaka tofauti.
9. Roho Mtakatifu ni Nguvu ya YHWH Inayotumika na Baba mwenyewe, Mwana, na Sisi kama tukikiri kwa moyo wa dhati tunashare pia.
“Pokeeni Roho Mtakatifu.”
(Yohana 20:22)
“Nitaimimina Roho yangu juu ya wote wenye mwili...”
(Matendo 2:17)
“Roho wake akaaye ndani yenu...”
(Warumi 8:11)
Roho hutenda kazi ndani ya Mungu na sisi.
10. Mungu Mmoja, Nafsi Moja, Anayetenda Ndani ya Wote.
“Mungu mmoja, aliye Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote, na ndani ya yote.”
(Waefeso 4:6).
Mungu ni mmoja, na anatenda kazi zote tatu:
I. Baba kama chanzo na mkuu.
II. Kumtuma Mwana kama mtendaji na mfunuo.
III. Kuachilia Roho kama nguvu inayotenda ndani ya sisi na ulimwengu
11. Yesu ni Mungu Kamili — Anatenda kama Mungu, Lakini Hadai Usawa na Baba kwasababu Baba ni Baba.
“Umesamehewa dhambi zako.”
(Luka 5:20)
“Wewe u Mwana wa Mungu.”
(Marko 3:11)
“Mungu alikuwa katika Kristo akiupatanisha ulimwengu...”
(2 Wakorintho 5:19)
Yesu anasamehe, anatoa pepo, anapatanisha — ni kazi za Mungu ila;
“Yeye kwa asili alikuwa Mungu, lakini hakudhani kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho...”
(Wafilipi 2:6) - Alijinyenyekesha, hakutaka kuwa sawa na Mungu mkuu.
“Baba ni mkuu kuniliko mimi.”
(Yohana 14:28)
✅ Yesu ni Mungu, lakini hachukui nafasi ya Baba.
✅ Alinyenyekea, akatenda kwa mamlaka ya Baba.
✅Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza - Mungu hazaliwi na Hana chanzo, Kama angezaliwa ilitakiwa biblia ijibu alizaliwa toka kwa nani?
✅Mwana wa Mungu = Mungu [Genetically].
Lakini Baba ni mkuu kuliko yeye.
✅Roho ni nguvu ya Mungu, inayoshirikiwa na wote — Baba, Mwana, na sisi.
✅Huu ndio Utatu wa Majukumu — si uungu wa nafsi tatu, bali kazi tatu za Mungu mmoja aliye juu ya yote.
🧠 Tufungue mjadala:
Unakubaliana au unapinga? Tufanye hoja kwa hoja - siyo hisia na mihemko kwa heshima ya maandiko ili tupate kuujua ukweli.
📖 Biblia iwe mbele, Theology nyuma.
1. Ukisoma injili zote, Yesu hakudai kuwa yeye ni Mungu, wala kujipa nafasi moja na Mungu. Kitu cha msingi pia, takamatsu mashtaka Wayahudi walipelekea kwa utawala wa Warumi, kuwa anajiita Mfalme wa Wayahudi. Angejiita ni Mungu, wangempiga mawe kama Torati inavyosema. Kwa hiyo Yesu hakudai kuwa yeye ni Mungu.Habari zenu wakuu - Nitatoa ufafanuzi kama kichwa kinavyoeleza, Hizi hoja zote ni matokeo ya uchambuzi wangu wa kina wa biblia:

Umesamehewa. Tuishie hapo. Mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache. Tuukomboe wakati, tutumie muda mwingi kutimiza agizo kuu la Yesu. UbarikiweNakuombea kwa Bwana Mungu akupe moyo wa upole na kiasi, hekima na utambuzi juu ya haya unayoyaandika in Jesus name - Amen 🙏🏿
Nisamehe ili Bwana anisamehe - huenda nimejivuna bila kujua kwamba nimejivuna maana mimi sioni kama ninajivuna.
Lakini kumbuka nyuzi zako zote humu umeandika kwa kutumia AI bila kusema hii si akili yangu - Sikulaumu wala sikukosoi.
Ila pitia tena Mathayo 7:3-5 inasema - "Kwa nini waona kibanzi kilicho jichoni mwa nduguyo, na huoni boriti lililo jichoni mwako mwenyewe? Au watawezaje kumwambia nduguyo, ‘Niruhusu nitoe kibanzi jichoni mwako,’ na kumbe boriti liko katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki! Toa kwanza boriti jichoni mwako, ndipo utaona sawasawa, na kisha utoe kibanzi kilicho jichoni mwa nduguyo."
