SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
🤣Mbona unaogopa..so nikipinga Nina chuki...ushapoison the well inaitwa.Katoa ajira nyingi kuliko alizotoa Magu 6yrs
Miundombinu madarasa vituo vya afya vimeota kama uyoga muda mfupi
Saizi chadema wanafanya mikutano enzi za magu sauti ni yeye tuu
Tarura bajet imeongezeka saizi kila kijiji kimechongewa barabara
Kifupi kama una chuki hata uambiwe vipi utapinga tuu
kwenye ishu ya Bandari kazingua sana, tena sana!Watanzania hatuna shukrani, mnataka tutawaliweje sasa, yani huoni aliyoyafanya Samia?
Cheo Cha makamu wa raisi kifutwe ni matumizi mabaya ya Kodi zetu.
Waziri mkuu anatosha
mkataba wa Bandari umeaharibu kila kitu!Mimi kama mtumishi wa umma namshukuru sana huyu mama amenipandisha daraja na hapa hospital ninapofanyia kazi ameleta bilioni 1 ujenzi wa jengo la upasuaji , ujenzi wa laboratory ya kisasa na vifaa vyake namshukuru sana. Na hii amefanya nchi nzima. Sitaki kuelezea mengine watakwambia wengine
Acha bandari iwekezwe, ilishatushinda ku controll, yale mambo ya kujuana kama kina makonda kuagiza container na kutaka kutolipa kodi hayatakuwepo maana itakua chini ya mwekezajikwenye ishu ya Bandari kazingua sana, tena sana!
Jesus saves!
Upo serious umefikia hatua ya kumfananisha. Mwamba JPM na mama samia ...... ngoja nikwambie JPM ni levo zingine kabisaNi chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
Ndo utulie sasaNi chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
Nani atulie au wewe ndo utulieNdo utulie sasa
Funguka zaidi. Itasaidia nini. Kama uenyekiti akipewa mwingineHapo suluhisho ni kuchenji katiba ya chama ili rais wa nchi hasiwe m/kiti wa chama.
Hee maajabuNi chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
Wewe ni mjinga unaweza kulinganisha utawala wa dictator muuwaji mvamizi wa mali za watu na mama ambaye ametoa uhuru kwa kila mtu kusema anacha taka, nyie ni wapumbavu kabisa mnamatatizo ya kufikiri.Upo serious umefikia hatua ya kumfananisha. Mwamba JPM na mama samia ...... ngoja nikwambie JPM ni levo zingine kabisa
Zanzibar wana Raisi na MakaoMakamo wa Raisi asitoke Zanzibar. Raisi je?
Acha kutukana watu. Jenga hojaWewe ni mjinga unaweza kulinganisha utawala wa dictator muuwaji mvamizi wa mali za watu na mama ambaye ametoa uhuru kwa kila mtu kusema anacha taka, nyie ni wapumbavu kabisa mnamatatizo ya kufikiri.
Excellent kabisaFuta cheo cha makamu wa rais awepo Rais na waziri mkuu tu kama raisi anaumwa hawezi hawezi kuingia ofisini. Aziri mkuu ashike madaraka
Mmh nyie wengi mna kasoro katika kufikiri magufuri was a worse president ever got in Tanzania, ila nyie wspumbavu ambao hamna uwezo wa kufanya analysis za kina ndo mna muona kwamba alikua mzalendo, ile ilikua shetani kubwa, fisadi jizi mtu mwenye husda na visasa tunashukuru Mungu kumchukua mapema.Hee maajabu
Hizo kodi zetu. Utaratibu wa fedha zetu kuziita za mama mnazinguaMimi kama mtumishi wa umma namshukuru sana huyu mama amenipandisha daraja na hapa hospital ninapofanyia kazi ameleta bilioni 1 ujenzi wa jengo la upasuaji , ujenzi wa laboratory ya kisasa na vifaa vyake namshukuru sana. Na hii amefanya nchi nzima. Sitaki kuelezea mengine watakwambia wengine
🤣Mbona unaogopa..so nikipinga Nina chuki...ushapoison the well inaitwaKatoa ajira nyingi kuliko alizotoa Magu 6yrs
Miundombinu madarasa vituo vya afya vimeota kama uyoga muda mfupi
Saizi chadema wanafanya mikutano enzi za magu sauti ni yeye tuu
Tarura bajet imeongezeka saizi kila kijiji kimechongewa barabara
Kifupi kama una chuki hata uambiwe vipi utapinga tuu
Mbona unakazania udinimkataba wa Bandari umeaharibu kila kitu!
asipouondoa, utam cost sana,! for sure!!!!!
YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Mbona amewazidi wale wapayukaji wote waliopitaKujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.