Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

Nilimpinga Magufuli ni kweli, ila Mama alianza vizuri ndiyo maana nilimuunga mkono. Waliotufiksha hapa ni akina Tundu na Heche walipoanza kubeza maridhiano kupitia 4R. Wanataka Ikulu kwa KUKINUKISHA
 
Mlikuwa kipindi cha giza, ni kama ukoloni na utumwa..sasa hivi vijana na dunia haikubali
Vijana wenyewe wako wapi? Wangekuwa na akili wasingechoma miundombinu ya Serikali kwa vile ni mali ya walipa kodi wa nchi hii
 
Mleta mada ni mpumbavu uliyetukuka. Hujui Warioba alipishana na Rais Mwinyi hadi kufanya atake kujiuzuru mpaka Mwinyi akavunja Baraza la Mawaziri na kumuacha mwaka 1990.
Hizo topic mbili tofauti wewe bwege. Mimi mwaka 1990 nilikuwa nime graduate na ninafanya kazi Serikalini. Hakuna nisichokijua kuhusu Mwinyi na Warioba
 
Waziri mkuu siyo Amir Jeshi mkuu, ndiyo maana hatumlaumu Kassimu Majaliwa kwa yaliyofanywa na vyombo enzi za JPM au Samia
 
Chukua hiyo hiyo ya Warioba halafu ongeza za kwako
 
Stuxnet u mwovu, ilikuwa ukiaminisha watu kuwa utekaji ulianzishwa na Magu kilipoanzishwa kikoisi kazi.

Funga mdomo wako mchafu.
Magufuli alianzisha kikosi ndani ya mfumo kikiwa chini ya Makonda
 
Kwahiyo wee pimbi unataka tuendelee na utaratibu huo huo
wakutekana?
 
We mbwa Rais alikuwa Nani kipindi hicho?

Jiulize why watu wanachukua Samia na kumkubali Majaliwa?
Nani anamkubali Majaliwa? Majaliwa yupi? Labda yule wa Zimamoto aliyeokoa watu kwenye Precision Air, ila usiniambie huyu wa Ruangwa
 
Mwaka 1989 Raisi alikuwa Mwinyi lakink
Sijamtaja Mwinyi bali nimemtaja aliyekuwa PM. Kwa taarifa yako Warioba alikwenda UDSM yeye mwenyewe in person na watu wa mfumo kwa ajili ya kuwateka kina Bazigiza
 

Acha upotoshaji. Joseph Matiko Matare bado yu mzima na
wa afya tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…