Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa, nadhani kila moja wetu anashudia mbilinge mbilinge zinazoendelea...
mathalani,
shauku, hamasa na ari waliyonayo wana CCM kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu ilivyo juu, lakini pia jambo zuri zaidi, na la kutia moyo sana ni muitikio wa wananchi wengi zaidi hususani vijana, kuhamasika sana na kujisajili uanachama wa CCM..
vijana wamehamasika kiasi kwamba, mpaka wamefikia hatua ya kudai walau kwanza wapate akaunti namba tu za CCM, halafu kadi ziwe za kielektronic ama zisizo za kielektronic wazipate baadae aise,
mambo ni motroo kweli kweli..
hata hivyo,
yote haya yanapewa nguvu na kuchochewa na jitihada kubwa zenye matumaini makubwa sana, zinazofanywa na serikali sikivu ya awamu ya 6 chini ya mwenyekiti wa CCM taifa, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote, na kutekelezwa kwa makini na uhakika mkubwa na timu mahiri mno ya kiutendaji, inayoongozwa na shupavu mchapakazi comrade Dr.Emmanuel Nchimbi katibu mkuu ccm taifa, CPA Amosi Makala muenezi taifa na waandamizi wengine katika kamati za kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kutoka katika jumuiya na idara mbalimbali za chama..
USHINDI WA KISHINDO NI LAZIMA CCM NA BILA CCM MADHUBUTI NCHI ITAYUMBA.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
hodi geita