Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

We ni mjinga SANA, kukataa kupigwa minada Mali za Tanganyika ni chuki???🤔🤔are you ok upstairs???
Kweli UJINGA NI MZIGO.
Hongera sana kwa kuchagua ujinga
unajua siku zote mjinga na mpumbavu hudhani wengine ndio wapumbavu,mimi sikukatazi wewe kutunga uongo uutakao,kumtukana samia utakavyo,ila ukweli kuwa samia anafanya mambo makubwa,ushahidi upo waziwazi,kuhusu kama na akili au sina upstairs,zako ni wazi zipo matakoni,au downstairs,right you foolish?
 
hebu fanya utafiti kidogo tu uone ni kipi serikali inafanya utakubaliana nami kuwa anafanya mambo makubwa sana
 
Kifupi huyo Samia hamna kitu hapo, endeleeni na pambio za sifa.

Akishinda, ambalo lisitokee, nchi hii itakuwa imeuzwa vitu vingi kwa wajomba zake WAARABU.

1.Bandari za BARA kwisha habari.

2.Mbuga za wanyama case study
Ngorongoro kauziwa mwarabu.

3.Uwanja wa ndege wa KIA kauziwa mwarabu.

4.Yuko mbioni kujua Mbuga za wanyama ,kuchimbisha madini yaliyoko kwenye mbuga za wanyama.


KURUHUSU awe Rais 2025-2029 atauuza kila kitu Cha maana Cha Tanganyika.

Watu wenye akili, sio kama zako ZA KUVUKIA BARABARA,
Inabidi kukataa kwa njia halali huyu Mama kuendelea kuwa Rais wa Tanzania.

Ipo hatari vizazi vijavyo vikatucheka kwanini tulishindwa kuzuia kuuzwa kwa rasilimali za nchi??
Good news ni kuwa CCM ndani Hali si shwari.

"Sijui hapa KATIKATI mambo yaharibike sana....." Jakaya kikwete.🤣🤣🤣
 
ccm wakifanya kweli 2025 nitafurahi sana
 
1.kilimo cha umwagiliaji jinsi miundo mbinu
inavyojengwa
2.ruzuku ya mbolea,ruzuku ya mbegu inavyotolewa
3.kuwajengea uwezo maofisa ugani,kwa vifaa,nyumba za kuishi,elimu na kuianzishia mamalaka yake ya usajili taaluma ya ugani.Hayo nimetaja machache tu
 
huu wote ni uongo wa hali ya juu na soon utaaibika sana kwa uongo wa namna hii
 
Pamoja na kelele zote wakujinasibu kua mnaungwa mkono lakini mmekua mkimuhofia mpinzani wenu uoga unatoka wapi ile hali mnapendwa?
 
Ni kweli kabisa !

Hats utekaji unafanywa kisayansi,pia Ubadhirifu was fedha plus Rushwa unafanywa kisayansi kabisa!
tiririka yote tu vizuri comrade,
walau upate relief kidogo moyoni dah,
maana mambo mengine kuyabeba moyoni ni kujitesa tu

usisahau kujiandikisha na kuhamasisha wengine kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa tafadhali,

muhimu zaidi himiza vijana kwa mamilioni yao, wajitokeze kwa wingi bila kichelewa wala kukosa kujiunga na CCM, chama tawala, chini ya mwenyekiti na raisi wao kipenzi comrade Dr.Samia Suluhu Hassan...

hii ni fursa ya kipekee sana imewafuata mahali walipo na huwa fursa hizi hazijagi mara mbili
 
Pamoja na kelele zote wakujinasibu kua mnaungwa mkono lakini mmekua mkimuhofia mpinzani wenu uoga unatoka wapi ile hali mnapendwa?
chama tawala hakiwezi kuhofia mayowe ya waliokosa uelekeao na wasio na malengo,

daima usiku na mchana,
serikali sikivu ya ccm iko kazini ikitekeleza ilani ya uchaguzi ambao ni mkataba na wananchi wa Tanzabia kikatiba,

kitu ambacho waliokosa dira na uelekeo wanasema na kudai eti ccm inafanya kampeni za mapema

sasa sijui walitaka ccm ishinde uchaguzi kwa kushindo, halafu ifiche ilani ya uchaguzi kwenye begi?
 
makubwa mengi yametendeka chini ya Rais samia na kuna watu wachumia tumbo wanapata nguvu ya kuja hapa kubeza kiukweli waja wanamambo sana... Ziara za KATAVI na MORO zimeonesha kwamba Rais Samia atashinda kwa kishindo mwaka 2025. Tunzeni hii kauli mtakuja kunikumbuka nawambia
 
watashupaza shingo ziwaume hadi zivunjike,

waTanzania katika umoja na mshikamano wao wanampenda, wanamkubali, wana muheshimu na wana muamini zaidi Dr.Samia Suluhu Hassan, katika kuwaongoza kwa amani, kuchochea maendeleo na kuimarisha uchumi, siasa na huduma za kijamii katika kila pembe ya Taifa

nani kama mama ndrugu zango?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…