Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
SawaUpuuzi Mtupu
NdiyoSawa
Vizuri, wenzako hatupondi kila kitu tupo genuine.Ndiyo
Kongole kwa benki ya Dunia waliotupa mkopo ,uwe unatumia akili kabla ya kusifia kichawaMoja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahudi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa.
Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku pembezoni mwa barabara zimetanamalaki na kuipa mitaa muonekano na sifa ya ofisi ya kijasiriamali. Jambo hili linaiweka Tanzania na mitaa yake katika muonekano endelevu na siyo ule ulioigizwa kama "Darwin nightmares"miaka kadhaa iliyopita.
Jambo hili siyo tu limeipa mitaa muonekano ila limeifanya mitaa kuwa na sifa bora kabisa kuonesha matumizi ya Kofi za Wananchi wa nchi hii. Kumuelimisha mwanamtaa wa Pangarasi, Darafuma na Mang'ombe juu ya kulipa kodi siyo mzigi mzito tena kwa TRA.
Mitaa inaonekana ni mitaa ya nchi inayoendelea kupiga hatua za makusudi kutoka kwenye lindi la uduni. Usalama wa mitaa nyakati za usiku umeimarika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka kadhaa kabla ya uwepo wa taa hizo.
Ile kauli mbiu ya vijana kutoka vijijini kuja Dar es Salaam kusgabgaa mataa imeanza kuwa chapwa kwa sababu siku hizi kijijini ni kama Dar tu, na hapa Serikali imejitahidi kupunguza wimbi la uhamaji hususani vijana kutoka vijijini kuja mijini "rural- urban migration".
Katika maandiko yangu kadhaa niliwahi kuandika juu ya sera pendelevu ya mijini " urban- bias policy" inavyoibagaza na kuibananga mitaa ya vijijini ila kwenye hili tunaona jitihada za dhati, za kimkakati na za makusudi kabisa za kupunguza upendeleo huo.
Uchawa mtupuVizuri, wenzako hatupondi kila kitu tupo genuine.
Asante Mkubwa, uzuri chawa wanajifahamu na kufahamiana wenyewe.Uchawa mtupu
Huo mkopo ulisimamiwa na Serikali ipi Broh!... Tusibanange na kubagaza kila jitihada, siyo sawa.Kongole kwa benki ya Dunia waliotupa mkopo ,uwe unatumia akili kabla ya kusifia kichawa
Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahudi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa.
Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku pembezoni mwa barabara zimetanamalaki na kuipa mitaa muonekano na sifa ya ofisi ya kijasiriamali. Jambo hili linaiweka Tanzania na mitaa yake katika muonekano endelevu na siyo ule ulioigizwa kama "Darwin nightmares"miaka kadhaa iliyopita.
Jambo hili siyo tu limeipa mitaa muonekano ila limeifanya mitaa kuwa na sifa bora kabisa kuonesha matumizi ya Kofi za Wananchi wa nchi hii. Kumuelimisha mwanamtaa wa Pangarasi, Darafuma na Mang'ombe juu ya kulipa kodi siyo mzigi mzito tena kwa TRA.
Mitaa inaonekana ni mitaa ya nchi inayoendelea kupiga hatua za makusudi kutoka kwenye lindi la uduni. Usalama wa mitaa nyakati za usiku umeimarika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka kadhaa kabla ya uwepo wa taa hizo.
Ile kauli mbiu ya vijana kutoka vijijini kuja Dar es Salaam kusgabgaa mataa imeanza kuwa chapwa kwa sababu siku hizi kijijini ni kama Dar tu, na hapa Serikali imejitahidi kupunguza wimbi la uhamaji hususani vijana kutoka vijijini kuja mijini "rural- urban migration".
Katika maandiko yangu kadhaa niliwahi kuandika juu ya sera pendelevu ya mijini " urban- bias policy" inavyoibagaza na kuibananga mitaa ya vijijini ila kwenye hili tunaona jitihada za dhati, za kimkakati na za makusudi kabisa za kupunguza upendeleo huo.
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru leo tunaringia taa za barabarani. AIBU.Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahudi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa.
Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku pembezoni mwa barabara zimetanamalaki na kuipa mitaa muonekano na sifa ya ofisi ya kijasiriamali. Jambo hili linaiweka Tanzania na mitaa yake katika muonekano endelevu na siyo ule ulioigizwa kama "Darwin nightmares"miaka kadhaa iliyopita.
Jambo hili siyo tu limeipa mitaa muonekano ila limeifanya mitaa kuwa na sifa bora kabisa kuonesha matumizi ya Kofi za Wananchi wa nchi hii. Kumuelimisha mwanamtaa wa Pangarasi, Darafuma na Mang'ombe juu ya kulipa kodi siyo mzigi mzito tena kwa TRA.
Mitaa inaonekana ni mitaa ya nchi inayoendelea kupiga hatua za makusudi kutoka kwenye lindi la uduni. Usalama wa mitaa nyakati za usiku umeimarika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka kadhaa kabla ya uwepo wa taa hizo.
Ile kauli mbiu ya vijana kutoka vijijini kuja Dar es Salaam kusgabgaa mataa imeanza kuwa chapwa kwa sababu siku hizi kijijini ni kama Dar tu, na hapa Serikali imejitahidi kupunguza wimbi la uhamaji hususani vijana kutoka vijijini kuja mijini "rural- urban migration".
Katika maandiko yangu kadhaa niliwahi kuandika juu ya sera pendelevu ya mijini " urban- bias policy" inavyoibagaza na kuibananga mitaa ya vijijini ila kwenye hili tunaona jitihada za dhati, za kimkakati na za makusudi kabisa za kupunguza upendeleo huo.
Kama zisingekuwepo mpaka leo, huioni ni aibu zaidi? Kwenye hili natoa pongezi.Miaka zaidi ya 60 ya uhuru leo tunaringia taa za barabarani. AIBU.
Hizi ndiyo hoja za vijana, aisee....tuna safari ndefu sana

Mjinga huwaona wengine wajinga wala sikushangai hata kidogo. Upo sahihi katika mtazamo wako huo.Danganya wajinga wenzio:
Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?
Ila vyungu kufungua, lazima!
Mjinga huwaona wengine wajinga wala sikushangai hata kidogo. Upo sahihi katika mtazamo wako huo.
Huo mkopo ulisimamiwa na Serikali ipi Broh!... Tusibanange na kubagaza kila jitihada, siyo sawa.
By the way hata Mimi siungi mkono kila jambo ila kwenye mazuri nasema.
Kumbuka uzi huu siyo hoja ya kumjibu Mheshimiwa, Polepole