Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
hiyo ni alert kwako, utakapoangamia usije sema kuwa hukuwahi kuambiwa juu ya wokovu ulio katika Kristo Yesu Bwana. KINYUME CHA KUOKOKA NI KUANGAMIA.Kuandika tu Yesu anaokoa ni udini maana haihusiani na mada
upo sahihi. viongozi wabara wale pyua wana roho mbaya sana. yani ile roho ya chuki ya ndani. unahitaji jicho la 3 kulijua hili.Ni bahati kubwa mno kumpata Rais Samia kuwa kiongozi wa nchi hii! Rais kama huyu alipatika 1985 walipompata mzee Ruksa! Unajua maana ya Mzee Ruksa? If not soma vitabu vya historia.
🥶Ni chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
wewe inaelekea umekunywa LIBENEKE!!Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Maginjwa ya Karni hii hayahitaji vituo vya afya yanahitaji hospitali za kibingwa.Katoa ajira nyingi kuliko alizotoa Magu 6yrs
Miundombinu madarasa vituo vya afya vimeota kama uyoga muda mfupi
Saizi chadema wanafanya mikutano enzi za magu sauti ni yeye tuu
Tarura bajet imeongezeka saizi kila kijiji kimechongewa barabara
Kifupi kama una chuki hata uambiwe vipi utapinga tuu
Wacha wivu weweKujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Umesema ukweli kabisa! Anateuliwa mtu TU asie na uwezo wowote!Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie
Basi tofauti na hapo tuna safari ndefu sana. Kwa Katiba ya sasa ya kurithi madaraka Makamu wa Rais anapochaguliwa lazima wazingatie haya..
1. Makamu wa Rais hatakiwi kutoka Zanzibar
2. Makamu wa Rais awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi sawa na Rais au zaidi.
3. Rais na Makamu wake lazima wawe na Maono sawa isifike mahali mmoja amburuze mwenzake waelewane.
Unaongea kirahisi hujui hao wakiwa wawili wakitofautiana unaleta vita. Hv mlisomaga wapi nyieHapo suluhisho ni kuchenji katiba ya chama ili rais wa nchi hasiwe m/kiti wa chama.
Samia kachemsha maeneo kibao.Wataka kila mtu awaze kama wewe au vip? Kachemsha wapi kama sio propaganda zenu.
Kama serikali zikiwa tatu itakua vizuri.Unataka Makamu wa Rais awe ndio huyo huyo Waziri Mkuu ili kubana matumizi kisha tena unataka Serikali ziongezwe from mbili to tatu?
Huoni hapo ni kutembea hatua moja mbele kisha kumi nyuma?
1 na 3 NAKAZIAKatiba ibadilishwe,
1. Uwepo wa waziri mkuu na makamu wa raisi kwa wakati mmoja kwa nchi masikini namna hii ni upotevu wa rasilimali.
2. Raisi akifariki makamu/waziri mkuu akamate nchi na kuitisha uchaguzi mkuu ndani ya siku 90.
3. Serikali ziwe tatu, kwa muungano huu haijulikani Tanganyika iko wapi. Vyetu vinaliwa tu na wenzetu, vyao hawaruhusu vitoke.
KabisaCheo Cha makamu wa raisi kifutwe ni matumizi mabaya ya Kodi zetu.
Waziri mkuu anatosha
Kila binadamu ana pande mbili nyoofu na iliyopindapindaMimi kama mtumishi wa umma namshukuru sana huyu mama amenipandisha daraja na hapa hospital ninapofanyia kazi ameleta bilioni 1 ujenzi wa jengo la upasuaji , ujenzi wa laboratory ya kisasa na vifaa vyake namshukuru sana. Na hii amefanya nchi nzima. Sitaki kuelezea mengine watakwambia wengine
Kwani Lowasa alikuwa Makamu wa Rais wa JK ?Suala la Rais na makamu kuwa na uwezo sawa kiuongozi halipendwi na CCM. Rejea JK na Lowasa. Edo alitaka popularity kumzidi bosi akajikuta ametemèshwa ndoano
TuonyesheWatanzania hatuna shukrani, mnataka tutawaliweje sasa, yani huoni aliyoyafanya Samia?
Hata wee Mungu atakuchukia.Mmh nyie wengi mna kasoro katika kufikiri magufuri was a worse president ever got in Tanzania, ila nyie wspumbavu ambao hamna uwezo wa kufanya analysis za kina ndo mna muona kwamba alikua mzalendo, ile ilikua shetani kubwa, fisadi jizi mtu mwenye husda na visasa tunashukuru Mungu kumchukua mapema.
1. Hakuna haja ya kupiga kura tena rais akifariki, ukiweka mfumo wa kupigia kura a ticket , rais na makamu wake, kwa kuelewa rais akifariki makamu wake atachukua urais, unaepuka gharama na inconvenience za uchaguzi mpya rais akifariki. Huu ndio mfumo wetu wa sasa. Watu walidharau tu umuhimu wa makamu wa rais.Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.