Pitia na Warumi 2:1 inasema - “Kwa hiyo huna udhuru, ewe mwanadamu, ye yote ahukumuye; kwa maana katika hayo umhukumuye mwingine wajihukumu nafsi yako; kwa maana wewe unayehukumu watenda hayo hayo.”
Kuniambia ninasema uongo bila kuleta neno la kweli ni Kiburi cha ujuaji na ni Unafiki pia.
Kusema sijui maandiko si neno geni kwangu hata Maandiko yenyewe katika 1 Wakorintho 8:2 yanasema - "Mtu akidhani ya kuwa anajua neno lo lote, hajui bado kama impasavyo kujua."
Tumia hekima katika 2Timotheo2:23-25 inasema - “.......Na mtumishi wa Bwana hana budi kutengana na magomvi, bali awe mpole kwa watu wote, awe na uwezo wa kufundisha, mvumilivu, akiwaonya wapinzani kwa upole; labda Mungu atawapa kutubu wapate kujua kweli.”
Kumbuka hata Yesu mwenyewe alisema katika Marko7:6-9 - "Mnayaacha maagizo ya Mungu, na kushika yaliyo ya wanadamu"
Hivyo kama usipojibu kwa neno sitakujibu kamwe kwani hayo yatakua ni maagizo na hisia za kibinadamu.
God bless you.
Yohana 10:30Mungu ni mmoja tu, YHWH.
Yesu hakuwahi kudai yeye ni Mungu. Anglesea yeye ni Mungu, wayahudi wangemuua kwa mawe. May be hata kwa Pilato asingefika.
1. Ukisoma injili zote, Yesu hakudai kuwa yeye ni Mungu, wala kujipa nafasi moja na Mungu. Kitu cha msingi pia, takamatsu mashtaka Wayahudi walipelekea kwa utawala wa Warumi, kuwa anajiita Mfalme wa Wayahudi. Angejiita ni Mungu, wangempiga mawe kama Torati inavyosema. Kwa hiyo Yesu hakudai kuwa yeye ni Mungu.
Matendo 7:59-602. Soma Matendo ya Mitume (Acts of Apostles). Kuna mara kadhaa maombi ya mitume yameandikwa, wakimuomba Mungu na sio Yesu. Na hata kwenye kuhubiri kwao hawakusema Yesu ni Mungu, bali mtumishi maalum wa Mungu/mwana wa Mungu. Ni muhimu hilo.
Lete hizo nakala za kale - tuthibitishe!!3. Injili ya Yohana, ndo yenye kuleta some ideas juu ya uungu wa Yesu. Lakini Injili hii imeandikwa takribani miaka 70 tangu Yesu amekufa.
Hapa tayari kuna theology zilishaanza kujengwa, na ikazichukua hizo. Lakini injili za mwanzoni kabisa hazina hii dhana.
Amen - Hata mimi nimekusamehe kwa kujibu kwa hisia bila maandiko ili Mungu apate kukusamehe.Umesamehewa. Tuishie hapo. Mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache. Tuukomboe wakati, tutumie muda mwingi kutimiza agizo kuu la Yesu. Ubarikiwe
Uungu wa Yesu haukusubiri kura ya Nicaea.Mkuu wangu Vishu!
Hili swala la Homoiusios (ὁμοιούσιος) na Heteroiousios (ἑτεροούσιος) Halikuanza Debate Leo Tangu enzi Zile za Arian Controversy..
Mkuu Nitatia Neno Leo Mida saa Nane au tisa Saa Za Afrika Mashariki Baada ya Kumtumikia Kaisari ila Kifupi Ni Kwamba Ubishi Huu Ulichukua Miaka zaid ya 200 Na Uliamuliwa Kwa Kura za Maoni Ukiongozwa na Constantine..
Kiufupi Uungu wa Yesu ni Mjadala Tangu NiCea mpaka Constantinople..
Nitakuja
Sawa - bhasi lete mchango wako mkuu.
Kuhusu Yohana, injili iliandikwa takribani miaka 60-70 toka Yesu. Nadhani unajua juu ya fasihi simulizi. Injili za mwanzo ni Marko, Mathayo na Luka.Yohana 10:30
"Mimi na Baba tu umoja."
