Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

Status
Not open for further replies.

Wewe Kijana huna lolote ! lengo lako ni kuvuruga uzi huu , hivi unadhani kuna Great thinker utakaye mshawishi na hizo propaganda zako ! kama mpaka leo hujajua uozo wa Tiss basi bila shaka utakuwa mgeni nchi hii , na wala hakuna haja ya kukuelewesha , maana unajua , bali umeingia kwenye uzi huu kwa kazi maalum , endelea kujidhalilisha !
 
Unaweza kuleta ushahidi wa hizo allegations? Au unashabikia tuu propaganda za chama chako cha CHADEMA???? SHAME ON YOU! HUNA UNALOLIJUA KUHUSU TISS HIVYO UTABAKIA KUAMINI POROJO ZA WAJINGA WENZAKO...

Unataka ushahidi gani zaidi ya ule wa IGHONDU wa ikulu kuhusika na vitendo vya kijasusi!!
 
Kwa hiyo taarifa ya CAG ya mwaka juzi na polisi baada ya matukio ndio kazi ya TISS, wa wapi wewe. Jaribu kucheck hata movie za kijasusi kama James Bond et el ujue ujasusi ni nini?.

ujasusi ni sehemu tu ya kazi ya idara yoyote duniani. tukumbuke kuwa watumishi wa idara hii si miungu na kwa hali hiyo hufanya kazi kwa kushirikiana na vyombo vingine
 
By the way...kuwazungumzia TISS ni kuichezea nchi yetu....najua kwa wasiojua you take that much easy....lakini huu mjadala sio mzuri...
Nawajua baadhi ya wafanyakazi TISS some of their confidential strengths and weaknesses but it is not salama to expose over here!
Hii sio mijadala tujikite kwenye mambo ya kimaendeleo.....
 
Tiss ilimuokoa mbowe kule tarime asiuawe na wananchi walipomtuhumu kumuuwa chacha wangwe
Tatizo unaaminishwa na kila asemalo Wassira. Tarime ulienezwa uvumi kuwa Mbowe akifika huko atadhuriwa na yeye akaamua kwa vile dhamira yake iko safi kwenda. Tofauti ni kuwa alipokewa kwa Heshima kama kiongozi wao kwa Kumwambia " karibu kamanda" na hayayote tuliyaona katika TV station zote kasoro TBC1.
Kama utakumbuka Mtikila alipoenda kwenye kampeni, jukwaani alisema Mbowe na Chadema wamemuua Wangwe na kilichomtokea hawezi kusahau hata kidogo.
Hiyo Tarime mnayoisema nyinyi ni ipi? Propaganda zenu ziki back fire ni ajabu bado mnasimamia kama vile zimefaulu ajabu sana hii?
Na kwa taarifa yako kama Chadema wangehusika na ajali ya Chacha Wangwe ndio hapo ungeona jinsi idara hii na Polisi wanavyojua kazi. Acheni hizo,turudi kwenye mada, Jee watetezi wa TISS ya sasa kwa nini wanajitetea kwa weledi wa Usalama wa Taifa wa awamu ya Kwanza na ya pili? Wao hawana weledi wao wa kutolea mfano?
 
Ulimboka alituambia aliyemtesa na kumtupa mabwepande ni Ramadhani Ighondu wa usalama wa taifa na alimfahamia ikulu.
 
We waache siku ikiwatoa makuca wao ndiyo utawasikia. Wamuulize Kolimba na Kombe aliko.
 

Nani anapenda mijadala hii iendelee na kwa manufaa ya nani. Hoja ni kuwa ipo tuhuma dhidi ya baadhi ya watendaji wa chombo hiki ambayo haipaswi kupuuzwa. Kuipuuza ni kukubali kuwa haki ya watu fulani kuishi itatawaliwa na utashi wa chombo hiki na hakuna anayepaswa kuhoji. Mwenye wajibu wa kukisafisha chombo hiki na tuhuma hizi ni serikali kwa kuhakikisha unawahoji wahanga wa (wale waliong'olewa kucha na meno) ili wawataje wale wanaowahisi walifanya vitendo hivyo. Kuendelea kutofuatilia madai hayo yanayoichafua serikali wakati watu wakiwa tayari kutoa ushirikiano na vyombo hivyo ni kuruhusu mjadala huu uendelee maana kili ya mwanadamu haiachi kuhoji hadi inapopata maelezo ya kuridhisha. Badala ya kuwalalamikia wanaohoji serikali ijilalamikie yenyewe kwa kushindwa kuwahoji raia wema walio tayari kutoa msaada kwa jeshi la polisi kama sehemu ya utaratibu wa ulinzi shirikishi. Kama inashindwa kufanya yote hayo kwa nini watu wasidhani kuwa serikali inawajua wang'oa meno bali inawalinda kwa sababu inazozijua yenyewe.
 
