Utetezi wa uumbaji kimahesabu na kifizikia: Mathematician's and theoretical physicist appeal to creation

Sasa nimeshamaliza kucheka akili ishatulia labda naweza kujibu

Ni kwamba hilo uliloliita wazo ukalitype maherufi yasiyokuwa na maana ndio wazo lenyewe sio hayo maherufi

Sijui umenipata? Wazo ni kutype maherufi mi ntasema lilikuwepo na imefika muda huu umeliwaza.

Usichukulie kuwa nimepinga uwezo wa wewe kuumba. La. Unaweza kuumba lakini lazim utacheza na kuunganisha mawazo mbalimbali yaliyopo ili kutokeza wazo jipya.

Anayeweza kuumba jambo jipya anabaki kuwa Mungu pekee halafu sisi tunabaki kuishi, kujongea na kuwepo katika hayo mawazo yake.
 
Afro hata kama ukinilazimisha kusema kuwa mimi ni muunganiko wa neurone, na universe inaziona kompyuta kama object with mass. Kwamba tumeielevate consciousness kwa sababu ya ego zetu tu tukaamua kushadadia kile tunachohisi tumewapiga gepu viumbe wengine.

Mi ntasema hata fizikia inaenda mbele na kurudi kulekule kwenye kufanya wazo na utambuzi kuwa ndio vya msingi.

Why, atom ukizivunja tena, na tena, na tena mwishowe unakuta tu miale na mitikisiko ya nishati/energy na nafasi kuuuuuuuuubwa!! unajuaje labda hiyo nafasi kubwa ni vile tu hatuna kipimo cha kutambua/detect idea?? Kwamba hapo ni idea/consciousness inaelekeza nishati itikisikevipi ili atomu awe?
 
Wazo la kutype herufi zisizo Na maana sio jipya....ila wazo nililowaza kutype Hizo herufi halijawahi kuwepo (nimeliumba) ila linaweza kuingia kwenye fungu la mawazo ya kutype herufi randomly .


Hivyo basi, Kila wazo Ni unique Kwaa mfano: wazo la kutembea sio unique, ila Kila unapotembea unawaza ukanyage wapi, ukwepe Nini, Na ubalance wapi uzito wako..kwahyo Kila Tambo Ina wazo ambalo hujawahi kuliwaza.

Neurones zipo billion 100 kwenye ubongo Ambapo Kila neurones inaweza Kuwa connected Kwa njia 15,000...Kwa kutumia permutation possible neuronal connections Ni 100billion!/ (100billion-15,000)!
Namba itakayopatikana Ni kubwa sana Kuliko idadi ya atoms kwenye hii galaxy,
Na Ni mjumuisho wa mawazo yako yote unayoweza kuyawaza kwenye ubongo wako.

Sasa kwa Kila mtu connection Za neurones zake Zina maana/mawazo yake unique Kwa Huyo mtu, kwahyo hiyo namba utakayopata hapo juu ifanyie permutation Kwa idadi ya watu wote waliowahi kuishi duniani,Na watakaokuja kuishi duniani. Utapata idadi ya mawazo yote yanayoweza kuexist duniani...

Kama binadamu ana mwishon, hiyo namba pamoja Na ukubwa wake itakuwa still finite.
 
Wazo la kutype herufi zisizo Na maana sio jipya....ila wazo nililowaza kutype Hizo herufi halijawahi kuwepo (nimeliumba) ila linaweza kuingia kwenye fungu la mawazo ya kutype herufi randomly .


Hivyo basi, Kila wazo Ni unique Kwaa mfano: wazo la kutembea sio unique, ila Kila unapotembea unawaza ukanyage wapi, ukwepe Nini, Na ubalance wapi uzito wako..kwahyo Kila Tambo Ina wazo ambalo hujawahi kuliwaza.

Neurones zipo billion 100 kwenye ubongo Ambapo Kila neurones inaweza Kuwa connected Kwa njia 15,000...Kwa kutumia permutation possible neuronal connections Ni 100billion!/ (100billion-15,000)!
Namba itakayopatikana Ni kubwa sana Kuliko idadi ya atoms kwenye hii galaxy,
Na Ni mjumuisho wa mawazo yako yote unayoweza kuyawaza kwenye ubongo wako.