Yohana 10:33
"Wewe u mtu tu, wajifanya kuwa Mungu." - Waliona Yesu kama anajifanya Mungu.
Yohana 8:58
"Kabla Abrahamu hajazaliwa, Mimi niko."
Kutoka 3:14
"MIMI NIKO AMBAYE NIKO."
Alipewa mamlaka na Mungu. Naye aliwapa mamlaka wanafunzi wake kuponya na kusamehe dhambi. Haikuwapa wanafunzi wake uungu.Mathayo 9:2-3
"Dhambi zako zimesamehewa.
Mafarisayo wakajibu - Huyu anamamlaka gani ya kusamehe dhambi?"
Hapa mkuu umetoka nje ya mstari4. Roho Mtakatifu si Nafsi ya Mungu, Bali ni Nguvu ya Mungu.
GPT inaanza kukudanganya sasaHabari zenu wakuu - Nitatoa ufafanuzi kama kichwa kinavyoeleza, Hizi hoja zote ni matokeo ya uchambuzi wangu wa kina wa biblia:
NInakubaliana na fumbo la utatu wa Mungu - Baba, Mwana na Roho lakini katika mtizamo wa kimajukumu na siyo Mamlaka.
Tuweke theology pembeni kisha tujadili neno lenyewe, Kwanini nasema Utatu ni wa majukumu na siyo mamlaka ? [Kama christians wengi wadaivyo kwamba YHWH, Yesu na RohoMtakatifu wana uwezo sawa kimamlaka], Sababu zangu ni:
1. Mungu ni Mmoja, Nafsi Moja — Sio Nafsi Tatu.
“Sikia, Ee Israeli, BWANA Mungu wetu, BWANA ni mmoja.”
(Kumbukumbu 6:4)
“Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine; zaidi yangu hapana Mungu.”
(Isaya 45:5)
Mungu ni nafsi moja tu, anasema “Mimi,” si “sisi.” Hakuna viini vitatu vya Mungu.
2. Yesu ni Mungu kwa Sababu ni Mwana wa Mungu — ila si Mkuu Kama Baba.
-"Kwani kijana wa miaka 35 si mtu mzima aliyekomaa sawa tu na baba yake-Je hilo linampa nafasi ya kuwa sawa na baba yake? Bado atabaki mtoto anayepaswa kutii simple.
“Naye Neno alikuwa Mungu... naye akawa mwili...” - Yaani Yesu pia alikua ni Mungu kamili kwasababu alirithi uungu ule kwa baba yake na akaja kupitia mwili.
(Yohana 1:1,14)
“Katika yeye unakaa utimilifu wote wa uungu...” - unakaa utimilifu wa uungu - Si kwamba yeye ndiye Mungu mkuu.
(Wakolosai 2:9)
“Baba peke yake ndiwe Mungu wa kweli...”
(Yohana 17:3)
Yesu ana uungu, lakini anamtambua Baba kuwa Mkuu kuliko yeye.
3. Yesu si Baba — Wanatenda Majukumu Tofauti
“Baba ni mkuu kuniliko mimi.”
(Yohana 14:28)
“Sishuki kutoka mbinguni kufanya mapenzi yangu, bali ya Yule aliyenituma.”
(Yohana 6:38)
Yesu anatenda kazi ya Baba, si Baba mwenyewe.
4. Roho Mtakatifu si Nafsi ya Mungu, Bali ni Nguvu ya Mungu.
“Roho Mtakatifu atakujilia juu...”
(Luka 1:35)
“Mtapokea nguvu, Roho Mtakatifu atakapowajilia...”
(Matendo 1:8)
“Roho hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.” - Hutuombea kwa nani ikiwa watu wanaclaim Roho ni YHWH.
(Warumi 8:26)
Roho ni nguvu ya YHWH, si nafsi huru.
5. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza — YHWH Hana Chanzo wala hazaliwi.
“Mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.”
(Wakolosai 1:15)
“Mimi nalitoka kwa Mungu...”
(Yohana 8:42)
Yesu ni mwanzo wa ufunuo wa Mungu; Baba hana mwanzo.
6. Yesu Anafanya Kazi Maalum — Uumbaji na Ufunuo.
“Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa...”
(Wakolosai 1:16)
“Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana.”
(Wakolosai 1:15) - Amebeba sifa zote za YHWH asiyeonekana.
Yesu ni mtendaji mkuu wa Mungu, si chanzo kikuu.