unless kuna ushahidi kuhusu tuhuma zinazoelekezwa TISS, mengine yote ni siasa za kitoto na kujitakia umaarufu wa mafungu,
 

ajabu ni kuamini eti ata hao wanaokusapoti kwa kuandika matusi dhidi ya wasira ni great thinkers, wallah mnavunja heshima ya jukwaa, u guys stop being personal, dont need to offend any1, toa hoja watu wakuelewe,
 
Tofauti kweli ipo, ile ya Nyerere watu walikuwa wanapotea ki ajabu ajabu ilikuwa inafanya kazi ki KGB KGB!

Siku hizi naona TISS inafanya kazi vizuri kwa weledi.

Halaf walikuwa wanarudi na meno yao na kucha. Kasanga Tumbo kafariki dunia kwa ugonjwa wa Mungu majuzi tu hapa. Huyu enzi hizo za Nyerere aliionja TISS. Lakini alirudi mzima kabisa na kucha zake.
 

Perfornance ya TISS inakuwa measured na ethical and responsibility standards za chombo hicho duniani kote, usituletee standards za Rwanda na Uganda hapa, huko kote kumejaa madikteta tu kama hapa Tanzania. Umeambiwa wale waliotega bomu Boston tayari wameshaoneshwa kwenye video cameras wanaelekea kuwakamata.

Je, wewe wale waliomtorture Kibanda mbona unahangaika nao mpaka leo. In fact wala hakuna schedule yoyote ya kuwatafuta wahalifu hao kwa sababu wahusika ni serikali yenyewe.
 
unless kuna ushahidi kuhusu tuhuma zinazoelekezwa TISS, mengine yote ni siasa za kitoto na kujitakia umaarufu wa mafungu,

on a curious note mkuu, huyo jamaa kwenye avatar yako ungempatia hata meno ya bandia tu, manake yatakuwa yalishamkuta!
 
Wewe akili zako finyu. Usalama gani wa taifa usiolinda maslahi ya Uchumi ya nchi na watu wake? Mwenyewe unajiona unajua? Usidhani unajibishana na laymen wasojua chochote.

Huna unalolijua zaidi ya porojo za wajinga wenzako za mitaani. Unataka TISS ikuletee chakula nyumbani kwako ndio ujue kwamba inafanya kazi ya kulinda maslahi yako ya kiuchumi? Shame on YOU... Umeshafanya analysis ya shughuli za TISS hadi ujue hawalindi maslahi ya uchumi wa nchi? Do you have facts? au unatawaliwa na emotions tu? Think objectively na sio kufata mkumbo tu na taarifa uchwara za magazeti... shame on you!
 

lakini ni marekani hao hao walio waliohangaika na osama kwa miaka mingi licha ya ukweli kuwa alikuwa mtu wao wa karibu. acha kuvaa miwani ya mbao wewe. unakumbuka nini kuhusu september 11
 
Una maana Jack Zoka na Ramadhani IGHONDU!? Hamna kitu! hamna lolote! who is to get ashamed?! TISS!! TISS!! genge la wauaji vilaza fulani hivi. wanaotumiwa kama magogo ya chooni!! Plain stupidity are defending this crooks!?
wanajua kujibu kwa vitendo kwa kutoboa watu macho hasa wapinzani wa mfumo tawala!! hiyo ndiyo TISS ya Fastjet! like father like son!!
 
Kazi zao zinajulikana na ziko wazi sana.hivi hawa si ndio wale waliokua wanawasiliana na dokta au nawafananisha

Nadhani wewe unatoka sayari ya Mars. Labda kazi za Idara ya Usalama ya chama chako cha CHADEMA ndio ziko wazi kama mdomo unaopiga miayooo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…