UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168


Uchaguzi uwe rahisi zaidi ya ule wa 2020 [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cheki ulivyo jaa ng,..no nafsini mwako! Kwani ww unamuonaje?
Utajiumiza tu nafsi yako kwa chuki iliyokujaa 🤣🤣

Waliopita MADARASA YA ITIKADI YA CHAMA hufundishwa adabu na utii kwa kiongozi mkuu wa CHAMA.....ninyi mlitokea wapi kwani ?!!! 🤣🤣🤣

SIEMPRE CCM
 

Timu mpya ni kuvunja baraza la mawaziri;
 
Rashidi Gwajima.

Babu Tale.

Mwana FA...

Ni miongoni wa wabunge wa fadhila za mwendakuzimu.
 
Kwa vyanzo vipi vya mapato?
Kumbuka Ccm vitega uchumi vingi sana,wanaviwanja vingi na baadhi wamevikodisha kwa wafanya biashara wa sheli,viwanja vya mipira vingi ndani ya nchi yetu ni mali yao ccm,chama kimejiwekezea sana rasilimali
 
Mbona sijaona jina la Bananga pamoja na kuliakotekule kuwa akumbukwe?
 
Hakika CCM imesukwa, Mungu ibariki CCM,

Mungu mbariki Mkt wa CCM
Kwani ilikuwa imefumuka? nakumbukawa katiwa jiwe mlisema kuwa kairudisha ccm mahali pake, iweje tena useme Mama kaisuka?
 
Mbona hueleweki?
Wafanyakazi wa ccm wanahusiana vipi na mkopo wa IMF?
Ccm wanapokea ruzuku kila mwezi ndio inatumika kulipa watumishi wake
 
Kumbuka Ccm vitega uchumi vingi sana,wanaviwanja vingi na baadhi wamevikodisha kwa wafanya biashara wa sheli,viwanja vya mipira vingi ndani ya nchi yetu ni mali yao ccm,chama kimejiwekezea sana rasilimali
Wewe sema waanchota serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…