Sasa kwa Kila mtu connection Za neurones zake Zina maana/mawazo yake unique Kwa Huyo mtu, kwahyo hiyo namba utakayopata hapo juu ifanyie permutation Kwa idadi ya watu wote waliowahi kuishi duniani,Na watakaokuja kuishi duniani. Utapata idadi ya mawazo yote yanayoweza kuexist duniani...

Kama binadamu ana mwisho, hiyo namba pamoja Na ukubwa wake itakuwa still finite.
 
Sio Kweli, atoms are not made of energy,,they are made of protons,electrons, neutros and quarks...these were created in the big bang.

Is the atom mostly made of empty space?? Sure. Lakini haimaanishi atoms is made of energy (Although they have it)
 

Daaah we mwanang genius sana [emoji3512][emoji91]
 
Kwani mkuu nikuulize swali ....kama mawazo Ni very fundamental kwenye Huu ulimwengu
Je, mawazo yote ya binadamu hapa duniani,hisia zote, Dini zote, tamaduni zote, lugha zote, elimu zote, Historia zote,tabia zote...zinaathiri vipi ulimwengu wetu nje ya hii solar system?
(Nimesema solar system kwasababu tuna satellite iliyofika Pluto)

Tuseme Kuna viumbe kwenye nyota ya Centauri, Je mawazo yetu,hisia zetu,ufahamu wetu, unaathiri vipi chochote kuhusu uhalisia wa viumbe Hao?
 
Sawa
 
Naona mfano wako wakuku na yai upo sahihi kabsa, hivi vitu vipo kwa pamoja na kila kimoja kinategemeana.
 
Yani kuku ni energy na yai ni wazo , energy ipo kutoa wazo na wazo lipo kutoa energy ili energy iendeleze utoaji wa wazo ----- to infinity. Mimi nipo ambae nipo na nitakae kuwepo inaweza ingia apa kimantiki.
 
Nakubaliana na maelezo yoote katika hii comment

Nasisitiza tu kuwa hilo wazo unique, ni uni....... ni la kipekee kutokana tu na combination mbalimbali za vipandevipande vya hilo wazo. Ni unique.

Lakini hivyo vipande vyoooote sio vipya vyote vimetokana na mawazo yaliyopo. Ni wewe tu umenyofoa udongo kutoka katika vichuguu tofauti ukajenga kichuguu cha kwako. Au umeenda mbali zaidi ukachanganya udongo huo na miti na nyasi na maji ukaponda na jembe ukajenga nyumba labda ukaipaka na rangi. Ni jambo unique nyumba ya udongo kupakwa rangi lakini kupaka rangi wala udongo wala miti sio vitu vipya wala unique!

Kutembea pia sawa unique kila tambo ila sio kitu kipya kwa maana kukamilika kwake kunahusisha ya zamani yooote ulowahi kujifunza hadi muda huo kuhusu kutembea na kukwepa viunzi.

Kama umeaffirm kuwa idadi ya mawazo ni infinity, na idadi anayoweza kupata mtu mmoja ni kubwa sana. Unaonaje nikikuintroduce kwenye hii fact:

Fact ni kwamba wazo au mawazo hayapimiki kimaterial, mfano mtu anaweza kusema kununua simenti ni wazo moja, kununua tofali ni wazo moja, kumlipa fundi ni wazo moja, kwamba hayo tayari ni mawazo matatu..........lakini pia tunafahamu hata kujenga nyumba nzima ni wazo moja. Tumejumlisha tofali, fundi, simenti, usafiri na muda na vyote tumepata ni wazo moja. Kwa hiyoo isikutishe hiyo ya kusema kuna mawazo infinity. La. Hili lote ni wazo moja.

Au basi kama itabidi sana kuyagawanya basi yapo mawazo mawili tu kila upande; wazo positive[sense] na wazo negative[anti-sense]
 
Yani kuku ni energy na yai ni wazo , energy ipo kutoa wazo na wazo lipo kutoa energy ili energy iendeleze utoaji wa wazo ----- to infinity. Mimi nipo ambae nipo na nitakae kuwepo inaweza ingia apa kimantiki.
Mi imenisaidia kunisisitizia kwamba haina mwanzo wala mwisho. Maana ukipush kufikiri zaidi unagota. The finite can not fully comprehend the infinity tutaishia mahala tu lazima
 
Kwanini tusiwape nafasi nyinyi kwa nyinyi believers mkae chini mfikie muafaka wa pamoja kukubaliana jibu moja ambalo mtasimamia kwa pamoja kwenye mjadala dhidi yetu?
Hili ngoja nikusaidie, hili haliwezi kutokea na haliwezekani, sababu mmoja amepotosha maandiko kwa maslahi yake na ujinga wake na mwingine anaishi katika maandiko. Hili lipo tangu zama za kale.

