atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Wewe unafikiri hizo dini ulizon'gan'gania uliletewa kwa bahati mbaya?!,jitafute ujijue mjinga mmoja wewe unaeshobokea mila za watu na kujiona mjanja,ptuuuunajua kwanza kwa nini hata tuliuzwa utumwa? sisi ndiyo binadamu pekee tuliokuwa enslaved in the last 500 years, why? au unafikiri tungekuwa na culture superior tungeshikwa utumwa na kuuzwa sokoni?
Wewe unafikiri hizo dini ulizon'gan'gania uliletewa kwa bahati mbaya?!,jitafute ujijue mjinga mmoja wewe unaeshobokea mila za watu na kujiona mjanja,ptuuu
Ingekuwa ni kweli uislam unawapeleka watu katika maendeleo basi top ten ya nchi tajiri duniani zingekuwa nchi za kiislam, zanzibar ingekuwa tajiri sana, hali kadhalika somalia, mombasa ya kenya ingekuwa tajiri kuliko sehemu yoyote ya kenya.Kwakuwa umeongea kiubaguzi,uislamu ndo unaweza kutupeleka katika maendeleo ya kweli,ukifuatwa kiukamilifu,ukifuatilia kwa kiasi fulani kama si kikubwa,uislamu unaendana na mila za kiafrika,fuatilia utaona.
We mbusiiii ni kenge kweli
Endelea kukari badala ya kutafuta utambulisho🚮huku mkiwadangamya waafrika wabakie na mamila mila
jadi huku ninyi mnapeleka watoto nje kujifunza kwa wazungu …
View attachment 3227236
Endelea kukari badala ya kutafuta utambulisho🚮
Ndoto za carabou cup zinafika ukingoni leo usiku. Tottenham nyoosha hao uumbwaaaWe mbusiiii ni kenge kweli
We ndiyo mpumbavu namba moja , kulikuwa na makabila zaidi ya 100 haya yote watu walikuwa hawaingiliani hata kukaa pamoja ....Utasema nn hapo ? Acha ujinga angalau makatoliki wa kaskazini anaweza kufunga ndoa na mnyakyusa , angalia hapo halafu fananisha na huko nyuma .Wewe ni mtupu kichwani hamna kitu,nyie ndio watumwa wenyewe sasa,eti dini imekuja kutufanya tuwe wamoja?!,mkristo na muislam wanaelewana?,wewe muafrika muislam upo tayar kumbagua ndugu yako mkristo na kujinasibisha na muarabu kisa dini tuu
We mjinga ni mbaguzi hata wwe unataka kuonekana mwema inawezekana haa ndugu zako unawabagua na mentality ya kitumwa kukimbia kwenu ...Unaongelea ubaguzi upi ? nan amekuambia dini imelazimisha kumbagua mwingine ?Wewe ni mtupu kichwani hamna kitu,nyie ndio watumwa wenyewe sasa,eti dini imekuja kutufanya tuwe wamoja?!,mkristo na muislam wanaelewana?,wewe muafrika muislam upo tayar kumbagua ndugu yako mkristo na kujinasibisha na muarabu kisa dini tuu
Ila waliacha imani zao za asili za mababu zao, sasa wewe unataka waafrika turudi kwenye imani zetu za asili ambazo haujaeleza ni imani zipi hizo ambazo zilituunganisha waafrika kabla ya hizi dini?But Uislam umewaunganisha waarabu by 95%
Unataka kusema waafrika wengi hawafanyi kazi wanategemea miujiza?Dini zinadumaza akili
za waafrica weng
kama mpaka leo karne ya 21 anategemea miujiza ya utajiri kwa nabii fulani ndo atoboe
unategemea nin!
Hakuna imani yenye asili na jamii ya watu, hao waarabu tu kabla ya uislamu mababu zao walikuwa na imani zao zengine ila leo tunaona uislamu ndio imani ya waarabu.Hoja dhaifu l
Hoja dhaifu 🚮 sana na inaonyesha ni jinsi gan huko kichwani umejaza ujinga unaoitwa dini,hutaki kukubali kabisa kuwa ukristo na uislam sio imani za mwafrika
laana ya asili iliyotokana na Denial of Identity and faith full stop
Dr. Mwaka sasa anakwenda kimataifa kwa lugha ya kigeni kuelezea maisha ya ukweli ya sisi weusi waafrika katika uhalisia wa kiroho na kisayansiimagine mtu akuandikie historia ya maisha yako then akuhadithie….hiki ndio chanzo cha umasikini na utegemezi Africa.