Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa.

Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku pembezoni mwa barabara zimetanamalaki na kuipa mitaa muonekano na sifa ya ofisi za kijasiriamali. Jambo hili linaiweka Tanzania na mitaa yake katika muonekano endelevu "sustainable view"na siyo ule ulioigizwa kama "Darwin nightmares"miaka kadhaa iliyopita.

Jambo hili siyo tu limeipa mitaa muonekano ila limeifanya mitaa kuwa na sifa bora kabisa kuonesha matumizi ya kodi za Wananchi wa nchi hii. Kumuelimisha mwanamtaa wa Pangarasi, Darafuma na Mang'ombe juu ya kulipa kodi siyo mzigi mzito tena kwa TRA.

Mitaa inaonekana ni mitaa ya Nchi inayoendelea kupiga hatua za makusudi kutoka kwenye lindi la uduni. Usalama wa mitaa nyakati za usiku umeimarika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka kadhaa kabla ya uwepo wa taa hizo.

Ile kauli mbiu ya vijana kutoka vijijini kuja Dar es Salaam kushangaa mataa imeanza kuwa chapwa kwa sababu siku hizi kijijini ni kama Dar tu, na hapa Serikali imejitahidi kupunguza wimbi la uhamaji hususani vijana kutoka vijijini kuja mijini "rural- urban migration".

Katika maandiko yangu kadhaa niliwahi kuandika juu ya sera pendelevu ya mijini " urban- bias policy" inavyoibagaza na kuibananga mitaa ya vijijini ila kwenye hili tunaona jitihada za dhati, za kimkakati na za makusudi kabisa za kupunguza upendeleo huo.
 
Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahudi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa.

Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku pembezoni mwa barabara zimetanamalaki na kuipa mitaa muonekano na sifa ya ofisi ya kijasiriamali. Jambo hili linaiweka Tanzania na mitaa yake katika muonekano endelevu na siyo ule ulioigizwa kama "Darwin nightmares"miaka kadhaa iliyopita.

Jambo hili siyo tu limeipa mitaa muonekano ila limeifanya mitaa kuwa na sifa bora kabisa kuonesha matumizi ya Kofi za Wananchi wa nchi hii. Kumuelimisha mwanamtaa wa Pangarasi, Darafuma na Mang'ombe juu ya kulipa kodi siyo mzigi mzito tena kwa TRA.

Mitaa inaonekana ni mitaa ya nchi inayoendelea kupiga hatua za makusudi kutoka kwenye lindi la uduni. Usalama wa mitaa nyakati za usiku umeimarika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka kadhaa kabla ya uwepo wa taa hizo.

Ile kauli mbiu ya vijana kutoka vijijini kuja Dar es Salaam kusgabgaa mataa imeanza kuwa chapwa kwa sababu siku hizi kijijini ni kama Dar tu, na hapa Serikali imejitahidi kupunguza wimbi la uhamaji hususani vijana kutoka vijijini kuja mijini "rural- urban migration".

Kongole kwa benki ya Dunia waliotupa mkopo ,uwe unatumia akili kabla ya kusifia kichawa
 
Huo mkopo ulisimamiwa na Serikali ipi Broh!... Tusibanange na kubagaza kila jitihada, siyo sawa.
By the way hata Mimi siungi mkono kila jambo ila kwenye mazuri nasema.
 
Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahudi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa.

Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku pembezoni mwa barabara zimetanamalaki na kuipa mitaa muonekano na sifa ya ofisi ya kijasiriamali. Jambo hili linaiweka Tanzania na mitaa yake katika muonekano endelevu na siyo ule ulioigizwa kama "Darwin nightmares"miaka kadhaa iliyopita.

Jambo hili siyo tu limeipa mitaa muonekano ila limeifanya mitaa kuwa na sifa bora kabisa kuonesha matumizi ya Kofi za Wananchi wa nchi hii. Kumuelimisha mwanamtaa wa Pangarasi, Darafuma na Mang'ombe juu ya kulipa kodi siyo mzigi mzito tena kwa TRA.

Mitaa inaonekana ni mitaa ya nchi inayoendelea kupiga hatua za makusudi kutoka kwenye lindi la uduni. Usalama wa mitaa nyakati za usiku umeimarika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka kadhaa kabla ya uwepo wa taa hizo.

Ile kauli mbiu ya vijana kutoka vijijini kuja Dar es Salaam kusgabgaa mataa imeanza kuwa chapwa kwa sababu siku hizi kijijini ni kama Dar tu, na hapa Serikali imejitahidi kupunguza wimbi la uhamaji hususani vijana kutoka vijijini kuja mijini "rural- urban migration".

Katika maandiko yangu kadhaa niliwahi kuandika juu ya sera pendelevu ya mijini " urban- bias policy" inavyoibagaza na kuibananga mitaa ya vijijini ila kwenye hili tunaona jitihada za dhati, za kimkakati na za makusudi kabisa za kupunguza upendeleo huo.

IMG_20240428_070927.jpg
 
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru leo tunaringia taa za barabarani. AIBU.
 
kama watumiaji wa hizo taa wanatekwa, wanateswa na kuuawa kweupe hizo taa zinafaida gani?

Acheni kujipendekeza kwa kichwa kubwa isiyo na akili hata kidogo.
Acheni kumtukuza huyu mpumbavu
 
Hakika, utekaji na upotezwaji wa watu siyo jambo linaloleta sifa nzuri kwa Serikali yetu, infact hata Mimi siungi mkono ubagazwaji ila pale kwenye mazuri siyo dhambi kusema.
 
Kumbuka uzi huu siyo hoja ya kumjibu Mheshimiwa, Polepole
Ninafahamu kuwa ana hoja makini na inapaswa siyo tu kujibiwa ila kujibiwa kwa umakini na watu makini.

Vipi Broh! Kwenye mitaa unayoishi hakuna barabara za mitaa zenye taa za barabarani? Mimi nipo huku vijijini kabisa Pangarasi, Darafuma, Mang,ombe na Line police naona mitaa inavyoitika. Jibu taratibu kama mtu asiye na hisia kali halafu kale ka- server achana nako
 
Back
Top Bottom