7. Yesu Alijinyenyekesha — Hakujijaribu Kuwa Mkuu Kuliko Baba.
“Alijinyenyekeza mwenyewe, akawa mtii hata mauti...”
(Wafilipi 2:6-8)
Alijua kuwa ana sifa zote za Uungu lakini alimuachia Baba mamlaka ya mwisho.
8. Yesu Hakupewa Ujuzi wa Mwisho — Baba Pekee Anajua kila kitu.
“Siku ile au saa ile hakuna ajuaye, hata malaika, wala Mwana, ila Baba peke yake.”
(Marko 13:32) - Hata Mwana mwenyewe haijui siku ya mwisho bali Baba.
Majukumu tofauti - mamlaka tofauti.
9. Roho Mtakatifu ni Nguvu ya YHWH Inayotumika na Baba mwenyewe, Mwana, na Sisi kama tukikiri kwa moyo wa dhati tunashare pia.
“Pokeeni Roho Mtakatifu.”
(Yohana 20:22)
“Nitaimimina Roho yangu juu ya wote wenye mwili...”
(Matendo 2:17)
“Roho wake akaaye ndani yenu...”
(Warumi 8:11)
Roho hutenda kazi ndani ya Mungu na sisi.
10. Mungu Mmoja, Nafsi Moja, Anayetenda Ndani ya Wote.
“Mungu mmoja, aliye Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote, na ndani ya yote.”
(Waefeso 4:6).
Mungu ni mmoja, na anatenda kazi zote tatu:
I. Baba kama chanzo na mkuu.
II. Kumtuma Mwana kama mtendaji na mfunuo.
III. Kuachilia Roho kama nguvu inayotenda ndani ya sisi na ulimwengu
11. Yesu ni Mungu Kamili — Anatenda kama Mungu, Lakini Hadai Usawa na Baba kwasababu Baba ni Baba.
“Umesamehewa dhambi zako.”
(Luka 5:20)
“Wewe u Mwana wa Mungu.”
(Marko 3:11)
“Mungu alikuwa katika Kristo akiupatanisha ulimwengu...”
(2 Wakorintho 5:19)
Yesu anasamehe, anatoa pepo, anapatanisha — ni kazi za Mungu ila;
“Yeye kwa asili alikuwa Mungu, lakini hakudhani kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho...”
(Wafilipi 2:6) - Alijinyenyekesha, hakutaka kuwa sawa na Mungu mkuu.
“Baba ni mkuu kuniliko mimi.”
(Yohana 14:28)
✅ Yesu ni Mungu, lakini hachukui nafasi ya Baba.
✅ Alinyenyekea, akatenda kwa mamlaka ya Baba.
✅Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza - Mungu hazaliwi na Hana chanzo, Kama angezaliwa ilitakiwa biblia ijibu alizaliwa toka kwa nani?
✅Mwana wa Mungu = Mungu [Genetically].
Lakini Baba ni mkuu kuliko yeye.
✅Roho ni nguvu ya Mungu, inayoshirikiwa na wote — Baba, Mwana, na sisi.
✅Huu ndio Utatu wa Majukumu — si uungu wa nafsi tatu, bali kazi tatu za Mungu mmoja aliye juu ya yote.
🧠 Tufungue mjadala:
Unakubaliana au unapinga? Tufanye hoja kwa hoja - siyo hisia na mihemko kwa heshima ya maandiko ili tupate kuujua ukweli.
📖 Biblia iwe mbele, Theology nyuma.
DR Mambo Jambo Kaisari anahitaji umetengenezee kiasi gani tukusaidie kumlipa ili uje utoe hoja zako hapa??Uungu wa Yesu haukusubiri kura ya Nicaea.
Mitume walimwita "Bwana wangu na Mungu wangu - "Yoh 20:28" kabla ya Constantine kuzaliwa.
Stefano alimwomba Yesu - Matendo 7:59 kabla ya Nicea kufikirika.
Yesu alisamehe dhambi (Marko 2:5) — mamlaka ya Mungu pekee.
Na Biblia haisemi "Homoiusios" wala "Heteroousios" inasema -
"Katika Yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili." - Wakolosai 2:9.
SAYANSI NA FALSAFA HUBADILIKA LAKINI NENO HALIBADILIKI.
Kwanza Arius alikataa Yesu kuwa wa asili moja na Baba halafu Falsafa ya Nicaea (325 AD) ikasema Homoousios Kwamba ni wa asili moja – ὁμοούσιος.
