Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Eti unakula thank you[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mama kacharuka. Wanaotumbuliwa kama ni wale wamepata hizo nafasi kwa michongo na kishikaji na hawana weledi au sio waadilifu ni jambo zuri. Sisi tunawajua kipara na nape. Hao nao kama ni aina moja basi mama anafanya kazi japo kachelewa sana kuwajua hawa binadamu.
 
Siongelei hela na magari kwa mtu binafsi. Maharage kwao wako poa long time wala hategemei kazi za serikali kuishi poa.

Naongelea human capital na tapping potential.

Watanzania wengi mbona kila kitu mnaishia kuangalia pesa nyumba na magari?
Anategemea "system" kuishi poa...
 
Huwa nasema kule juu kuna watu ni maboss lakini akili ndogo kishenzi. Unawezaje kufanya hivyo

nafikiri hiyo ni modus operandi ya nape, alivyotumbuliwa na Magu alikuja pia na gari tena la serikali kutaka kuhutubia kuonyesha umwamba, sasa kafanya tena na siajabu alishapanga nao kwani alijua kwamba siku zake zinahesabika …
 
Mpiga mwing has a very thin skin. Yani watu kutoa pongezi tu anawatimua? She couldn't stoop lower.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…