Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

Wanaohamasika ni ama wajinga,mafisadi na matapeli. Hakuna mwenye akili Sawa na mzalendo anaweza hamasika kwa serikali hii dhaifu na ya kitapeli
 
Wanaohamasika ni ama wajinga,mafisadi na matapeli. Hakuna mwenye akili Sawa na mzalendo anaweza hamasika kwa serikali hii dhaifu na ya kitapeli
athari za kuwadharau, kuwabeza na kuwadhihaki wananchi namna hiyo bado zinawatafuna vizuri sana baadhi ya vyama vya siasa baada ya kua wamekataliwa kwenye sanduku la kura....

nadhani ni muhimu kujifunza kwenye hilo ambalo sio kambo la kiungwana hata kidogo,
na angalau kukaa kumya ikiwa huna hoja, mawazo mapya au fikra mbadala dhidi ya hoja mezani, kuliko kuonyesha mihemko na dhidi ya wenye mawazo au mitazamo tofauti na wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…