Baadaye wakaja wanafalsafa Wengine wakapendekeza Homoiusios - Kwamba wanafanana kwa asili na Mjadala ukaendelea hadi Konsili ya Constantinople 381 AD ambapo nayo ikasisitiza Uungu kamili wa Kristo.
Lakini Mitume hawakutumia neno la Mungu kifalsafa wala hawakuwa na kuyumba yumba na kubadilika badilika - walimwona Yesu, wakamgusa, wakamwabudu — wakamshuhudia kuwa ni Mungu aliye hai.
Niko standby hiyo saa nane au tisa ukishamtumikia Kaisari.
Nakubaliana nawe 💯Habari zenu wakuu - Nitatoa ufafanuzi kama kichwa kinavyoeleza, Hizi hoja zote ni matokeo ya uchambuzi wangu wa kina wa biblia:
NInakubaliana na fumbo la utatu wa Mungu - Baba, Mwana na Roho lakini katika mtizamo wa kimajukumu na siyo Mamlaka.
Tuweke theology pembeni kisha tujadili neno lenyewe, Kwanini nasema Utatu ni wa majukumu na siyo mamlaka ? [Kama christians wengi wadaivyo kwamba YHWH, Yesu na RohoMtakatifu wana uwezo sawa kimamlaka], Sababu zangu ni:
1. Mungu ni Mmoja, Nafsi Moja — Sio Nafsi Tatu.
“Sikia, Ee Israeli, BWANA Mungu wetu, BWANA ni mmoja.”
(Kumbukumbu 6:4)
“Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine; zaidi yangu hapana Mungu.”
(Isaya 45:5)
Mungu ni nafsi moja tu, anasema “Mimi,” si “sisi.” Hakuna viini vitatu vya Mungu.
2. Yesu ni Mungu kwa Sababu ni Mwana wa Mungu — ila si Mkuu Kama Baba.
-"Kwani kijana wa miaka 35 si mtu mzima aliyekomaa sawa tu na baba yake-Je hilo linampa nafasi ya kuwa sawa na baba yake? Bado atabaki mtoto anayepaswa kutii simple.
“Naye Neno alikuwa Mungu... naye akawa mwili...” - Yaani Yesu pia alikua ni Mungu kamili kwasababu alirithi uungu ule kwa baba yake na akaja kupitia mwili.
(Yohana 1:1,14)
“Katika yeye unakaa utimilifu wote wa uungu...” - unakaa utimilifu wa uungu - Si kwamba yeye ndiye Mungu mkuu.
(Wakolosai 2:9)
“Baba peke yake ndiwe Mungu wa kweli...”
(Yohana 17:3)
Yesu ana uungu, lakini anamtambua Baba kuwa Mkuu kuliko yeye.
3. Yesu si Baba — Wanatenda Majukumu Tofauti
“Baba ni mkuu kuniliko mimi.”
(Yohana 14:28)
“Sishuki kutoka mbinguni kufanya mapenzi yangu, bali ya Yule aliyenituma.”
(Yohana 6:38)
Yesu anatenda kazi ya Baba, si Baba mwenyewe.
4. Roho Mtakatifu si Nafsi ya Mungu, Bali ni Nguvu ya Mungu.
“Roho Mtakatifu atakujilia juu...”
(Luka 1:35)
“Mtapokea nguvu, Roho Mtakatifu atakapowajilia...”
(Matendo 1:8)
“Roho hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.” - Hutuombea kwa nani ikiwa watu wanaclaim Roho ni YHWH.
(Warumi 8:26)
Roho ni nguvu ya YHWH, si nafsi huru.
5. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza — YHWH Hana Chanzo wala hazaliwi.
“Mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.”
(Wakolosai 1:15)
“Mimi nalitoka kwa Mungu...”
(Yohana 8:42)
Yesu ni mwanzo wa ufunuo wa Mungu; Baba hana mwanzo.
6. Yesu Anafanya Kazi Maalum — Uumbaji na Ufunuo.
“Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa...”
(Wakolosai 1:16)
“Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana.”
(Wakolosai 1:15) - Amebeba sifa zote za YHWH asiyeonekana.
Yesu ni mtendaji mkuu wa Mungu, si chanzo kikuu.
7. Yesu Alijinyenyekesha — Hakujijaribu Kuwa Mkuu Kuliko Baba.
“Alijinyenyekeza mwenyewe, akawa mtii hata mauti...”
