Utawala wa Trump wafuta misaada yote ya silaha kwa Ukraine na uchunguzi unafuata

Hii kitu anacheza mrusi na mchina na hii ni mipango ya BRICS sio mrusi peke yake,,,,hao wamagharibi wanaelewa kinachotaka kufanyika......Ulaya magharibi imeathirika zaidi na vita ya Ukraine kuliko Urusi........,wajerumani wanatambua hilo hasa viwanda vyao wanachopitia......huku Africa Mfaransa akilambwa chini kwenye maslahi yake ile nchi haitakalika maana uchumi wao unategemea sana kwenye kuyanyonya makoloni yao ya kitambo.......hii kitu atakaekuja kuumia ni ulaya magharibi,,,,Mmarekani atajikata Mrusi ameshajipata na washirika wake , wamebaki Ulaya magharibi dira haieleweki
 
Urusi ana jitafuta huwezi kupigana vita miaka 3 na vikwazo vile ukasema umejipata,,kwenye vita unapoteza watu na pesa ndio maana Urusi amempigia magoti KIM kampa wanajeshi na amempigia magoti Iran anaendelea kupata silaha, Mchina ni mjanja kila siku anapiga mkwala kule Taiwan lakini hapigani, anajua shida ya vita
 
Hii kitu kila nchi ina nchi marafiki nyuma yake.....move za mrusi zinamsadia mchina na hata huyo North Korea...na hadi Kim katoa wanajeshi jua pia na yeye kuna kitu amepata.....hapo Ukraine ni Nato nzima ilikua inapigana na nchi 1 (Urusi) na bado wakashindwa ,huyo Kim ameleta wanajeshi huku mwishoni kabisa ila tokea mwanzo mziki ulikua ni Nato yote vs Urusi na jamaa amewakalisha na nchi kaimega
 
Usisahau uwanja wa vita ni Ukraine na Urusi, hawa wengine ni wapiga miluzi, kwahiyo athari za moja kwa moja zinaanza kwao hawa, Mchina hawezi kuingia vitani anaona kinacho mpata Urusi, North Korea ni wa kusaidiwa huyo ila leo anamsaidia Urusi silaha na wanajeshi, kwa kweli hali sio nzuri
 
Nothing new leo tayari baada ya Trump kuhutubia Davos kawaambia OPEC washushe bei ya mafuta vita inaisha haraka kabisa

View attachment 3211851
Hehe mrusi mafuta yake alikua anauza muhindi na alikua anauza kwa bei za chini kuliko hata opec .....hapo watajipiga wenyewe bao la mkono....mrusi alishaanza muda tu kuuza mafuta yake kwa bei ya chini kwa India....ishu je wao wataweza kuzihimili hizo bei na uchumi wao hasa Saudi
 
Hapa ndio utajua nguvu ya Trump muda sio mrefu, huyo muhindi sasa hivi anamkimbia Mrusi
 
Mrusi kapata sehemu ya nchi.......kama unaelewa mambo ya ubabe wa vita hata kumegwa km1 tu ya nchi yako ni dharau kubwa sana na mrusi kabeba eneo kubwa na lazima vita ikiisha kuna eneo litabaki kwake hata ikiwa ni asilimia 10 au 20 ya eneo alilobeba sasa. ...kihistoria hapo Mrusi atatambulika ni mbabe vizazi na vizazi ndo maana wamagharibi wanatafuta namna ya kufuta hio aibu maana Zelensky wameshaona hana maajabu yeyote
 
Hapa ndio utajua nguvu ya Trump muda sio mrefu, huyo muhindi sasa hivi anamkimbia Mrusi
Wanaokimbiana wanaonekana......watu hali ya uchumi imekua mbaya mashost wanakimbiana....Mrusi bado anadunda....vita pale Ukraine iendelee hata miaka 2 tena tuone watu wanavyopoteana ,,,halafu huku Africa mrusi aendelee kumsagia sumu Mfaransa
 
Sijui umetoa wa[i source yako lakini habari hizo siyo za kweli. Katika maamuzi aliyofanya mengi yakiwa ya domestic politics hilo la Ukraine siyo moja wapo. Ndiyo maana unaona hata hiyo picha uliyotumia siyo ya kweli.
 
Unapata eneo nchi ya ugenini kwa kuvuruga uchumi wako, eneo ambalo halikuingizia chochote zaidi ya majumba chakavu , unachukua magofu na machuma tu hapo hakuna kitu Urusi atanufaika kwasasa, wakati huo kavuruga uchumi
 
Urusi kaambiwa akubali vita kuisha au atapigwa vikwazo πŸ˜€, Trump hataki utani
ukitaka mrusi aache kuitafuna ukraine ni lazima marekani na ulaya waache kupileka silaha huko apo ndio mrusi alie mbabe mwenye mabomu mengi ya nyuklia kuliko nchi yoyote duniani hata huyo bwana ako mmarekani hana
 
Trump hapigani vita , kwahiyo anaondoa askari wake kwa sababu ambazo zina eleweka, OPEC anashusha Bei muhindi hawezi kuacha kumsikiliza Trump kisa Urusi ambayo inataabishwa na Ukraine
 
ukitaka mrusi aache kuitafuna ukraine ni lazima marekani na ulaya waache kupileka silaha huko apo ndio mrusi alie mbabe mwenye mabomu mengi ya nyuklia kuliko nchi yoyote duniani hata huyo bwana ako mmarekani hana
Urusi hawezi kutumia nyuklia akileta ubishi atakutana na balaa la Trump, kuhusu nyuklia sahau hakuna wa kutumia
 
Trump hapigani vita , kwahiyo anaondoa askari wake kwa sababu ambazo zina eleweka, OPEC anashusha Bei muhindi hawezi kuacha kumsikiliza Trump kisa Urusi ambayo inataabishwa na Ukraine
Haha kwakweli wanapata taabu......watu wanaendelea kumega tu nchi kama hizi ni taabu basi ni taaabu taaaamu
 
Urusi hawezi kutumia nyuklia akileta ubishi atakutana na balaa la Trump, kuhusu nyuklia sahau hakuna wa kutumia
Trump hana maslahi na mrusi wala ulaya maslahi yake ni mashariki ya kati na ndo maana anataka kumalizana na upande huo afocus na mashariki ya kati tu....kuendelea kukimbizana na mrusi ameshajua ni kupoteza resources ambazo maswahiba wake Israel na Saudia wanazihitaji pale mashariki ya kati dhidi ya Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…