Nachoona mimi na ndicho sahihi kila mmona ahudhurishe hoja zake kwa namna iliyo bora.

Kuna mwanazuoni mmoja anasema hivi "Mtume mwenye kutafuta ukweli ushahidi mmoja tu humtosheleza ila mtu asiye tafuta ukweli na mbishani ithibati elfu hazimtoshi" au kama alivyosema.
 
Sio Kweli, atoms are not made of energy,,they are made of protons,electrons, neutros and quarks...these were created in the big bang.

Is the atom mostly made of empty space?? Sure. Lakini haimaanishi atoms is made of energy (Although they have it)
Mungu wangu!! mbona nimekuhurumia, hadi kidogo nisireply hii comment ili uweze kuifuta na ipotee. Lakini basi.

Kimaterial everything was made of energy. At the so called 'big bang' what was resulted there first was pure energy 'the light' and man it was so bright

Mambo ya E = mc2 ndio na atom zilitokea huko. Mfano nikisema wazo lilianza kuorganize energy into quarks [sikumbuki majina ya wadogo zake na quark] into atoms by controlling vibration of energies. Without proper purposive directions [of an idea] energy becomes only powerless or destructive and meaningless
 
Msingi wa swali lako ni kwamba wanaowaza ni sisi binadamu peke yetu au?

Binafsi ninaposema wazo nina picha kuuubwa sana ya hilo wazo. In summary niseme ni wazo la Mungu Mwenyezi linalosustain uwepo wa huu ulimwengu wetu na zaidi ya huu ulimwengu wetu, yanayoonekana kwetu, yasiyoonekana kwetu na hata yasiyowezekanika kuonekana yoooooote yapo kwenye wazo lake Mungu.

Kwa upande wetu sisi mawazo yetu yanaathiri viumbe walio chini yetu na walio karibu yetu na walio ndani yetu;
Walio karibu yetu: Ngombe, mwenzi, majani, bakteria, fangasi
Walio chini yetu: Almost wote
Walio ndani yetu: mitochondria, seli hai nyeupe/nyekundu, mikono,miguu....
Ukiangalia hata walio juu yetu kwa kiasi fulani, itoshe kusema tunaathiriana wote.
 
Bila shaka wazo kwa kiingereza ni Idea na ni Concept pia. Bila shaka kabisa wazo humili katika maana ya yule mwenye wazo hilo au aliye litengeneza wazo hilo.

Maswali yafuatayo naomba unijibu.

1. Wazo asili yake ni wapi ?

2. Sababu wazo haliwezi kuwa wazo pasi na mwenye wazo. Hili wazo la Mungu, mwenye wazo hilo ni nani ?

3. Wazo linajitambua vipi, wazo linatunga vipi ? Ufafanuz tafadhali.
 
Yas

1. Wazo asili yake ni Mungu

2. Wazo la Mungu mwenye nalo ni Mungu

3. Majibu kamili kuhusu kujitambua vipi yanasubiri tutakapoweza kuutafsiri utambuzi/consciousness. Na kuhusu kutunga nilifuta nikasemaa; Kitendo tu cha kuwa wazo, kujitambua na kuwa na akili kiotomati kunafanya mantiki iwepo pale halitungi... ni ndio jenyewe lilivyo pia
 
1. Wazo asili yake ni Mungu

2. Wazo la Mungu mwenye nalo ni Mungu
Kwa mujibu huo inakuwa haileti maana kusema Mungu ni IDEA sababu wazo halimiliki chochote,halina utambuzi, halina matashi, halina malengo, halina maarifa. Bali wazo humilikiwa.
 
Leta source ya Kuwa everything is made of energy
 
Bado tu hamjafika muafaka kwenye jibu moja la Mungu mmoja mwenye sifa sawa, pepo yenye sifa moja ili mtualike atheists tuanze kufanya mjadala kuhusu Mungu huyo ili tuone kama kweli yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…