(Wafilipi 2:6-8)
Alijua kuwa ana sifa zote za Uungu lakini alimuachia Baba mamlaka ya mwisho.
8. Yesu Hakupewa Ujuzi wa Mwisho — Baba Pekee Anajua kila kitu.
“Siku ile au saa ile hakuna ajuaye, hata malaika, wala Mwana, ila Baba peke yake.”
(Marko 13:32) - Hata Mwana mwenyewe haijui siku ya mwisho bali Baba.
Majukumu tofauti - mamlaka tofauti.
9. Roho Mtakatifu ni Nguvu ya YHWH Inayotumika na Baba mwenyewe, Mwana, na Sisi kama tukikiri kwa moyo wa dhati tunashare pia.
“Pokeeni Roho Mtakatifu.”
(Yohana 20:22)
“Nitaimimina Roho yangu juu ya wote wenye mwili...”
(Matendo 2:17)
“Roho wake akaaye ndani yenu...”
(Warumi 8:11)
Roho hutenda kazi ndani ya Mungu na sisi.
10. Mungu Mmoja, Nafsi Moja, Anayetenda Ndani ya Wote.
“Mungu mmoja, aliye Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote, na ndani ya yote.”
(Waefeso 4:6).
Mungu ni mmoja, na anatenda kazi zote tatu:
I. Baba kama chanzo na mkuu.
II. Kumtuma Mwana kama mtendaji na mfunuo.
III. Kuachilia Roho kama nguvu inayotenda ndani ya sisi na ulimwengu
11. Yesu ni Mungu Kamili — Anatenda kama Mungu, Lakini Hadai Usawa na Baba kwasababu Baba ni Baba.
“Umesamehewa dhambi zako.”
(Luka 5:20)
“Wewe u Mwana wa Mungu.”
(Marko 3:11)
“Mungu alikuwa katika Kristo akiupatanisha ulimwengu...”
(2 Wakorintho 5:19)
Yesu anasamehe, anatoa pepo, anapatanisha — ni kazi za Mungu ila;
“Yeye kwa asili alikuwa Mungu, lakini hakudhani kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho...”
(Wafilipi 2:6) - Alijinyenyekesha, hakutaka kuwa sawa na Mungu mkuu.
“Baba ni mkuu kuniliko mimi.”
(Yohana 14:28)
✅ Yesu ni Mungu, lakini hachukui nafasi ya Baba.
✅ Alinyenyekea, akatenda kwa mamlaka ya Baba.
✅Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza - Mungu hazaliwi na Hana chanzo, Kama angezaliwa ilitakiwa biblia ijibu alizaliwa toka kwa nani?
✅Mwana wa Mungu = Mungu [Genetically].
Lakini Baba ni mkuu kuliko yeye.
✅Roho ni nguvu ya Mungu, inayoshirikiwa na wote — Baba, Mwana, na sisi.
✅Huu ndio Utatu wa Majukumu — si uungu wa nafsi tatu, bali kazi tatu za Mungu mmoja aliye juu ya yote.
🧠 Tufungue mjadala:
Unakubaliana au unapinga? Tufanye hoja kwa hoja - siyo hisia na mihemko kwa heshima ya maandiko ili tupate kuujua ukweli.
📖 Biblia iwe mbele, Theology nyuma.
Hagawanyi majukumu vipi mbona kuna malaika ambao wanafanya kazi zake?Kauli zako tu zinaonyesha kuna miungu watatu.
Kama Munhu ni mmoja tuu.
Hana mshirika hana ushirika hajagawanyika.
Majukumu yake anayafanya mwenyewe.
Huyo huyo akiwa baba huyo huyo akiwa mwana na huyo huyo kama roho.
Yesu ndie yehova wa agano la kale.
Roho mtakatifu ndie roho wa Mungu.
Ni Mungu mwenyewe
Malaika anafanya kazi gani ya Mungu?Hagawanyi majukumu vipi mbona kuna malaika ambao wanafanya kazi zake?
Kazi za ulinzi, ujumbe n.kMalaika anafanya kazi gani ya Mungu?
Nafikiri tuko pamoja mkuu 🙏🏿Nakubaliana nawe 💯
Si kweli unachozungumza.GPT inaanza kukudanganya sasa
Lete andiko siyo maneno maneno.GPT inaanza kukudanganya sasa